Tulitaka kutengenezewa ukame bwawa la Mtera, tupazeni sauti tukiona ndivyo sivyo

“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Hako kajamaa na kipara chake kamekaa kimtego mtego sana.......tamaa ya pesa na madaraka mbaya sana.
 
nilitizama ile gesture ya kukuna kidevu ya Januari wakati meneja anajieleza nikajua kimeumana kwa majizi.
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Source ya haya maneno PLEASE
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
  • Mtera Hydropower Plant has an installed capacity of 80MW. The power generation started in 22nd May 1988 for unit 1 and 7th December 1988 for unit 2 respectively.
 
Wanajukwaa tupongezaneni tuliopinga hujuma hii ya kutaka kuuziwa umeme wa mafuta na mgao unnecessary
Usichokijua ni kwamba kwa dalili hizi za ukame zilivyoanza mwakani by August au September tutaelewana vizuri nyie endeleeni na ngonjera zenu tuu...
 
Watu ni wavivu wa kutafuta taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi lakini ni wepesi wa kurukia na kuziamini taarifa zilizoandikwa na anonymous member hata kama hana reputation yoyote ile!!!
Mkuu Chige , kwanza sii kweli kuwa hauna reputation yoyote, ukweli ni kuwa, kwanza sisi wana jf wote we are all equal, na kila mwana jf, ana his/her own reputation kwenye maeneo ya interest zake au ubobezi na ubobevu wake. Unaweza wewe mwenyewe usijijue how reputable you are, but kuna watu wanakuheshimu sana, na unawasaidia sana kuwaelimisha kwenye mengi, mimi nikiwemo, na sii mara moja wala mbili, nimetumia ama post zako, ama mabandiko yako kama shamba darasa la kuchukua mbegu na mimi kuotesha bandiko langu.
Anyway, hata mimi sina reputation yoyote na ndo maana nikiandika jambo, more often than not, lazima nitaweka source!! Mimi ni tofauti mathalani na hata mtu kama Pascal Mayalla ambae anaweza kuandika kitu bila ushahidi/reference lakini mtu unaweza kumpa the benefit of the doubt kutokana na reputation yake!.
Duh...!. Mimi naandika na kuchangia humu jf, katika mawanda makuu matatu.
  1. Mimi ni mwandishi, hivyo kuna post huwa nazipandisha humu jf as a professional journalist, kazi yangu ni kuripoti tuu kile kilichotokea. Siruhusiwi kuweka opinion yangu kwenye news reporting.
  2. Mimi kama mtu wa kawaida as anybody else, nachangia mabandiko yoyote kwa kusema chochote with or without any proof.
  3. Mimi nachangia jf as a professional writer, ni mwandishi wa makala mbalimbali za TV, redio na magazeti, nina collum zangu kwenye baadhi ya magazeti, sasa kwenye uandishi wa makala, naruhusiwa to express my opinion kuhusu jambo lolote hivyo niko free kuandika chochote with or without ushahidi wowote, na vinaaminika sio kwasababu ya reputation bali kwa sababu they make sense.
Kwa bahati mbaya sana, wengine mnatumika tu bila kujijua!!!
Naunga mkono hoja hii, hiki kinachoendelea sasa kumhusu January, ni kama kile kilichomtokea Edward Lowassa, anaonekana ni dear boy, anaweza kumpokea Mama, 2030, hivyo wahafidhina wanahangaika kuhakikisha wanamzamisha!.

January Makamba ni mti wenye matunda.

P
 
Na huu ndio ukweli wenyewe,kama hataki akae kimya ,asikusumbue,na ukweli huu umekuweka huru
Nimemaliza, magazeti yake yuko free kuendelea nayo, kama umejaa matuhuma machafu lazima kwanza utoke ujisafishe ndio mambo mengine yaendelee, sio kukaa kimya halafu unakuja na utetezi wa "chuki binafsi" kwa anayehoji, what a crap!

They are talking about $30bil watazipata wapi? watazirudishaje? they dont care, wao wanachojali pesa zije, wapige, zitakazobaki wapeleke kwenye mradi habari ya kulipa haiwahusu.

Mikataba yenyewe wamezoea kuifanya siri, no way; kelele zipigwe tu.

You can't shut me up that easy.
 
Maajabu haya...

Yaani Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO hana mamlaka ya kusemea vyanzo vya maji?! Hayo mamlaka yameondolewa LINI?!

In short, kama ilivyo kawaida yenu, wewe na wenzako mmekurupuka!! Hakuna popote ambapo ilitangazwa kwamba kuna upungufu wa maji Mtera, lakini kauli ya Meneja wa Mtera kusema kina cha maji kipo okay, mnaona kama ni taarifa mpya!!
!

Kwahiyo Mkurugenzi wa TANESCO ni Mwanasiasa anayeutaka urais?!

Tatizo lenu lile lile ambalo nimekukuwa nikilisema...

Watu ni wavivu wa kutafuta taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi lakini ni wepesi wa kurukia na kuziamini taarifa zilizoandikwa na anonymous member hata kama hana reputation yoyote ile!!!

Anyway, hata mimi sina reputation yoyote na ndo maana nikiandika jambo, more often than not, lazima nitaweka source!! Mimi ni tofauti mathalani na hata mtu kama Pascal Mayalla ambae anaweza kuandika kitu bila ushahidi/reference lakini mtu unaweza kumpa the benefit of the doubt kutokana na reputation yake!

Yale yale... eti ana malengo ya kukwamisha Mradi wa Nyerere...

Man, USIONGEE VITU USIVYOVIJUA...

USD 30 Billion (SIO MILLION) LNG Project is MUCH BIGGER THAN THE ISSUE YA UMEME!!

Ngoja nikupe darsa hata kama huwa HAMTAKI KUELEWA! Na wagumu kuelewa kwa sababu HUWA HAMSOMI bali mnakimbilia ku-comment..

Darsa fupi unalotakiwa kulifahamu ni hili lifuatalo....

Tanzania kuna 57.4 Trillion Cubic Feet of Gas!!

Out of 57.4 Trillion Cubic Feet of gas, ONLY 7.5 Trillion Cubic Feet of gas ndizo zimeanza kuchimbwa, while ALMOST 50 Trillion Cubic Feet HAZIJAGUSWA!!!

View attachment 2020906

Hiyo gas kwenye RED BOX bado HAIJAGUSWA, na hadi sasa ambayo inachimbwa ni hiyo in BLUE BOX ambayo ni ONLY 7.5 TCF!!

Na hata ile majuzi wakati naelezea JPM kuachana na Kinyerezi III na Kinyerezi IV ambzo zingeingiza at least 700 MW za umeme, wala sikumaanisha aanze kuchimba gas na hizo LNG Projects mnazosema!! Gas tayari ipo, what's needed is just to build new plants na ku-pump more gas, au labda kuongeza tu uzalishaji kutokana na mahitaji, and that's it!

THAT'S COMPLETELY DIFFERENT FROM US$30 BILLION LNG PROJECT mnayodai eti wanalenga kuhujumu Bwawa la Nyerere!!

Zile 7.5 Trillion Cubic Feet of Gas ambazo ndizo zimeanza kuchimbwa ZINATOSHA KABISA kutuzalishia umeme, at least for now!! Jiongeze mwenyewe kufahamu what's Modern Energy Access, kisha tafuta what's Modern Energy Access for an average Tanzanian, na ndipo utafahamu hizo 57 Trillion Cubic Feet of gas is TOO BIG FOR POWER GENERATION alone!!

Anyway, modern energy access is an American Concept ambayo inaweza ku-apply popote pale!!

So, hiyo USD 30 Billion LNG Project ni kwa ajili ya hiyo gesi ambayo HAIJAGUSWA, na itatumika sana for export, domestic and industrial pamoja na matumizi mengine!

Ni kutokana na hilo ndo maana TPDC waliwahi kutangaza tenda ya kujenga gas infrastructure (mabomba) Tanzania nzima ili hatimae gas iingizwe kwenye nyumba za watu kama ilivyo kwa maji!!

View attachment 2020925

Hizo porojo za Software nimeona zimeletwa na Mwanafalsafa, sema nikaamua tu kumpuuza, manake na mwenyewe yupo Team Legacy Protection!!

FYI, hiyo mnayosema sijui kukodisha software ni TAZA Project, na tenda yake ilitangazwa tangu June, 2020 during Magufuli Administration:-

View attachment 2020619

What's TAZA?!

TAZA ipo financed, among other entities, pia kuna:-

View attachment 2020643


Na bila shaka, mna muda mwingi sana wa kuongea TAZA ina miradi lukuki inaendelea na mingine ipo bado especially Kanda za Juu Kusini!!

But how come tenda itangazwe tangia June 2020 halafu ianze kutekelezwa na Wapigaji Kutoka Msoga?! Inawezekana JPM hakuutaka huu mradi wa kifisadi haidhuru hata kama kuna miradi mingine chini ya TAZA ilifanyika wakati wake!!

Bila shaka, Wazalendo ambao huwa mna-jump into conclusion bila kufanya utafiti, hapo juu in bold lingekuwa ndo jibu lenu BUT, ingawaje Mwanafalsafa kaelezea kirahisi rahisi tu eti ku-install software, inaonesha issue yenyewe haikuwa nyepesi kiasi hicho, to the point, kila wakati Wazabuni wakawa wanaomba CLARIFICATIONS:-

July 24, 2020... almost one month later...

View attachment 2020700

Wiki 2 baadae, TANESCO wakalazimika kutoa maelezo ya nyongeza:-

View attachment 2020708

REMEMBER, the said Clarification above, ilikuwa ni Clarification #1! Siwezi kujaza seva kwa kutaja zote, and let's Fast-Forward to Clarification #4...

View attachment 2020718

Yaani, hadi miezi 3 baadae, TANESCO wakawa wanafanya kazi ya ku-clarify jinsi ya "ku-INSTALL SOFTWARE "

And be informed that, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha tenda ilikuwa August 21, 2020 lakini hadi September 04, TANESCO bado walikuwa na kazi ya ku-clarify jinsi ya ku-install software!! Sasa itakuwaje?!

Ikawa HAMNA NAMNA, TANESCO wakalazimika kuongeza muda, hiyo ikiwa ni mara ya pili ku-extend deadline....


View attachment 2020768

Je, baada ya kuongezwa huo muda kwa ajili ya "kui-install Software", je mambo yakawa now okay?! Hapa tena...

View attachment 2020786

BUT WAIT... hivi si napoteza muda wangu tu hapa kuwaeleza watu ambao tayari vichwani mwao wana majibu yao, ambao hata ukiwauliza hivi huo ufisadi ni upi, jibu pekee watalokupa "ALIIBA MITIHANI, cjui wapi cjui!!!

Anyway, ngoja niwatendee haki wenye NIA YA KWELI ya kutaka kuelewa!! Inabidi nieleze kwa sababu mwenye nia ya kweli, nae akiambua kuchimba zaidi anaweza kuona some discrepancies kwa sababu, ukiingia kwenye tovuti ambayo link yake ipo kwenye kampuni iliyopewa hiyo tenda, yaani Tech Mahindra, unaweza kuona maelezo tofauti ambayo yanasema:-

Kama umesoma kwa makini, utaona maelezo ya tenda yalihusu Corporate Management System (CMS), sasa hayo mambo ya Enterprise Resource Planning System (ERP) mbona ni tofauti na tangazo la tangazo na clarifications zake?!

In short, January 29, 2021, wakati JPM bado akiwa hai na afya yake njema, huku pale wizarani akiwa bado Kalemani, TANESCO wakatoa Terms of Reference kwamba:-

View attachment 2020869

Wacha niishie hapa, mwenye kutaka kuelewa, KESHAELEWA ZAMANI SANA

Chuki zenu tu, na kama sio chuki labda ni kutokana na tabia zenu ya kuokoteza maneno barabarani na kuyameza kama yalivyo! Na kama nakusingizia, nitajie tuhuma za ufisadi alizonazo January kama hamjaishia kwenye kuiba mitihani, tuhuma ambazo na zenyewe mneziokoteza barabarani!!

Na hata zingekuwa za kweli, yaani seriously issue za shule leo hii mhusishe na mambo kama mkisikia LNG, oh Makamba Fisadi! Mkisikia Ubungo II mitambo mibovu, oh Makamba fisadi, mkisikia maji yamepungua, oh Makamba fisadi.

Kwa bahati mbaya sana, wengine mnatumika tu bila kujijua!!!
Ninachofurahia ni kwamba zama za hoja na data zimerudi sio brah brah,hongera mkuu hoja na data zimeshiba.
 
Back
Top Bottom