Tulitaka kutengenezewa ukame bwawa la Mtera, tupazeni sauti tukiona ndivyo sivyo

“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Shukrani meneja wa kituo, tuwaombe na mameneja wengine wafunguke kutujulisha hali ya vituo vyao vya kuzalisha umeme, kidatu, nyumba ya mungu etc. Haya mambo tusipopaza sauti nchi hii hatutapiga hatua. Mafisadi hayana huruma na nchi hii
 
Unadhani hao ndio chanzo cha matatizo? nauliza hivyo kwa sababu kuna waliona Magufuli ndio chanzo cha matatizo yote wakatamani afe, ila sasa bado wanaendelea kulalama matatizo yanaendelea.
Ndio magufuli hakuwa na shida yoyote ile kwa wale ambao tuliokuwa tuna mapenzi mema na nchi hii lakini alikuwa na shida na wale wezi wapiga madili kama hao nilio wataja na vyeti feki.
 
Wacha majibu ya kukariri.

CCM haiongozi wizara ya nishati, Makamba ndie anayeongoza hiyo wizara na huu mzigo lazima umuangukie yeye.

Usicheleweshe tatizo kwa kulitafutia majibu ya jumla yasiyo na maana, kwa hiyo unataka tuendelee kupigwa mpaka CCM itakapoondolewa madarakani?

Think.
Nani ndani ya CCM si mpigaji!??
 
Hizi taarifa zinatakiwa kutoka kwa mameneja wa mabwawa ya umeme na sio kutoka kwa mtu mwingine yeyote, na zaidi ikitoka kwa bodi ya Tanesco iliyowekwa na Makamba ndio haiaminiki kabisa.
Maajabu haya...

Yaani Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO hana mamlaka ya kusemea vyanzo vya maji?! Hayo mamlaka yameondolewa LINI?!

In short, kama ilivyo kawaida yenu, wewe na wenzako mmekurupuka!! Hakuna popote ambapo ilitangazwa kwamba kuna upungufu wa maji Mtera, lakini kauli ya Meneja wa Mtera kusema kina cha maji kipo okay, mnaona kama ni taarifa mpya!!
!
Meneja wa Mtera kaongea, hao wengine nani ataamini kama kweli mabwawa yao yana upungufu wa maji ikizingatiwa hii tabia ya kutengeneza migao ya umeme sio mara ya kwanza kulikumba taifa? mameneja ndio wanaotakiwa kutoa hizi taarifa, sio wanasiasa wenye malengo yao ya kuusaka urais.
Kwahiyo Mkurugenzi wa TANESCO ni Mwanasiasa anayeutaka urais?!

Tatizo lenu lile lile ambalo nimekukuwa nikilisema...

Watu ni wavivu wa kutafuta taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi lakini ni wepesi wa kurukia na kuziamini taarifa zilizoandikwa na anonymous member hata kama hana reputation yoyote ile!!!

Anyway, hata mimi sina reputation yoyote na ndo maana nikiandika jambo, more often than not, lazima nitaweka source!! Mimi ni tofauti mathalani na hata mtu kama Pascal Mayalla ambae anaweza kuandika kitu bila ushahidi/reference lakini mtu unaweza kumpa the benefit of the doubt kutokana na reputation yake!
Narudia tena, Makamba hana credibility yoyote ya kuaminika maneno yake kuhusu mgao wa umeme, amekuwa akitoa majibu ya kujichanganya sana na sababu za kitoto kabisa kukwamisha mradi wa bwawa la Nyerere ili kuhalalisha anachokitaka [mradi wa LNG wa $ 30mil]
Yale yale... eti ana malengo ya kukwamisha Mradi wa Nyerere...

Man, USIONGEE VITU USIVYOVIJUA...

USD 30 Billion (SIO MILLION) LNG Project is MUCH BIGGER THAN THE ISSUE YA UMEME!!

Ngoja nikupe darsa hata kama huwa HAMTAKI KUELEWA! Na wagumu kuelewa kwa sababu HUWA HAMSOMI bali mnakimbilia ku-comment..

Darsa fupi unalotakiwa kulifahamu ni hili lifuatalo....

Tanzania kuna 57.4 Trillion Cubic Feet of Gas!!

Out of 57.4 Trillion Cubic Feet of gas, ONLY 7.5 Trillion Cubic Feet of gas ndizo zimeanza kuchimbwa, while ALMOST 50 Trillion Cubic Feet HAZIJAGUSWA!!!

Gas Discovery.png

Hiyo gas kwenye RED BOX bado HAIJAGUSWA, na hadi sasa ambayo inachimbwa ni hiyo in BLUE BOX ambayo ni ONLY 7.5 TCF!!

Na hata ile majuzi wakati naelezea JPM kuachana na Kinyerezi III na Kinyerezi IV ambzo zingeingiza at least 700 MW za umeme, wala sikumaanisha aanze kuchimba gas na hizo LNG Projects mnazosema!! Gas tayari ipo, what's needed is just to build new plants na ku-pump more gas, au labda kuongeza tu uzalishaji kutokana na mahitaji, and that's it!

THAT'S COMPLETELY DIFFERENT FROM US$30 BILLION LNG PROJECT mnayodai eti wanalenga kuhujumu Bwawa la Nyerere!!

Zile 7.5 Trillion Cubic Feet of Gas ambazo ndizo zimeanza kuchimbwa ZINATOSHA KABISA kutuzalishia umeme, at least for now!! Jiongeze mwenyewe kufahamu what's Modern Energy Access, kisha tafuta what's Modern Energy Access for an average Tanzanian, na ndipo utafahamu hizo 57 Trillion Cubic Feet of gas is TOO BIG FOR POWER GENERATION alone!!

Anyway, modern energy access is an American Concept ambayo inaweza ku-apply popote pale!!

So, hiyo USD 30 Billion LNG Project ni kwa ajili ya hiyo gesi ambayo HAIJAGUSWA, na itatumika sana for export, domestic and industrial pamoja na matumizi mengine!

Ni kutokana na hilo ndo maana TPDC waliwahi kutangaza tenda ya kujenga gas infrastructure (mabomba) Tanzania nzima ili hatimae gas iingizwe kwenye nyumba za watu kama ilivyo kwa maji!!

TPDC-  Gas Infrastructure.jpg

na bado inasemekana mmeshakodi software ya $ 30 mil..!!
Hizo porojo za Software nimeona zimeletwa na Mwanafalsafa, sema nikaamua tu kumpuuza, manake na mwenyewe yupo Team Legacy Protection!!

FYI, hiyo mnayosema sijui kukodisha software ni TAZA Project, na tenda yake ilitangazwa tangu June, 2020 during Magufuli Administration:-

Tender TanescO.png

What's TAZA?!

TAZA ipo financed, among other entities, pia kuna:-

TANESCO-WB TAZA.png

Na bila shaka, mna muda mwingi sana wa kuongea TAZA ina miradi lukuki inaendelea na mingine ipo bado especially Kanda za Juu Kusini!!

But how come tenda itangazwe tangia June 2020 halafu ianze kutekelezwa na Wapigaji Kutoka Msoga?! Inawezekana JPM hakuutaka huu mradi wa kifisadi haidhuru hata kama kuna miradi mingine chini ya TAZA ilifanyika wakati wake!!

Bila shaka, Wazalendo ambao huwa mna-jump into conclusion bila kufanya utafiti, hapo juu in bold lingekuwa ndo jibu lenu BUT, ingawaje Mwanafalsafa kaelezea kirahisi rahisi tu eti ku-install software, inaonesha issue yenyewe haikuwa nyepesi kiasi hicho, to the point, kila wakati Wazabuni wakawa wanaomba CLARIFICATIONS:-

July 24, 2020... almost one month later...

Clarification 1.png

Wiki 2 baadae, TANESCO wakalazimika kutoa maelezo ya nyongeza:-

Clarification 1A.png

REMEMBER, the said Clarification above, ilikuwa ni Clarification #1! Siwezi kujaza seva kwa kutaja zote, and let's Fast-Forward to Clarification #4...

Clarification 4.png

Yaani, hadi miezi 3 baadae, TANESCO wakawa wanafanya kazi ya ku-clarify jinsi ya "ku-INSTALL SOFTWARE 😂😂😂"

And be informed that, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha tenda ilikuwa August 21, 2020 lakini hadi September 04, TANESCO bado walikuwa na kazi ya ku-clarify jinsi ya ku-install software!! Sasa itakuwaje?!

Ikawa HAMNA NAMNA, TANESCO wakalazimika kuongeza muda, hiyo ikiwa ni mara ya pili ku-extend deadline....

TANESCO DEADLINE EXT.png

Je, baada ya kuongezwa huo muda kwa ajili ya "kui-install Software", je mambo yakawa now okay?! Hapa tena...

TANESCO DEADLINE EXT2.png

BUT WAIT... hivi si napoteza muda wangu tu hapa kuwaeleza watu ambao tayari vichwani mwao wana majibu yao, ambao hata ukiwauliza hivi huo ufisadi ni upi, jibu pekee watalokupa "ALIIBA MITIHANI, cjui wapi cjui!!!

Anyway, ngoja niwatendee haki wenye NIA YA KWELI ya kutaka kuelewa!! Inabidi nieleze kwa sababu mwenye nia ya kweli, nae akiambua kuchimba zaidi anaweza kuona some discrepancies kwa sababu, ukiingia kwenye tovuti ambayo link yake ipo kwenye kampuni iliyopewa hiyo tenda, yaani Tech Mahindra, unaweza kuona maelezo tofauti ambayo yanasema:-
Tanesco’s Managing director, Maharage Chande told a press conference in Dodoma on Tuesday that Tech Mahindra won a tender to help design an Enterprise Resource Planning system (ERP) that will help Tanesco to quickly identify any issues and resolve them promptly thereby ensuring top class customer and staff support.
Kama umesoma kwa makini, utaona maelezo ya tenda yalihusu Corporate Management System (CMS), sasa hayo mambo ya Enterprise Resource Planning System (ERP) mbona ni tofauti na tangazo la tangazo na clarifications zake?!

In short, January 29, 2021, wakati JPM bado akiwa hai na afya yake njema, huku pale wizarani akiwa bado Kalemani, TANESCO wakatoa Terms of Reference kwamba:-

TANESCO TERMS OF REFERENCE.png

Wacha niishie hapa, mwenye kutaka kuelewa, KESHAELEWA ZAMANI SANA
Hamjiulizi kwanini kelele zote Tanesco tu tena baada ya Makamba kuingia huko wizarani?!
Chuki zenu tu, na kama sio chuki labda ni kutokana na tabia zenu ya kuokoteza maneno barabarani na kuyameza kama yalivyo! Na kama nakusingizia, nitajie tuhuma za ufisadi alizonazo January kama hamjaishia kwenye kuiba mitihani, tuhuma ambazo na zenyewe mneziokoteza barabarani!!

Na hata zingekuwa za kweli, yaani seriously issue za shule leo hii mhusishe na mambo kama mkisikia LNG, oh Makamba Fisadi! Mkisikia Ubungo II mitambo mibovu, oh Makamba fisadi, mkisikia maji yamepungua, oh Makamba fisadi.

Kwa bahati mbaya sana, wengine mnatumika tu bila kujijua!!!
 
Maajabu haya...

Yaani Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO hana mamlaka ya kusemea vyanzo vya maji?! Hayo mamlaka yameondolewa LINI?!

In short, kama ilivyo kawaida yenu, wewe na wenzako mmekurupuka!! Hakuna popote ambapo ilitangazwa kwamba kuna upungufu wa maji Mtera, lakini kauli ya Meneja wa Mtera kusema kina cha maji kipo okay, mnaona kama ni taarifa mpya!!
!

Kwahiyo Mkurugenzi wa TANESCO ni Mwanasiasa anayeutaka urais?!

Tatizo lenu lile lile ambalo nimekukuwa nikilisema...

Watu ni wavivu wa kutafuta taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi lakini ni wepesi wa kurukia na kuziamini taarifa zilizoandikwa na anonymous member hata kama hana reputation yoyote ile!!!

Anyway, hata mimi sina reputation yoyote na ndo maana nikiandika jambo, more often than not, lazima nitaweka source!! Mimi ni tofauti mathalani na hata mtu kama Pascal Mayalla ambae anaweza kuandika kitu bila ushahidi/reference lakini mtu unaweza kumpa the benefit of the doubt kutokana na reputation yake!

Yale yale... eti ana malengo ya kukwamisha Mradi wa Nyerere...

Man, USIONGEE VITU USIVYOVIJUA...

USD 30 Billion (SIO MILLION) LNG Project is MUCH BIGGER THAN THE ISSUE YA UMEME!!

Ngoja nikupe darsa hata kama huwa HAMTAKI KUELEWA! Na wagumu kuelewa kwa sababu HUWA HAMSOMI bali mnakimbilia ku-comment..

Darsa fupi unalotakiwa kulifahamu ni hili lifuatalo....

Tanzania kuna 57.4 Trillion Cubic Feet of Gas!!

Out of 57.4 Trillion Cubic Feet of gas, ONLY 7.5 Trillion Cubic Feet of gas ndizo zimeanza kuchimbwa, while ALMOST 50 Trillion Cubic Feet HAZIJAGUSWA!!!

View attachment 2020906

Hiyo gas kwenye RED BOX bado HAIJAGUSWA, na hadi sasa ambayo inachimbwa ni hiyo in BLUE BOX ambayo ni ONLY 7.5 TCF!!

Na hata ile majuzi wakati naelezea JPM kuachana na Kinyerezi III na Kinyerezi IV ambzo zingeingiza at least 700 MW za umeme, wala sikumaanisha aanze kuchimba gas na hizo LNG Projects mnazosema!! Gas tayari ipo, what's needed is just to build new plants na ku-pump more gas, au labda kuongeza tu uzalishaji kutokana na mahitaji, and that's it!

THAT'S COMPLETELY DIFFERENT FROM US$30 BILLION LNG PROJECT mnayodai eti wanalenga kuhujumu Bwawa la Nyerere!!

Zile 7.5 Trillion Cubic Feet of Gas ambazo ndizo zimeanza kuchimbwa ZINATOSHA KABISA kutuzalishia umeme, at least for now!! Jiongeze mwenyewe kufahamu what's Modern Energy Access, kisha tafuta what's Modern Energy Access for an average Tanzanian, na ndipo utafahamu hizo 57 Trillion Cubic Feet of gas is TOO BIG FOR POWER GENERATION alone!!

Anyway, modern energy access is an American Concept ambayo inaweza ku-apply popote pale!!

So, hiyo USD 30 Billion LNG Project ni kwa ajili ya hiyo gesi ambayo HAIJAGUSWA, na itatumika sana for export, domestic and industrial pamoja na matumizi mengine!

Ni kutokana na hilo ndo maana TPDC waliwahi kutangaza tenda ya kujenga gas infrastructure (mabomba) Tanzania nzima ili hatimae gas iingizwe kwenye nyumba za watu kama ilivyo kwa maji!!

View attachment 2020925

Hizo porojo za Software nimeona zimeletwa na Mwanafalsafa, sema nikaamua tu kumpuuza, manake na mwenyewe yupo Team Legacy Protection!!

FYI, hiyo mnayosema sijui kukodisha software ni TAZA Project, na tenda yake ilitangazwa tangu June, 2020 during Magufuli Administration:-

View attachment 2020619

What's TAZA?!

TAZA ipo financed, among other entities, pia kuna:-

View attachment 2020643

Na bila shaka, mna muda mwingi sana wa kuongea TAZA ina miradi lukuki inaendelea na mingine ipo bado especially Kanda za Juu Kusini!!

But how come tenda itangazwe tangia June 2020 halafu ianze kutekelezwa na Wapigaji Kutoka Msoga?! Inawezekana JPM hakuutaka huu mradi wa kifisadi haidhuru hata kama kuna miradi mingine chini ya TAZA ilifanyika wakati wake!!

Bila shaka, Wazalendo ambao huwa mna-jump into conclusion bila kufanya utafiti, hapo juu in bold lingekuwa ndo jibu lenu BUT, ingawaje Mwanafalsafa kaelezea kirahisi rahisi tu eti ku-install software, inaonesha issue yenyewe haikuwa nyepesi kiasi hicho, to the point, kila wakati Wazabuni wakawa wanaomba CLARIFICATIONS:-

July 24, 2020... almost one month later...

View attachment 2020700

Wiki 2 baadae, TANESCO wakalazimika kutoa maelezo ya nyongeza:-

View attachment 2020708

REMEMBER, the said Clarification above, ilikuwa ni Clarification #1! Siwezi kujaza seva kwa kutaja zote, and let's Fast-Forward to Clarification #4...

View attachment 2020718

Yaani, hadi miezi 3 baadae, TANESCO wakawa wanafanya kazi ya ku-clarify jinsi ya "ku-INSTALL SOFTWARE "

And be informed that, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha tenda ilikuwa August 21, 2020 lakini hadi September 04, TANESCO bado walikuwa na kazi ya ku-clarify jinsi ya ku-install software!! Sasa itakuwaje?!

Ikawa HAMNA NAMNA, TANESCO wakalazimika kuongeza muda, hiyo ikiwa ni mara ya pili ku-extend deadline....

View attachment 2020768

Je, baada ya kuongezwa huo muda kwa ajili ya "kui-install Software", je mambo yakawa now okay?! Hapa tena...

View attachment 2020786

BUT WAIT... hivi si napoteza muda wangu tu hapa kuwaeleza watu ambao tayari vichwani mwao wana majibu yao, ambao hata ukiwauliza hivi huo ufisadi ni upi, jibu pekee watalokupa "ALIIBA MITIHANI, cjui wapi cjui!!!

Anyway, ngoja niwatendee haki wenye NIA YA KWELI ya kutaka kuelewa!! Inabidi nieleze kwa sababu mwenye nia ya kweli, nae akiambua kuchimba zaidi anaweza kuona some discrepancies kwa sababu, ukiingia kwenye tovuti ambayo link yake ipo kwenye kampuni iliyopewa hiyo tenda, yaani Tech Mahindra, unaweza kuona maelezo tofauti ambayo yanasema:-

Kama umesoma kwa makini, utaona maelezo ya tenda yalihusu Corporate Management System (CMS), sasa hayo mambo ya Enterprise Resource Planning System (ERP) mbona ni tofauti na tangazo la tangazo na clarifications zake?!

In short, January 29, 2021, wakati JPM bado akiwa hai na afya yake njema, huku pale wizarani akiwa bado Kalemani, TANESCO wakatoa Terms of Reference kwamba:-

View attachment 2020869

Wacha niishie hapa, mwenye kutaka kuelewa, KESHAELEWA ZAMANI SANA

Chuki zenu tu, na kama sio chuki labda ni kutokana na tabia zenu ya kuokoteza maneno barabarani na kuyameza kama yalivyo! Na kama nakusingizia, nitajie tuhuma za ufisadi alizonazo January kama hamjaishia kwenye kuiba mitihani, tuhuma ambazo na zenyewe mneziokoteza barabarani!!

Na hata zingekuwa za kweli, yaani seriously issue za shule leo hii mhusishe na mambo kama mkisikia LNG, oh Makamba Fisadi! Mkisikia Ubungo II mitambo mibovu, oh Makamba fisadi, mkisikia maji yamepungua, oh Makamba fisadi.

Kwa bahati mbaya sana, wengine mnatumika tu bila kujijua!!!
Nasema tena, huyo mkurugenzi anaingiliwa na wanasiasa kwenye utendaji wake, vyema taarifa kama hizi zitoke kwa wahusika moja kwa moja, zisipitie kwa wanasiasa au vibaraka wao ambao huzichakachua kwa malengo yao binafsi.

Narudia tena hata kama hutaki kuelewa, suala la credibility hapa haliepukiki, hiyo $30 bil. mtaitoa wapi, na itakabidhiwa wakina nani ili itumike ipasavyo, huyo mwenye malengo ya urais hafai kushika hizo pesa, sema yote natumika or whatever but this is my stance kwenye hii issue, common sense huwezi mpa fisi alinde bucha.

- Winchi ya tani 26 inaingia lini nchini? muulize jamaa yako, haya majedwali yako kwangu hayana maana, nataka kujua what is going on kule field lile bwawa liishe ndio mlete habari za LNG.

Haiwezekani mradi mkubwa unaendelea haujakamilika, then mnakuja na mipango mipya ya $30bil. this is insanity!, kwa utajiri hlgani tulionao kama taifa? kama sio ndoto za urais ndio zinawasukuma kufanya haya..

Habari ya software umeiona unasema huwezi kuizungumzia, why? unataka role model wako aendelee kuchafuliwa?!

Anyway amekuja na habari ya suluhisho la kudumu kuhusu tatizo la umeme, ngoja nione kama hilo suluhisho litakuwa hiyo % kwenye graph yako ya gas ambayo bado haijachimbwa, vinginevyo, utakuwa unamzungumzia usiemjua my friend.

Mengine ya chuki uliyoandika hapa hata sitayajibu, mimi sio kati ya wale wanaooneshwa long articles with tables filled with numbers then nianze kukusifia, kabla hata sijaanza kuyasoma hayo madude najiuliza huyo anayetetewa hapa ni nani, ana rekodi gani, ndio naanza kukusoma, kama ana rekodi chafu hunipati.

Kama unadhani mimi namchukia bila sababu basi wewe mpende the choice is yourz, mtu alietafutiwa kula mpaka na dadake bullshit. Kama hili taifa lingekuwa linajali miiko ya uongozi, Makamba angekuwa historia.

Talking about reputation kwa Paskali, huyo Makamba now tell Makamba ana reputation gani? amewahi kulifanyia nini hili taifa? nachokijua kwake ni kuiba mitihani na dadake kumtengenezea njia ya kuwa waziri, huo ndio ukweli wangu unisamehe bure.
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Tanesco na waziri wake hawa helewani.
 
Nasema tena, huyo mkurugenzi anaingiliwa na wanasiasa kwenye utendaji wake, vyema taarifa kama hizi zitoke kwa wahusika moja kwa moja, zisipitie kwa wanasiasa au vibaraka wao ambao huzichakachua kwa malengo yao binafsi.

Narudia tena hata kama hutaki kuelewa, suala la credibility hapa haliepukiki, hiyo $30 bil. mtaitoa wapi, na itakabidhiwa wakina nani ili itumike ipasavyo, huyo mwenye malengo ya urais hafai kushika hizo pesa, sema yote natumika or whatever but this is my stance kwenye hii issue, common sense huwezi mpa fisi alinde bucha.

- Winchi ya tani 26 inaingia lini nchini? muulize jamaa yako, haya majedwali yako kwangu hayana maana, nataka kujua what is going on kule field lile bwawa liishe ndio mlete habari za LNG.

Haiwezekani mradi mkubwa unaendelea haujakamilika, then mnakuja na mipango mipya ya $30bil. this is insanity!, kwa utajiri hlgani tulionao kama taifa? kama sio ndoto za urais ndio zinawasukuma kufanya haya..

Mengine ya chuki uliyoandika hapa hata sitayajibu, mimi sio kati ya wale wanaooneshwa long articles with tables filled with numbers then nianze kukusifia, kabla hata sijaanza kuyasoma hayo madude najiuliza huyo anayetetewa hapa ni nani, ana rekodi gani, ndio naanza kukusoma, kama ana rekodi chafu hunipati.

Kama unadhani mimi namchukia bila sababu basi wewe mpende the choice is yourz, mtu alietafutiwa kula mpaka na dadake bullshit. Kama hili taifa lingekuwa linajali miiko ya uongozi, Makamba angekuwa historia.

Talking about reputation kwa Paskali, huyo Makamba now tell Makamba ana reputation gani? amewahi kulifanyia nini hili taifa? nachokijua kwake ni kuiba mitihani na dadake kumtengenezea njia ya kuwa waziri, huo ndio ukweli wangu unisamehe bure.
Na huu ndio ukweli wenyewe,kama hataki akae kimya ,asikusumbue,na ukweli huu umekuweka huru
 
Nasema tena, huyo mkurugenzi anaingiliwa na wanasiasa kwenye utendaji wake, vyema taarifa kama hizi zitoke kwa wahusika moja kwa moja, zisipitie kwa wanasiasa au vibaraka wao ambao huzichakachua kwa malengo yao binafsi.
Nami nasema hivi...

Ni kiroja cha karne kusema Mkuu wa Taasisi hana mamlaka ya kuongelea mambo ya kwenye vitengo hata kama issue yenyewe inahusu utendaji kazi ya taasisi mzima!!

Muwe mnachagua ya kuongea manake mbele za watu, hicho ni kiroja!!!
Narudia tena hata kama hutaki kuelewa, suala la credibility hapa haliepukiki, hiyo $30 bil. mtaitoa wapi, na itakabidhiwa wakina nani ili itumike ipasavyo, huyo mwenye malengo ya urais hafai kushika hizo pesa, sema yote natumika or whatever but this is my stance kwenye hii issue, common sense huwezi mpa fisi alinde bucha.
Narudia, ACHA KUONGEA MAMBO USIYOYAJUA

Wakabidhiwe akina nani wakati huo mradi unajengwa na Consortium of Oil Companies?!
- Winchi ya tani 26 inaingia lini nchini? muulize jamaa yako,
IRRELEVAANT
haya majedwali yako kwangu hayana maana, nataka kujua what is going on kule field lile bwawa liishe ndio mlete habari za LNG.
Hapa umeonesha HUNA UWEZO wa kujadiliana mada zilizoenda shule manake hakuna anayejielewa anayeweza kuongea mambo kwa kutoa kichwani au kuongea mambo ya kuokoteza barabarani...

Pole sana...
Haiwezekani mradi mkubwa unaendelea haujakamilika, then mnakuja na mipango mipya ya $30bil. this is insanity!, kwa utajiri hlgani tulionao kama taifa? kama sio ndoto za urais ndio zinawasukuma kufanya haya..
Narudia, acha kuongea mambo usiyoyajua...

Hakuna anayeweza kuwekeza USD 30 Billion ili kuzalisha umeme.... tumia basi angalau common sense!!!
Habari ya software umeiona unasema huwezi kuizungumzia, why? unataka role model wako aendelee kuchafuliwa?!
Wapi niliposema siwezi kuzungumza? Yaani hujaona nilipozungumzia hilo suala la software ambalo mmelishana matango pori, au?
Anyway amekuja na habari ya suluhisho la kudumu kuhusu tatizo la umeme, ngoja nione kama hilo suluhisho litakuwa hiyo % kwenye graph yako ya gas ambayo bado haijachimbwa, vinginevyo, utakuwa unamzungumzia usiemjua my friend.
NARUDIA, huwezi kuwekeza USD 30 Billion na kuchimba 50 Cubic Feet of Gas kwa ajili ya kuzalisha umeme tena kwa ajili ya nchi yenye uchumi mdogo kama Tanzania!!

Na hapa ningekukumbusha kutumia common sense!! Ikiwa just part of 7.5 Trillion Cubic Feet inaweza kuingiza zaidi ya 1000 MW, hivi unaamini Tanzania ina uchumi wa ku-consume power generated from 57 Trillion Cubic Feet hadi uamini Oil Companies zinaweza kuwekeza USD 30 Billion ili kuchimba gas ya kuzalisha umeme? Halafu hiyo pesa itarudi rudi vipi?!
Mengine ya chuki uliyoandika hapa hata sitayajibu, mimi sio kati ya wale wanaooneshwa long articles with tables filled with numbers then nianze kukusifia,
Yaani nitake kusifiwa na wewe?! Kwa kipi hadi nitafute kusifiwa na wewe?!

Ushawahi kuona naku-quote popote pale?! Nimeanza kuku-quote baada ya wewe, from nowhere kuanza kuni-mention mahali, na kusema kwamba eti nalipwa na Wachina... kwa kawaida hizi ndo hoja za watu wasio na uwezo wa kujenga hoja!!

Na hivi unafahamu kwanini sijawahi kuku-quote?! Huwa nam-quote mtu ambae namuona amejitahidi kuongea hoja hata kama hoja yenyewe sikubaliani nayo!!!

Na hata kwenye hii mada, kama usingeni-quote, wala usingeniona, and that explains why hata ile juzi kwenye uzi wangu mwenyewe bado niliamua kuachana na wewe manake huna uwezo wa kujadili mada katika level ya juu! Matokeo, huna cha maana zaidi ya "unamyemtetea" "aliyekutuma..."

What a pitty!
kabla hata sijaanza kuyasoma hayo madude najiuliza huyo anayetetewa hapa ni nani, ana rekodi gani, ndio naanza kukusoma, kama ana rekodi chafu hunipati.
Na ndo utabaki kujazwa ujinga hivyo hivyo kwa sababu ni mvivu wa kusoma, na mvivu wa kutafuta ukweli!!
Kama unadhani mimi namchukia bila sababu basi wewe mpende the choice is yourz, mtu alietafutiwa kula mpaka na dadake bullshit. Kama hili taifa lingekuwa linajali miiko ya uongozi, Makamba angekuwa historia.
Huna hoja, na kama huna hoja inaonesha wazi una personal issues!, and the last time I checked, I remember nilihoji:-
Chuki zenu tu, na kama sio chuki labda ni kutokana na tabia zenu ya kuokoteza maneno barabarani na kuyameza kama yalivyo! Na kama nakusingizia, nitajie tuhuma za ufisadi alizonazo January kama hamjaishia kwenye kuiba mitihani, tuhuma ambazo na zenyewe mneziokoteza barabarani!!
Na ikumbukwe kwamba, sisemi yeye ni msafi, kwa sababu NO BODY IN CCM is MSAFI but unlike you, siwezi kuongea vitu vya kufikirika, manake mara zote hoja mnazotoa ni za kuiba mitihani!!!
Talking about reputation kwa Paskali, huyo Makamba now tell Makamba ana reputation gani? amewahi kulifanyia nini hili taifa? nachokijua kwake ni kuiba mitihani na dadake kumtengenezea njia ya kuwa waziri, huo ndio ukweli wangu unisamehe bure.
Umeelewa context niliyozungumzia reputation?!

Kuna mahali nimesema Makamba ana reputation?!

FYI, kwenye maandiko yangu huwa sifanyi reference kutoka kwa wanasiasa kwa sababu I know, wanasiasa ni miongoni mwa viumbe ambao kauli zao haziaminiki!!!
 
Nami nasema hivi...

Ni kiroja cha karne kusema Mkuu wa Taasisi hana mamlaka ya kuongelea mambo ya kwenye vitengo hata kama issue yenyewe inahusu utendaji kazi ya taasisi mzima!!

Muwe mnachagua ya kuongea manake mbele za watu, hicho ni kiroja!!!

Narudia, ACHA KUONGEA MAMBO USIYOYAJUA

Wakabidhiwe akina nani wakati huo mradi unajengwa na Consortium of Oil Companies?!

IRRELEVAANT

Hapa umeonesha HUNA UWEZO wa kujadiliana mada zilizoenda shule manake hakuna anayejielewa anayeweza kuongea mambo kwa kutoa kichwani au kuongea mambo ya kuokoteza barabarani...

Pole sana...

Narudia, acha kuongea mambo usiyoyajua...

Hakuna anayeweza kuwekeza USD 30 Billion ili kuzalisha umeme.... tumia basi angalau common sense!!!

Wapi niliposema siwezi kuzungumza? Yaani hujaona nilipozungumzia hilo suala la software ambalo mmelishana matango pori, au?

NARUDIA, huwezi kuwekeza USD 30 Billion na kuchimba 50 Cubic Feet of Gas kwa ajili ya kuzalisha umeme tena kwa ajili ya nchi yenye uchumi mdogo kama Tanzania!!

Na hapa ningekukumbusha kutumia common sense!! Ikiwa just part of 7.5 Trillion Cubic Feet inaweza kuingiza zaidi ya 1000 MW, hivi unaamini Tanzania ina uchumi wa ku-consume power generated from 57 Trillion Cubic Feet hadi uamini Oil Companies zinaweza kuwekeza USD 30 Billion ili kuchimba gas ya kuzalisha umeme? Halafu hiyo pesa itarudi rudi vipi?!

Yaani nitake kusifiwa na wewe?! Kwa kipi hadi nitafute kusifiwa na wewe?!

Ushawahi kuona naku-quote popote pale?! Nimeanza kuku-quote baada ya wewe, from nowhere kuanza kuni-mention mahali, na kusema kwamba eti nalipwa na Wachina... kwa kawaida hizi ndo hoja za watu wasio na uwezo wa kujenga hoja!!

Na hivi unafahamu kwanini sijawahi kuku-quote?! Huwa nam-quote mtu ambae namuona amejitahidi kuongea hoja hata kama hoja yenyewe sikubaliani nayo!!!

Na hata kwenye hii mada, kama usingeni-quote, wala usingeniona, and that explains why hata ile juzi kwenye uzi wangu mwenyewe bado niliamua kuachana na wewe manake huna uwezo wa kujadili mada katika level ya juu! Matokeo, huna cha maana zaidi ya "unamyemtetea" "aliyekutuma..."

What a pitty!

Na ndo utabaki kujazwa ujinga hivyo hivyo kwa sababu ni mvivu wa kusoma, na mvivu wa kutafuta ukweli!!

Huna hoja, na kama huna hoja inaonesha wazi una personal issues!, and the last time I checked, I remember nilihoji:-

Na ikumbukwe kwamba, sisemi yeye ni msafi, kwa sababu NO BODY IN CCM is MSAFI but unlike you, siwezi kuongea vitu vya kufikirika, manake mara zote hoja mnazotoa ni za kuiba mitihani!!!

Umeelewa context niliyozungumzia reputation?!

Kuna mahali nimesema Makamba ana reputation?!

FYI, kwenye maandiko yangu huwa sifanyi reference kutoka kwa wanasiasa kwa sababu I know, wanasiasa ni miongoni mwa viumbe ambao kauli zao haziaminiki!!!
Siku zote watu wenye roho za korosho umchukia mtu hata bila ya sababu yoyote.
 
Back
Top Bottom