Tulipoongea walitusema sie wapigaji, leo wanafanya tulioyasema

Hata mimi uwa sioni mantiki wka mtu anayeingiza pesa nchini kumsumbua, bora usumbue anayetoa. Leo kutokana na sheria ngumu za BOT paypal haipokea pesa Tanzania ukitaka fungua online shop kwa Ebay, au Shopify njia ya kulipwa watu wengi wanayoiamini ni paypal na paypal Tanzania haipokei pesa.

Imagine kenya wanapokea pesa mpaka kutoka Upwork kwa Mpesa Safaricom, Skrill ina withdraw kwa Mpesa, paypal pia lakini sisi hizi sheria unajiuliza mtu anapokea pesa analeta pesa ya kigeni sasa sheria zote za nini?
CCM ni janga la taifa
 
Tatizo la wajamaa ni kufikiri pesa kutoka nje ni za kuwapindua watawala.
 
Hapa mwenye akili tu ndio ataelewa umemaliza kila kitu ungefungua uzi tu wengi wauone na kuusoma!
Jamani ifike wakati sasa tuache kuilaumu CCM kizembe.

Granted. CCM ina makosa nengi sana. Siitetei.

Naomba nieleweke kwamba mimi si mtetezi wa CCM wala Magufuli. Ni mtetezi wa haki na mantiki, ni mtetezi uchambuzi wa kina usio na uvivu wa kufikiri.

CCM ina makosa mengi.Mengi sana. Magufuli namsema kila siku hapa.

Lakini, hivi CCM ina nguvu gani kiasi cha kulazimisha mambo nchi nzima?

Hao watu waliofanikisha wizi wa kura nchi nzima wote ni CCM?

Na baada ya wizi wa kura kujulikana wazi, wasiokuwa CCM nchi nzima wamefanya nini?

Tumeona hao wanawake wa CHADEMA waaliodai uchaguzi haukuwa wa haki na huru, wamekubali kuapishwa kupata vyeo vya ubunge. Mpaka wameadhibiwa kwa aibu.

Je, kweli tatizo letu ni CCM tu?

Hawa wataalamu watumishi wa umma, wasio na nyadhifa za kisiasa au hata uanachama wa vyama vya siasa, wanaoburuzwa kwa amri kutoka juu, tushasikia hata mmoja kaamua kujiuzulu kazi yake kwa kufuata maadili ya kazi na kukataa maamuzi ya kulazimishwa kisiasa?

Mimi naona hapa kuna jambo la utamaduni limepita siasa, tuache kujidanganya kulaumu CCM tu kila siku.
 
Jamani, acheni kuota ndoto zisizoshikika. Akili hiyo iko wapi? Akili ya kuwapeleka wake wakawe wabunge kesho mambo yakiwa magumu wanawageuka? Hebu onesha alternative basi Kama kweli ipo.

Halafu haya mambo ya kuambiwa nchi haiendelei, hivi ukilinganisha na muda gani na nchi gani?

Msije kuwa mnajisemea tu, wakati huna pa kufanyia ulinganisho. Muwe mnafanya ulinganisho basi na pia muainishe sababu za kidunia za nchi ya dunia ya tatu kuendelea kubaki huko na mziseme sababu binafsi za nchi moja moja zinazozifanya wabaki.

Tusiwe mabingwa wa maneno matupu, tuwe mabingwa wa maneno yenye mantiki
Huu ndo ushamba wenyewe
Tunajadili kitu kingine
Unakuja na CHADEMA!!!
 
Tafuteni nyuzi za Federal Bank of the Middle East (FBME) bank humu ndani JF au Google ndiyo mtajua kwa nini serikali inabana fedha za kutoka nje. Yale mambo yaliyotokea FBME yangetokea tena kwenye benki nyingine nchi ingewekewa vikwazo na inaelekea serikali ilishayaona hayo.
 
Tuliwahi kusema humu kwa sera za CCM hii na namna yao ya ufanyaji kazi kamwe Tanzania haitofikia kuwa nchi yenye maendeleo ya kweli ya wananchi na nchi kwa ujumla.

Duniani kote, nchi zilizopiga hatua za kimaendeleo ya haraka ya kiuchumi na ambazo zinachukuliwa kama nchi zenye uchumi mkubwa duniani (Malyasia, Singapore na Thailand) hata siku moja hazikuwai kuwa na sera za kutaifisha hela za watu wanazoingiza nchini kwao.

Nchi hizi hata siku moja hazikuwai kuweka sheria za kibank za kuwabana watu kufanya miamala hasa mikubwa ya kifedha jambo lililopelekea watu wengi kupeleka fedha kwenye nchi hizi na hatimaye fedha hizi zikaleta mapinduzi makubwa kwenye maisha ya wanadamu na uchumi kwa ujumla.

Hapa Tanzania watu wanaojiita kuwa wazalendo, kuanzia mwaka 2015 walianzisha taratibu za kukamata fedha za watu na kuzitaifisha na pia kuweka sheria kali za kudhibiti miamala ya kifedha na matokeo yake tukayaona ndani ya miaka mitano ambapo hela ikawa adimu na watu wengi kupoteza ajira na kukosa fursa za kukopa kwa masharti nafuu kwenye mabenki.

Miradi tunayohangaika nayo Tanzania kama ya treni, miundombinu na masoko ya uhakika yenye hadhi vyote vingeweza kufanywa kwa fedha zinazoingizwa nchini na watu hawa kwa utaratibu mzuri.

Tulipoongea kukemea uporwaji ule wa fedha za wananchi watafutaji watu walituita majina mabovu kuwa nyie wapigaji na wezi Ila baada ya madhara yake kuonekana, leo hii huko Zanzibar wamekuja na hili👇

View attachment 1637873
Wezi wanafikiri kila mtuni mwizi kama wao,imagine kuna Ndugu zetu wanafanya kazi,biashara na shughuli zingine halali nje ya Tanzania, wakituma fedha nyumbani nao ni wapiga deal. Kuna fedha za serikali zilizopotea?Mbona mafisadi wote wamekimbilia humo wanakolindwa?
CCM Mpya inafurahia mateso ya Watanzania na hili ni kudhihirisha kuwa mnajipenda peke yenu.Watanzania bado wamelala,ole wenu wakiamka/mkiwaamsha.
 
Hizi ni siasa ama lah anaongelea 'vijihela' na si ukwasi.

Huwezi ingiza mf. 1M Dollars nchini bila kutolea maelezo ya kutosha. Kanuni za BOT na za money laundering za kimataifa zitawabana.
Wakati wanachukua dhahabu, watumwa na Mali kwa ajili ya nchi zao sheria hazikuwabana ila sisi zinatubana? Leteni dola za kutosha nchini.
 
Times have changed. Kama upo kwenye monetary system lazima ukubaliane na sheria na kanuni zake.
 
Tuliwahi kusema humu kwa sera za CCM hii na namna yao ya ufanyaji kazi kamwe Tanzania haitofikia kuwa nchi yenye maendeleo ya kweli ya wananchi na nchi kwa ujumla.

Duniani kote, nchi zilizopiga hatua za kimaendeleo ya haraka ya kiuchumi na ambazo zinachukuliwa kama nchi zenye uchumi mkubwa duniani (Malyasia, Singapore na Thailand) hata siku moja hazikuwai kuwa na sera za kutaifisha hela za watu wanazoingiza nchini kwao.

Nchi hizi hata siku moja hazikuwai kuweka sheria za kibank za kuwabana watu kufanya miamala hasa mikubwa ya kifedha jambo lililopelekea watu wengi kupeleka fedha kwenye nchi hizi na hatimaye fedha hizi zikaleta mapinduzi makubwa kwenye maisha ya wanadamu na uchumi kwa ujumla.

Hapa Tanzania watu wanaojiita kuwa wazalendo, kuanzia mwaka 2015 walianzisha taratibu za kukamata fedha za watu na kuzitaifisha na pia kuweka sheria kali za kudhibiti miamala ya kifedha na matokeo yake tukayaona ndani ya miaka mitano ambapo hela ikawa adimu na watu wengi kupoteza ajira na kukosa fursa za kukopa kwa masharti nafuu kwenye mabenki.

Miradi tunayohangaika nayo Tanzania kama ya treni, miundombinu na masoko ya uhakika yenye hadhi vyote vingeweza kufanywa kwa fedha zinazoingizwa nchini na watu hawa kwa utaratibu mzuri.

Tulipoongea kukemea uporwaji ule wa fedha za wananchi watafutaji watu walituita majina mabovu kuwa nyie wapigaji na wezi Ila baada ya madhara yake kuonekana, leo hii huko Zanzibar wamekuja na hili[emoji116]

View attachment 1637873
Tatizo ni kwamba nchi yetu Imekuwa ikiongozwa na mihemko na sifa za kijinga.

Ukitowa ushauri utaambiwa wewe mpinzani.

Nimesoma uchumi, na history ya ulimwengu kwa muda mrefu takriban miaka 19 nafuatilia habari za nchi zilizoendelea kiuchumi nimegundua kuwa nchi nyingi ziliemdelea kupitia elimu yao, Tanzania should invest in education sector,

Tanzania haina elimu ya kutufikisha kwenye uchumi wa viwanda,

Kwa ufupi sera zetu ni mianya ya kifisadi tu, watu wanatumia nguvu nyingi kupambana na zitto na lissu kuliko wanavyotumia nguvu kupambana na matokeo mabovu ya kidato cha nne.
 
Times have changed. Kama upo kwenye monetary system lazima ukubaliane na sheria na kanuni zake.
Kunapotokea nafasi itumike bila kubugudhi mzalendo. Ss Nina dola 100,000 nimepambana huko nje nimerudi na anataka nifanye kitu kwa nchi yangu natakiwa nitolee maelezo?
 
Wapi tena duniani kuna sheria kuwa ukiingiza hela nchini kwao wanataifisha zote kisa hujadeclare tu???
 
Wana maneno machafu sana hawa jamaa. Utasikia huyu mpinzani, huyu mwizi kumbe wanapewa ushauri mzuri sana
Tatizo ni kwamba nchi yetu Imekuwa ikiongozwa na mihemko na sifa za kijinga.

Ukitowa ushauri utaambiwa wewe mpinzani.

Nimesoma uchumi, na history ya ulimwengu kwa muda mrefu takriban miaka 19 nafuatilia habari za nchi zilizoendelea kiuchumi nimegundua kuwa nchi nyingi ziliemdelea kupitia elimu yao, Tanzania should invest in education sector,

Tanzania haina elimu ya kutufikisha kwenye uchumi wa viwanda,

Kwa ufupi sera zetu ni mianya ya kifisadi tu, watu wanatumia nguvu nyingi kupambana na zitto na lissu kuliko wanavyotumia nguvu kupambana na matokeo mabovu ya kidato cha nne.
 
Wapi tena duniani kuna sheria kuwa ukiingiza hela nchini kwao wanataifisha zote kisa hujadeclare tu???

Mkuu, mimi nimepinga hii kauli, "...haitahoji fedha hizo wamezitoa wapi... " Hili ni swala la kisiasa halina uhalisia.

Ukiingiza mpunga wa maana nchi yeyote ile duniani utaulizwa utake usitake. Lakini kama ni pesa halali kwanini uogope kutoa maelezo? Nadhani hili ndo swala la msingi.

Hayo yakutaifishwa mimi sijui wala sijawahi kusikia mtu kataifishiwa mali zake bila sababu za msingi. Unaweza kutoa mfano hata mmoja.
 
Wezi wanafikiri kila mtuni mwizi kama wao,imagine kuna Ndugu zetu wanafanya kazi,biashara na shughuli zingine halali nje ya Tanzania, wakituma fedha nyumbani nao ni wapiga deal. Kuna fedha za serikali zilizopotea?Mbona mafisadi wote wamekimbilia humo wanakolindwa?
CCM Mpya inafurahia mateso ya Watanzania na hili ni kudhihirisha kuwa mnajipenda peke yenu.Watanzania bado wamelala,ole wenu wakiamka/mkiwaamsha.
Wawekezaji wote wa ndani na nje ya Tanzania wanaiogopa sana Tanzania sasaivi. Wengi wanasema kuna sheria za kutaifisha fedha hadi unazoingiza nchini mwao tena kwa biashara halali.

Matokeo yake tangu 2016 kampuni nyingi sana zimefunga biashara na watu wengi sana wamepoteza ajira. Alafu wanajisifu eti wazalendo
 
Kunapotokea nafasi itumike bila kubugudhi mzalendo. Ss Nina dola 100,000 nimepambana huko nje nimerudi na anataka nifanye kitu kwa nchi yangu natakiwa nitolee maelezo?

Kwanini uogope kutoa maelezo kisha uendelee kufanya shughuli zako kwa amani kama hizo hela umepata kihalali?

Watu wanaingiza zaidi ya 100k wanatoa maelezo na kufanya mambo makubwa bila bugudha kwanini wewe uogope? Unaficha nini?

Ukweli utabaki pale pale, hii kauli ni ya kisiasa haina uhalisia. Pesa ya maana utaitolea maelezo na hii si TZ tu ni nchi yeyote ile. Hakuna nchi inataka kuwa a safe haven for money laundering at least openly hivyo.
 
Mkuu, mimi nimepinga hii kauli, "...haitahoji fedha hizo wamezitoa wapi... " Hili ni swala la kisiasa halina uhalisia.

Ukiingiza mpunga wa maana nchi yeyote ile duniani utaulizwa utake usitake. Lakini kama ni pesa halali kwanini uogope kutoa maelezo? Nadhani hili ndo swala la msingi.

Hayo yakutaifishwa mimi sijui wala sijawahi kusikia mtu kataifishiwa mali zake bila sababu za msingi. Unaweza kutoa mfano hata mmoja.
Swala la msingi ni Kwa nini utaifishe hela zote za mtu kisa hajadeclare tu!!

Unasema hujawai sikia watu wametaifishiwa hela zao??? Anaishi Tanzania kweli mkuu au upo nje na hufuatilii Habari za nchini kwako???

Hata huko duniani wanachoulizaga tu ni purpose ya kuingiza hizo hela. Hata wakikuuliza chanzo hawaulizi kwa nia ya kutaifisha.
Tatizo huku wanataifisha sasa utapataje hela za kuingiza kwenye mizunguko kama unataifisha
 
Hii kauli ni yakisiasa kwasababu BoT ipo ktk muungano na wao ndio wamekuja na Sera hiyo sina uhakika kama atafaulu. Maana wamekaza mpaka nahisi watu wengi watashindwa bihashara. Trust me

Huu ndo ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom