5th Estate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 311
- 273
Umevuliwa nguo,chutama.Nasema tena, huyo mkurugenzi anaingiliwa na wanasiasa kwenye utendaji wake, vyema taarifa kama hizi zitoke kwa wahusika moja kwa moja, zisipitie kwa wanasiasa au vibaraka wao ambao huzichakachua kwa malengo yao binafsi.
Narudia tena hata kama hutaki kuelewa, suala la credibility hapa haliepukiki, hiyo $30 bil. mtaitoa wapi, na itakabidhiwa wakina nani ili itumike ipasavyo, huyo mwenye malengo ya urais hafai kushika hizo pesa, sema yote natumika or whatever but this is my stance kwenye hii issue, common sense huwezi mpa fisi alinde bucha.
- Winchi ya tani 26 inaingia lini nchini? muulize jamaa yako, haya majedwali yako kwangu hayana maana, nataka kujua what is going on kule field lile bwawa liishe ndio mlete habari za LNG.
Haiwezekani mradi mkubwa unaendelea haujakamilika, then mnakuja na mipango mipya ya $30bil. this is insanity!, kwa utajiri hlgani tulionao kama taifa? kama sio ndoto za urais ndio zinawasukuma kufanya haya..
Habari ya software umeiona unasema huwezi kuizungumzia, why? unataka role model wako aendelee kuchafuliwa?!
Anyway amekuja na habari ya suluhisho la kudumu kuhusu tatizo la umeme, ngoja nione kama hilo suluhisho litakuwa hiyo % kwenye graph yako ya gas ambayo bado haijachimbwa, vinginevyo, utakuwa unamzungumzia usiemjua my friend.
Mengine ya chuki uliyoandika hapa hata sitayajibu, mimi sio kati ya wale wanaooneshwa long articles with tables filled with numbers then nianze kukusifia, kabla hata sijaanza kuyasoma hayo madude najiuliza huyo anayetetewa hapa ni nani, ana rekodi gani, ndio naanza kukusoma, kama ana rekodi chafu hunipati.
Kama unadhani mimi namchukia bila sababu basi wewe mpende the choice is yourz, mtu alietafutiwa kula mpaka na dadake bullshit. Kama hili taifa lingekuwa linajali miiko ya uongozi, Makamba angekuwa historia.
Talking about reputation kwa Paskali, huyo Makamba now tell Makamba ana reputation gani? amewahi kulifanyia nini hili taifa? nachokijua kwake ni kuiba mitihani na dadake kumtengenezea njia ya kuwa waziri, huo ndio ukweli wangu unisamehe bure.