Tulisema Hapa kuhusu JKT sio kipimo cha kupeleka watu JWTZ ni kupotezea watu mda.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa.

Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT.

Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa kwenda jeshini.

Na mwisho wa siku mnawaacha huku mtaani wakiwa na hasira.
 
Ngoja waje vijana ndiyo maana ofisi za posta kuna vijana wengi wanaenda na bahasha kutakla kuandikishwa JWTZ.
 
JKT ni kwaajiri ya kujenga ukakamavu ila sio daraja la kwendea JWTZ ingawa wanatumia kama kigezo cha kukupitisha.
 
ukakamavu usio na ajira embu nenda wewe ukapate ajira JKT
Narudia tena,JKT ni kwaajiri ya kuwajenga vijana kuwa wakakamavu. Lengo ni kuwafanya wawe focused,waondokane na mawenge mbali mbali kama tamaa za maisha ya gharama,uvivu,uzembe,ushamba, na kuwapa tabia mpya kama uchakarikaji,uchangamfu,kutokata tamaa,ari ya kazi na bidii,kujitolea, kusaidia, umoja,na kadhalika.

Wewe kama unaona hizi sifa ni kwaajiri ya kutafutia ajira then unatakiwa kurejea tena malengo ya JKT.
 
Huu ni uongo wa kiwango cha lami uko jkt ni wanaenda kupigwa mashine na maafande walafi na kulimishwa mashamba ya ma afande.....
 
Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa.

Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT.

Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa kwenda jeshini.

Na mwisho wa siku mnawaacha huku mtaani wakiwa na hasira.
Nenda JKT
 
Subili utakapofika wakati wakutainiwa utajua jkt nimuhimu au la jwtz ina serikali yake hakuna siasa huko na hilo bunge la mchogo hawata fanya kitu
 
Back
Top Bottom