Tulivunja mahusiano na Israel, we gained nothing, then we lost all

Hebu tutajie Taifa moja tu lililofaidika na uhusiano wake na Israel,
Nadhani mleta uzi ameegemea kwenye upande wa mmoja tu,
Nyerere alikuwa mkatoliki safi na ndio alikuwa mtu wa kwanza asieitaka Israel kabisa, je wakatoliki mnaweza kutuambia sababu ya nyerere kutoitaka Israel?

Uhusiano wa kibalozi kati ya nchi na nchi ni kwa manufaa ya pande zote mbili, kuvunjika kwa uhusiano wa kibalozi kati ya Israel na Tanzania kulikuwa na athari kwa pande zote mbili. Kurejesha uhusiano huo kutakuwa na manufaa kwa pande zote mbili pia.

Vv
 
Israel walijenga bugando,,,no problem hakuna la ajabu hapo,kipindi hicho hatuna wakandarasi,lakini sasa tunao kila kona
 
Wewe unaijua historia ya wakatoliki(Rumi) na Israeli (wayahudi au Jews).kasome vizuri historia ya mauaji ya mamilioni ya wayahudi alafu uje hapa useme kwa nini Nyerere aliikataa Israel pamoja na ukatoliki wake

Kama baadhi ya nchi za Kiarabu zenyewe zinaitambua na zina mahusiano ya kibalozi na Israel kwa nini sisi tusirudishe uhusiano na Israel?

Vv
 
una uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
KENYA IMEENDELEA KAMA UNATAKA MFANO. KUVUNJA UHUSIANO NA ISRAEL IMEWALETEA WATANZANIA WENGI SHIDA HASA WANAPOTAKA KUSAFIRI KWENDA ISRAEL MAANA NI MAELFU YA WATANZANIA WANAOTEMBELEA ISRAEL KILA MWAKA. KWAHIYO TUMEPATA HASARA NYINGI. PIA KUTOKANA NA BIBLIA KUVUNJA UHUSIANO NA ISRAEL NI NJIA MOJAWAPO YA KUKARIBISHA LAANA KWENYE NCHI NA INAWEZEKANA KUWA SABABU KUBWA YA TANZANIA KUENDELEA KUWA MASKINI PAMOJA NA MALI ASILI TULIZONAZO
 
1.Israel ndio waliotoa ushauri namna ya kuanzisha JKT na kuiendesha.
2.Israel walijenga hotel 77 Arusha.
3.Israel walijenga Kilimanjaro hotel kabla hajakabidhiwa mwarabu.

hasara ya kujiegemeza kwa waarabu.
Mlipuko wa mabomu ubalozi wa marekani ulisababisha watalii wengi kufuta safari zao kuja Tanzania.
Hizo hotel hawakujenga bure ..ni sawa na ukisema Daraja la Kigamboni kajenga mchina!!
Walikua ni contractors kama group six..period

JKT ma hata vijiji vya ujamaa walianzisha wao kweli na vyote vilikufa kwani walicho shauri kilikua ovu
 
Well said but really this country is ailing from ideological paucity/vacuum! Guys we should be able to disentangle between a Biblical (Yakobo)and political (nation-state) Israel. Hii ni dunia ya maslahi ndugu zangu. wa-Amerika wana msemo wao kuwa 'there is no free lunch'. Maendeleo ya nchi hii ni jukumu la Watanzania wenyewe. hakuna taifa lolote litakuja hapa kuendeleza nchi hii, sahau - labda ikiwa wanatafuta maslahi/manufaa fulani - iwe uchumi, usalama, siasa au sayansi na teknolojia yake. Kwa msemo wa kwetu, 'bagambila balinsi'.....
 
Una hakika waethiopia wananufaika na hayo maendeleo?
Na wanaokufa na njaa ni raia wa wapi katika hiyo nchi

Umuulize na wanaokufa kwenye malori huku kwetu wakiwa wana-storaway ni wakina nani? Ujue haya majitu majinga, hawaujui ubaya wa wayahudi...
 
Wewe unaijua historia ya wakatoliki(Rumi) na Israeli (wayahudi au Jews).kasome vizuri historia ya mauaji ya mamilioni ya wayahudi alafu uje hapa useme kwa nini Nyerere aliikataa Israel pamoja na ukatoliki wake

Kama Nyerere aliwakataa mayahudi mbona ndio walioleta mfumo wa JKT ili kila mtu awe mjeshi kama wao?
 
Hata wakati ule Afrika Kusini ilipokuwa chini ya utawala WA makaburu tungekuwa na uhusiano nao mzuri tungepata manufaa makubwa ya kiuchumi
Swali kwako ;Kwa nini hatukufanya hivyo?
Kwa nini tulivunja uhusiano na Uingereza juu ya Rhodesia (Zimbabwe)
Kuielewa falsafa ya Mwalimu yataka upeo wa juu,ungaliielewa ungejua kwa nini tulivunja uhusiano na dola la Mayahudi
tulivunja uhusiano na israel kwa sababu ya falsafa ya kutaka sifa na kujenga jina....
 
Hizo hotel hawakujenga bure ..ni sawa na ukisema Daraja la Kigamboni kajenga mchina!!
Walikua ni contractors kama group six..period

JKT ma hata vijiji vya ujamaa walianzisha wao kweli na vyote vilikufa kwani walicho shauri kilikua ovu

1.Israel ndio waliotoa ushauri namna ya kuanzisha JKT na kuiendesha.
2.Israel walijenga hotel 77 Arusha.
3.Israel walijenga Kilimanjaro hotel kabla hajakabidhiwa mwarabu.

hasara ya kujiegemeza kwa waarabu.
Mlipuko wa mabomu ubalozi wa marekani ulisababisha watalii wengi kufuta safari zao kuja Tanzania.
Hapana hizo 77 hotel, Kilimanjaro hotel, jengo la kitega uchumi, soko la kariakoo na majengo kibao mengine yalijegwa na MECCO kampuni ya kihandisi ya kitanzania enzi hizo.
 
Well said but really this country is ailing from ideological paucity/vacuum! Guys we should be able to disentangle between a Biblical (Yakobo)and political (nation-state) Israel. Hii ni dunia ya maslahi ndugu zangu. wa-Amerika wana msemo wao kuwa 'there is no free lunch'. Maendeleo ya nchi hii ni jukumu la Watanzania wenyewe. hakuna taifa lolote litakuja hapa kuendeleza nchi hii, sahau - labda ikiwa wanatafuta maslahi/manufaa fulani - iwe uchumi, usalama, siasa au sayansi na teknolojia yake. Kwa msemo wa kwetu, 'bagambila balinsi'.....
PLEASE MY BROTHER CAN YOU SIT DOWN AND MEDITATE....THERE IS NO POLITICAL ON THIS PLANET WHICH IS NOT CONNECTED TO THE RELIGION...EVERYONE HAS SOMETHING TO BELIEVE AND FOR YOUR BENEFIT THE BIBLE IS THE FOUNDATION OF ALL GOOD THINGS UNDER THE SUN.SO THERE IS NO OPTION TO AVOID THE TRUTH WHICH IS FOUND IN THE BIBLE. IF YOU CURSE ISRAEL YOU ARE CURSED AND IF YOU BLESS THEM YOU ARE BLESSED...YOU WILL SEE A BIG DIFFERENT WHEN TANZANIA STARTS A NEW RELATIONSHIP WITH ISRAEL
 
kwa Afrika mfano mzuri ni Ethiopia. .waisrael wamewekeza sana na kiuchumi inakuwa kwa kasi..plus waisrael wapo kwenye vyombo vyote muhimu vya maamuzi duniani. Hata hiyo marekani inayo influence economical political policies of the world waisrael ndio wanaiongoza.
Dogo unaijua marekani au unaleta stories za kwenye kahawa.hakuna anayeiongoza marekani zaidi ya yenyewe
 
PLEASE MY BROTHER CAN YOU SIT DOWN AND MEDITATE....THERE IS NO POLITICAL ON THIS PLANET WHICH IS NOT CONNECTED TO THE RELIGION...EVERYONE HAS SOMETHING TO BELIEVE AND FOR YOUR BENEFIT THE BIBLE IS THE FOUNDATION OF ALL GOOD THINGS UNDER THE SUN.SO THERE IS NO OPTION TO AVOID THE TRUTH WHICH IS FOUND IN THE BIBLE. IF YOU CURSE ISRAEL YOU ARE CURSED AND IF YOU BLESS THEM YOU ARE BLESSED...YOU WILL SEE A BIG DIFFERENT WHEN TANZANIA STARTS A NEW RELATIONSHIP WITH ISRAEL

What a shit comment i never thougt could seen...
 
Hebu tutajie Taifa moja tu lililofaidika na uhusiano wake na Israel,
Nadhani mleta uzi ameegemea kwenye upande wa mmoja tu,
Nyerere alikuwa mkatoliki safi na ndio alikuwa mtu wa kwanza asieitaka Israel kabisa, je wakatoliki mnaweza kutuambia sababu ya nyerere kutoitaka Israel?
Kwani Wa Izlael niwakatoliki?mbona kama una bifu nawakatoliki...fatilia dini ya Wa Izlael af uje tena...
 
Dogo unaijua marekani au unaleta stories za kwenye kahawa.hakuna anayeiongoza marekani zaidi ya yenyewe
Dogo naijua marekani vizuri sana. .mabillionea wakubwa na wamiliki wa taasisi kubwa duniani ni wayahudi. .hata uki Google it akusaidie. Je unajua marekani inasaidia Israel billions of dollars kila mwaka? Google utaona, unajua marekani wana Sera kwamba ukiishambulia Israel ni kama umeishambulia marekani? fuatilia hayo then utaelewa kwanini Israel ni ya muhimu kwa marekani.
 
WAWEPO WASIWEPO HAWANAFAIDA YOYOTE!!! YAANI NAICHUKIA ISRAHEL KULIKO NINAVOICHUKIA CHADEMA...

Mkuu maana ya ISRAELI utaipata hapa chini kwenye hili fungu;

"Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAELI, maana UMESHINDANA na Mungu, na watu, nawe umeshinda." - Mwanzo 32:28
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom