- Tulivunja mahusiano na Israel due to political differences na hatukuangalia zaidi athari za kiuchumi, its time to promote the economic delpomacy, ni mda wa kuangalia interests zetu kama nchi, ni mda wa kuwa na mahusiano mazuri ya kibalozi na Israel , mda umefika wa kuangalia faida za kiuchumi zaidi kama taifa.