Ukitaka kujitolea ni sehemu za Dini na JKT maana malipo yapo gizani

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Salamu zenu wana JF.nimefikiria sana kuhusu hili swala la JKT nikaona tunapo kwenda wasipo jitafakari linakwenda pabaya.
Kwa nini !

Hii sehemu imekuwa kama kupoteza mda si mkuletea matumaini mtu yoyote ndio maana ukikutana wale walio toka suma JKt na migambo wana hasira kwa nini walichelewa kushtuka walipo.

Kama wanaona sehemu ya kupotezea vijana katika malengo yao basi waondoe hii idara.uwezi kukaa sehemu ukapoteza mda ujui leo wala kesho huku ukijitolea kwa kuhaidiwa gizani.

Kama idara zote za ulinzi kuanzia jeshi jwtz,polisi,uhamiaji,magereza,misuti na n.k tumieni sehemu zenu mlizokuwa mnatumia zamani kuliko hapa jkt maana itakuwa uwanja wa vijana wasio na hakika ya ajila.

Hitimisho: Tunapoelekea itafika kujiunga na JKT watu watakwepa mpaka kulazimishana kwa lazima miaka ijao maana si pa huakika kwa vijana wa kesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom