Tulivunja mahusiano na Israel, we gained nothing, then we lost all

Waislamu ni Shida Sana kila kitu kinachaihusu Israel ni udini hivi nyie ndugu zangu fikra zenu huwa mnaziweka Wapi inashangaza hata wasomi WA kiislamu akili zao ni bure kbs. Ukisoma vzr history Israel Sio Mali ya wayahudi hata kidogo ni kupenda ubishi usio na maana.
Kwani waisrael ni wakristo?kwanza hawamwamini Yesu
 
Hebu tutajie Taifa moja tu lililofaidika na uhusiano wake na Israel,
Nadhani mleta uzi ameegemea kwenye upande wa mmoja tu,
Nyerere alikuwa mkatoliki safi na ndio alikuwa mtu wa kwanza asieitaka Israel kabisa, je wakatoliki mnaweza kutuambia sababu ya nyerere kutoitaka Israel?
Mkuu akili hii ya kuhoji vitu vigumu ina wachache. Wengi ni mihemko na kufuata mkumbo. Ukijibiwa swali hili kwa hoja za maana nipe taarifa.
 
Ubalozi wetu uliopo Israel kuhamia Jerusalem au kubakia Tel Aviv sidhani kama kunatusaidia lolote kama Taifa bali kuwa waongeaji harakaharaka bila kutafakari faida kwa Taida ndiko kutatughalimu.. Hebu chukulia mfano wa Tanzania yetu..mji mkuu wake ni Dodoma lakini sijui kama kuna ubalozi hata mmoja pale Dom.
Natoa mfano mdogo tu kuna nchi kama Afrika kusini na Ethiopia
una uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
 
CNN, ABC, BBC, AL JAZEERA Nk. Kazi yake ya kuteka mabubusa wenye kumiliki smartphone huku wakiwa na bando na wakashindwa kuchanganua habari (pumba na mchele) vitatutesa kwa miaka mingi.
Ndio maana sikushangaa baadhi ya watu kutapanya picha na habari tungwa za mwanasiasa maarufu anayewawewesesha kuhamia chama dola. Ndio akili zetu
 
  • Tulivunja mahusiano na Israel due to political differences na hatukuangalia zaidi athari za kiuchumi, its time to promote the economic delpomacy, ni mda wa kuangalia interests zetu kama nchi, ni mda wa kuwa na mahusiano mazuri ya kibalozi na Israel , mda umefika wa kuangalia faida za kiuchumi zaidi kama taifa.






Israel wana faida zipi za kiuchumi !?
 
Waislamu ni Shida Sana kila kitu kinachaihusu Israel ni udini hivi nyie ndugu zangu fikra zenu huwa mnaziweka Wapi inashangaza hata wasomi WA kiislamu akili zao ni bure kbs. Ukisoma vzr history Israel Sio Mali ya wayahudi hata kidogo ni kupenda ubishi usio na maana.
....myahudi ndo aliyemsulubu Yesu, tena wanamuita mwanaharamu !
 
Back
Top Bottom