Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,099
- 285,820
Hakika !Kayafa ni mshamba, mwenye wivu na kijicho. Aliumia sana juu ya habari za yesu akihofia amekuja kutwaa milki ya heshima yake.
Hakika !Kayafa ni mshamba, mwenye wivu na kijicho. Aliumia sana juu ya habari za yesu akihofia amekuja kutwaa milki ya heshima yake.
Mchunga mbuzi na uongozi wapi na wapi? Ndio maana kaishia kwenye ujenzi.Huyu wa Zanzibar ingawa kaiba ushindi wa mwenzake ila anaonekana ni mtu mwenye exposure na angalau anajua dunia inavyofanya kazi. Huyu wa kwetu huku ni balaa.
Ushamba..... hizo nchi zilizoendelea tu ni pesa chafu ndo zimewafikisha huko huyu mshamba ana hofu ya matajiriHata mimi uwa sioni mantiki wka mtu anayeingiza pesa nchini kumsumbua, bora usumbue anayetoa. Leo kutokana na sheria ngumu za BOT paypal haipokea pesa Tanzania ukitaka fungua online shop kwa Ebay, au Shopify njia ya kulipwa watu wengi wanayoiamini ni paypal na paypal Tanzania haipokei pesa.
Imagine kenya wanapokea pesa mpaka kutoka Upwork kwa Mpesa Safaricom, Skrill ina withdraw kwa Mpesa, paypal pia lakini sisi hizi sheria unajiuliza mtu anapokea pesa analeta pesa ya kigeni sasa sheria zote za nini?
Zanzibar wanataka kujitegemea!
Mi huwa namshangaa sana huyu dikiteta uchwara na mshamba!! Madikteta wenzie wote akina kagame na Museven wanajua kupiga dili kwaajili ya nchi zao huyu mla furu kadumaa tu.Mie walikuja wawekezaji, wakafanya taratibu zote za awali na kumaliza Ila nilishangaa sana badae walinifuata wakaniambia tumeona kwa Tanzania hawawezi kuendelea kutokana na ukiritimba na sheria za ovyo. Wameamia Kenya na Rwanda ambapo wamesema sheria na taratibu za kiuwekezaji ziko vizuri
Kila mmoja na aina yake ya uongozi!
Tofauti lazima iwepo maana mmoja kakulia machungioni, mwingine kakulia ikulu.Huyu wa Zanzibar ingawa kaiba ushindi wa mwenzake ila anaonekana ni mtu mwenye exposure na angalau anajua dunia inavyofanya kazi. Huyu wa kwetu huku ni balaa.
Nchi yetu inaongozwa na watu primitive wasioelewa maendeleo ya dunia yalipo na yanavyoenda.Hata mimi uwa sioni mantiki wka mtu anayeingiza pesa nchini kumsumbua, bora usumbue anayetoa. Leo kutokana na sheria ngumu za BOT paypal haipokea pesa Tanzania ukitaka fungua online shop kwa Ebay, au Shopify njia ya kulipwa watu wengi wanayoiamini ni paypal na paypal Tanzania haipokei pesa.
Imagine kenya wanapokea pesa mpaka kutoka Upwork kwa Mpesa Safaricom, Skrill ina withdraw kwa Mpesa, paypal pia lakini sisi hizi sheria unajiuliza mtu anapokea pesa analeta pesa ya kigeni sasa sheria zote za nini?
Uongozi usio na tija ni upuuzi mkubwa.Kila mmoja na aina yake ya uongozi!
Leo wanarudi kulekule tulikosema sie. Kweli CCM ni kikundi cha wahuni tu. Hakuna think tank wa kweli mule
Jamani ifike wakati sasa tuache kuilaumu CCM kizembe.Tuliwahi ksema humu kwa sera za CCM hii na namna yao ya ufanyaji kazi kamwe Tanzania haitofikia kuwa nchi yenye maendeleo ya kweli ya wananchi na nchi kwa ujumla.
Duniani kote, nchi zilizopiga hatua za kimaendeleo ya haraka ya kiuchumi na ambazo zinachukuliwa kama nchi zenye uchumi mkubwa duniani (Malyasia, Singapore na Thailand) hata siku moja hazikuwai kuwa na sera za kutaifisha hela za watu wanazoingiza nchini kwao.
Nchi hizi hata siku moja hazikuwai kuweka sheria za kibank za kuwabana watu kufanya miamala hasa mikubwa ya kifedha jambo lililopelekea watu wengi kupeleka fedha kwenye nchi hizi na hatimaye fedha hizi zikaleta mapinduzi makubwa kwenye maisha ya wanadamu na uchumi kwa ujumla.
Hapa Tanzania watu wanaojiita kuwa wazalendo, kuanzia mwaka 2015 walianzisha taratibu za kukamata fedha za watu na kuzitaifisha na pia kuweka sheria kali za kudhibiti miamala ya kifedha na matokeo yake tukayaona ndani ya miaka mitano ambapo hela ikawa adimu na watu wengi kupoteza ajira na kukosa fursa za kukopa kwa masharti nafuu kwenye mabenki.
Miradi tunayohangaika nayo Tanzania kama ya treni, miundombinu na masoko ya uhakika yenye hadhi vyote vingeweza kufanywa kwa fedha zinazoingizwa nchini na watu hawa kwa utaratibu mzuri.
Tulipoongea kukemea uporwaji ule wa fedha za wananchi watafutaji watu walituita majina mabovu kuwa nyie wapigaji na wezi Ila baada ya madhara yake kuonekana, leo hii huko Zanzibar wamekuja na hili[emoji116]
View attachment 1637873
tatizo ni wananchi wenyewe na njaaJamani ifike wakati sasa tuache kuilaumu CCM kizembe.
Granted. CCM ina makosa nengi sana. Siitetei.
Naomba nieleweke kwamba mimi si mtetezi wa CCM wala Magufuli. Ni mtetezi wa haki na mantiki, ni mtetezi uchambuzi wa kina usio na uvivu wa kufikiri.
CCM ina makosa mengi.Mengi sana. Magufuli namsema kila siku hapa.
Lakini, hivi CCM ina nguvu gani kiasi cha kulazimisha mambo nchi nzima?
Hao watu waliofanikisha wizi wa kura nchi nzima wote ni CCM?
Na baada ya wizi wa kura kujulikana wazi, wasiokuwa CCM nchi nzima wamefanya nini?
Tumeona hao wanawake wa CHADEMA waaliodai uchaguzi haukuwa wa haki na huru, wamekubali kuapishwa kupata vyeo vya ubunge. Mpaka wameadhibiwa kwa aibu.
Je, kweli tatizo letu ni CCM tu?
Hawa wataalamu watumishi wa umma, wasio na nyadhifa za kisiasa au hata uanachama wa vyama vya siasa, wanaoburuzwa kwa amri kutoka juu, tushasikia hata mmoja kaamua kujiuzulu kazi yake kwa kufuata maadili ya kazi na kukataa maamuzi ya kulazimishwa kisiasa?
Mimi naona hapa kuna jambo la utamaduni limepita siasa, tuache kujidanganya kulaumu CCM tu kila siku.
Yani mpaka sasa washakubali wizi wa 2020 ushapitishwa!tatizo ni wananchi wenyewe na njaa
Ana uhuru kiasi gani kikatiba juu ya sera za kifedha? Maana muda si mrefu anaweza kudhibitiwa na hawa hawa ccm wa baraKwa mwelekeo wa Dr. Mwinyi.
Wafanyabiashara wote wa Tanzania watahamia Zanzibar kufanya transaction zao
Mkuuumeongea ukweli mtupu,ukichukulia mfano Jirani zetu.Tuliwahi ksema humu kwa sera za CCM hii na namna yao ya ufanyaji kazi kamwe Tanzania haitofikia kuwa nchi yenye maendeleo ya kweli ya wananchi na nchi kwa ujumla.
Duniani kote, nchi zilizopiga hatua za kimaendeleo ya haraka ya kiuchumi na ambazo zinachukuliwa kama nchi zenye uchumi mkubwa duniani (Malyasia, Singapore na Thailand) hata siku moja hazikuwai kuwa na sera za kutaifisha hela za watu wanazoingiza nchini kwao.
Nchi hizi hata siku moja hazikuwai kuweka sheria za kibank za kuwabana watu kufanya miamala hasa mikubwa ya kifedha jambo lililopelekea watu wengi kupeleka fedha kwenye nchi hizi na hatimaye fedha hizi zikaleta mapinduzi makubwa kwenye maisha ya wanadamu na uchumi kwa ujumla.
Hapa Tanzania watu wanaojiita kuwa wazalendo, kuanzia mwaka 2015 walianzisha taratibu za kukamata fedha za watu na kuzitaifisha na pia kuweka sheria kali za kudhibiti miamala ya kifedha na matokeo yake tukayaona ndani ya miaka mitano ambapo hela ikawa adimu na watu wengi kupoteza ajira na kukosa fursa za kukopa kwa masharti nafuu kwenye mabenki.
Miradi tunayohangaika nayo Tanzania kama ya treni, miundombinu na masoko ya uhakika yenye hadhi vyote vingeweza kufanywa kwa fedha zinazoingizwa nchini na watu hawa kwa utaratibu mzuri.
Tulipoongea kukemea uporwaji ule wa fedha za wananchi watafutaji watu walituita majina mabovu kuwa nyie wapigaji na wezi Ila baada ya madhara yake kuonekana, leo hii huko Zanzibar wamekuja na hili👇
View attachment 1637873
Ni washamba kweli. Wanadhani kuna nchi imeendelea duniani kwa pesa safi!! Nilichogundua kwenye hii miaka 5 ni kuwa exposure ni muhimu sana kwenye uongoziUshamba..... hizo nchi zilizoendelea tu ni pesa chafu ndo zimewafikisha huko huyu mshamba ana hofu ya matajiri
Hawajui hawa vilaza! Hawajiulizi pia Kwa nini Somalia ingawa ina vita ila ni moja ya nchi duniani ambayo kuna stability ya kifedha na bado mahoteli ya kitalii yanajengwa bila kusahau miradi mbalimbali. Kumbe wenzako hawaweki masharti magumu na masheria mabovu ya fedha yanayokimbiza fedha!!Mkuuumeongea ukweli mtupu,ukichukulia mfano Jirani zetu.
Uchumi wao umechangiwa na wasomali wanaoishi nje,wanawekeza hela zao nchini Kenya.
Jirani zetu wameruhusu watu wao walete hela nchini hata kwa sandarusi ruksa.huku kwetu ukileta hela wanazipora akili yao wanajua zinaenda kifadhili chadema.
Tabia hizi za kichawi ndo zitawasabishia muwe masikini mileleKwa Zanzibar wana benki kuu yao? Kama ni hii hii iliyopo Dar tutawahoji tu.
Naona mwinyi anataka kufanya zanzibar kama kisiwa cha chenge .