Tulivunja mahusiano na Israel, we gained nothing, then we lost all

Zinist Israel ni watu walio laaniwa - wameahidiwa hawataishi kwa Amani sababu ya ubaya wao duniani na wamekuawa wakipata kipigo tangu miaka 3000 nyuma na kusababisha maafa mengi kwa kwa wayahudi wasio na hatia
Wayahudi waungwana wanajua hili na wanapinga kuundwa kwa taifa la Israel sababu litawaletea balaa ingine

Wewe tulia tu kula ugali hawa hawawezi kukusaidia kwa lolote

http://stopwar.org.uk/index.php/new...m-chomsky-famous-jews-who-have-opposed-Israel
Haa ha ha ha! Imebidi nicke tu, Israel imelaaniwa? Na nani?
 
Na Muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Sidhani mkuu, Israel (Wayahudi) ndio wanao endesha siasa za mashariki ya kati, ndio think tank ya USA na ndio waliofanikisha kwa kiasi kikubwa kukamatwa kwa Osama bin Laden na Osama huyo huyo alipopiga jingo la world trade center lengo lake pia ilikua kuwaua Wayahudi ambao walikua na ofisi zao kwenye lile jingo but hakuna Myahudi hata 1 aliyekufa, kwasababu hizo na zingine nyingi bado useme eti hao wamelaaniwa na muumba wa mbingu na nchi? You much be joking brother/sister. Dalili kuu za laana (zipo nyingi but nataja chache) ni hizi:-
1. Njaa (nchi kutokua na chakula cha kutosha mara kwa mara)
2. Magonjwa kua mengi kwenu hasa ya mlipuko.
3. Vita (Kutokua na amani mara kwa mara nchini mwenu)
4. Umasikini (Unazo resources za kukutoa but bado unakua masikini)

Niambie kama Israel/Uyahudi kama wana hata 1 katika hizo.
 
Hivi na ww ni wale wanaoamini kua Osama alikamatwa?
Hahahahaha Osama alikufa (kwa ugonjwa sio kuuliwa) cku nyng labda waliomkamata na kumuua ni mzimu wake.

Nadhani ungepitia comment flan huko juu kuna mtu kaelezea vzr khs Israel katika mataifa ya kiafrica,
Kupitia comment yake utapata jibu lako,

Ahsante.
 
Naogopa sana nisije nikatoka nje ya maada, iwe aliuawa na Wamarekani au alikufa kwa ugonjwa but nilichojadiri ni hiki; "Nakataa kua eti Israel/Wayahudi wamelaaniwa na Mungu na nimetoa sababu zangu hapo ju.
 
Kwa hiyo Mungu kawabariki Wayahudi!?
Licha ya kumsulubu Yesu (sijui Mungu wenu sijui mtoto wa Mungu)
Bado tu anawapenda??
Au sio Wayahudi (Israel) waliofanya yale?
 
Israel ndio waliosaidia kuanzishwa kwa JKT,ndio waliostructure mfumo wa nyumba kumi kipindi cha Mwalimu....vipi kuliko na faida zozote hapo,nadhani jibu unalo
Walitujengea gereza la keko ambalo halina mfano katika nchi za afrika mashariki
 
una uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
hapo kwa dini hamna may be kama yeye ni jewish,,,waisrael wana dini yao even if wanatajwa kama taifa teule lkn hamna dini yenye ubavu wa kujidaia israel whether waislamu or wakristu........lkn kama ni jewish ntamuelewa
 
Kwa hiyo Mungu kawabariki Wayahudi!?
Licha ya kumsulubu Yesu (sijui Mungu wenu sijui mtoto wa Mungu)
Bado tu anawapenda??
Au sio Wayahudi (Israel) waliofanya yale?
Mara baada ya Wayahudi "kumsurubisha Yesu" kuna sehemu yoyote uliosoma kwamba Wayahudi wamelaaniwa?
 
una uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
Israel ni taifa la kishoga, halina nguvu za ushawishi, maana kwao kinawawakia, hawana nguvu za uchumi maana wanasaidiwa SANA na Marekani, hawana nguvu za watu maana wanasiasa wao hawana ushawishi, ni wababe, hakuna anayewapenda kwa siasa zao; U.S. Financial Aid To Israel: Figures, Facts, and Impact
 
hapo kwa dini hamna may be kama yeye ni jewish,,,waisrael wana dini yao even if wanatajwa kama taifa teule lkn hamna dini yenye ubavu wa kujidaia israel whether waislamu or wakristu........lkn kama ni jewish ntamuelewa
Wakristo Kondoo wanadai wamefanyika kuwa Waisraeli wa Kiroho, something to do with Paulo Mwandishi... Wamefanyika kuwa wana wa Taifa la Kishoga.
 
Mara baada ya Wayahudi "kumsurubisha Yesu" kuna sehemu yoyote uliosoma kwamba Wayahudi wamelaaniwa?

Ewe Mgalatia ni nani aliyekuroga??
Mpaka unakua na mahaba mazito na taifa lililomkataa na bado linamkataa Yesu wako,
Kwani wewe unafaidika nini na hilo taifa? Wana nini hao Wayahudi??
 
South Sudan Kuna mradi WA ng'ombe WA maziwa WA dhamani ya $150 mil. Umeanzishwa na kusimaniwa na kampuni ya Israel ni mradi mkubwa bara Zima la afrika.
maelfu ya ajira zitapatikana, maziwa yatauzwa ndani na nje ya nchi uchumi WA south sudan utakuwa.
nchi kadhaa za kiarabu zinauhusiano na Israel ikiwamo Mauritania, Qatar na Misri.
hazijali tofauti za dini au kisiasa zinaangalia manufaa ya kiuchumi na teknolojia.
 
Wakristo Kondoo wanadai wamefanyika kuwa Waisraeli wa Kiroho, something to do with Paulo Mwandishi... Wamefanyika kuwa wana wa Taifa la Kishoga.

Ukiona Unapenda kuongelea sana Ushoga anza kujiangalia wewe mwenyewe,,Inawezekana una viashiria vya kushikishwa ukuta au una mtu wako wa karibu ambae hukutegemea kwamba ni choko.
 
Ewe Mgalatia ni nani aliyekuroga??
Mpaka unakua na mahaba mazito na taifa lililomkataa na bado linamkataa Yesu wako,
Kwani wewe unafaidika nini na hilo taifa? Wana nini hao Wayahudi??
Hua nina tabia ya kumtetea yoyote anayesingiziwa bila kujali kua ni rafiki yangu au adui yangu; labda dini yako inafundisha UONGO but ya kwangu inafundisha UONGO ni dhambi, nilichokuuliza ni wapi uliposoma wewe kwamba Israel imelaaniwa? Kwani ukiniambia hilo tu si mabishano yanaisha mkuu? Halafu mi sio Mgalatia, mi ni Mtanzania kwa baba na mama yangu.
 
Hao waisrael mnaowakumbatia ndio hao waliomsulubu Yesu na kumdhalilisha,
Halafu Waisrael sio Waikristo wale ni WAYAHUDI,
Sasa sielewi nyie waikristo kwanini mnapenda sana kujikomba kwa watu wasiowathamini.

Juzi juzi tu hapa, walivyowauwa waafrica waliohamia Israel,
Wakasema kua MUAFRICA NI KAMA KANSA, AKIINGIA LAZIMA ATOLEWE (AKATWE) HARAKA.

Nashangaa now mnatulazimisha eti tuwe karibu nae kwa kipi, tugundue lipi.
Acheni kujipendekeza kiboya.
HIZO COMMENTS ZAKO NIDHAIFU KWANI NCHI ZA KIARABU HAZIUI WAISLAMU AMBAO WANAONYESHA KUPINGANA NA MISIMAMO YAO MIKALI MMEISHA WAKATAA? MBONA TUNABALOZI ZAO HAPA? ISSUE NI KUWA NA UHUSIANO NA ISRAEL. MBONA HUJAWAHI KUKATAA KUWA NA UHUSIANO NA NCHI ZA KIARABU AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIFANYA MAOVU MENGI AMBAYO YAKO KINYUME NA QURAN?
 
Back
Top Bottom