Tulipoongea walitusema sie wapigaji, leo wanafanya tulioyasema

Swala la msingi ni Kwa nini utaifishe hela zote za mtu kisa hajadeclare tu!!

Unasema hujawai sikia watu wametaifishiwa hela zao??? Anaishi Tanzania kweli mkuu au upo nje na hufuatilii Habari za nchini kwako???

Hata huko duniani wanachoulizaga tu ni purpose ya kuingiza hizo hela. Hata wakikuuliza chanzo hawaulizi kwa nia ya kutaifisha.
Tatizo huku wanataifisha sasa utapataje hela za kuingiza kwenye mizunguko kama unataifisha

Mkuu nipe mfano hata mmoja tu okoa nguvu na muda. Nani kaingiza pesa safi TZ na kufilisiwa kwa kutodeclare, mfano mmoja tu.
 
Asante mwengeso kwa uchambuzi wako!!

Ila umekosea sana kusema kuwa hapa tunalalamika. Hakuna aliyelalamika hapa ila linalosemwa hapa ni kuwa ametokea mtu leo kutoka kwenye Chama chenu ambaye sasa amesema atafanya kama tulivyokuwa tunasema sisi ila mkawa mnatukebehi kwa ngebe nyingi.

Labda hujui ila Ngoja nikwambie, Tanzania haijawai kuwa na shida kwenye Ilani za vyama vyake. Tatizo la Tanzania ni sera kutungwa kwa utashi wa aliye madarakani na pia kutekelezwa kwa utashi wa huyo Kiongozi.

Siku zote sera zinatungwa na wataalamu tena baada ya kufanya utafiti wa kutosha.

Wewe kama mwana Ccm labda nikuulize, mlipokuwa mnataifisha pesa zilizokuwa zinakamatwa uwanja wa ndege , kwa sababu tu mtu haja declare mlikuwa mnataka kuachieve nini??? Hamkujua kuwa kuna madhara makubwa kiuchumi???

Mlipotunga sheria za kudhibiti miamala ya kibenki na kuwafanya watu kwa miamala ya kawaida tu kuiliizwa maswali lukuki hamkujua kuwa lina madhara kiuwekezaji???

Huko Ulaya mnafikiri wameendelea kwa pesa safi??? Pesa chafu ndo zinaenda kujenga chumi za huko na wanazifanya kuwa safi na kutengeneza ajira na kodi. Nyie watu wenu hawakujua haya??? Au mnafikiri maendeleo ni kuwa wakali na kutaifisha Mali za watu tu???
Siafiki na husikitika pale mtu anaporejea ya Ulaya badala ya kujikita na ya ndani. Ya jirani yanakusaidia nini kabla hujamaliza ya kwako?

Matukio uliyoyataja kama yameathiri kukua kwa uchumi au kuogofya wawekezaji ni suala la mjadala lakini ililazimika kuchukua hatua hiyo kwa wakati huo. Kamwe fedha haramu ikaleta mafanikio labda ya muda mfupi
 
Fafanua hapo ilani ya CCM ya kuimarisha uchumi na nchi zingine.

Katika ilani za uchumi za CDM na ACT, wao wamesisitiza uchumi wa jamii the public centred economy (soko huria) ambao ndiyo misingi ya kujitegemea kiuchumi.
Nimeambataisha Ilani zote na kutaja kurasa ambazo zina ufafanuzi
 
Tanzania sio nchi rafiki kabisa kwenye sekta za bank, mtu ukitaka kutoa USD 1,000/= mpaka ukaonane na bank manager na utoe sababu kwanini unazitoa. Hapo unakuta mtu anadharura kweli kweli.

Account Yako, Pesa Yako. Bado ukaitolee sababu kwanini unaitoa.

Nchi inaongozwa na kutungwa sheria kwa fikra za kimasikini sana. Imefikia hatua mtu una connection ya wafanyabiashara wa nje ya nchi, unawaza mara 10* 10* kuwashauri waje kuinvest nchini au kutuma pesa zao nchini (Unaishia kuwaambia msije jamani, tafuteni sehemu ingine ya kuinvest).

Kuna watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi, walikua wanatumia ndugu zao hela za matumizi USD 1,000/=, USD 2,000/= na wengine mpaka USD 5,000/=. Ila kwasasa hivi wamesitisha kwasababu ya ujinga huu.

Ni mtihani mkubwa sana taifa kuongozwa na "WATU AMBAO HAWANA EXPOSURE YA DUNIA". Fikra zao zinakua hazifikirii "OUT OF THE BOX".

Kwa mwelekeo wa Dr. Mwinyi.

Wafanyabiashara wote wa Tanzania watahamia Zanzibar kufanya transaction zao.
Ndugu yangu wee Mwinyi kateleza ulimi maana BOT ndio regulator. Na haya yanaendelea ni yako ktk muungano hence IFU sio Mali ya Znz ni Mali ya muungano no one will act on such situation.
 
Tanzania sio nchi rafiki kabisa kwenye sekta za bank, mtu ukitaka kutoa USD 1,000/= mpaka ukaonane na bank manager na utoe sababu kwanini unazitoa. Hapo unakuta mtu anadharura kweli kweli.

Account Yako, Pesa Yako. Bado ukaitolee sababu kwanini unaitoa.

Nchi inaongozwa na kutungwa sheria kwa fikra za kimasikini sana. Imefikia hatua mtu una connection ya wafanyabiashara wa nje ya nchi, unawaza mara 10* 10* kuwashauri waje kuinvest nchini au kutuma pesa zao nchini (Unaishia kuwaambia msije jamani, tafuteni sehemu ingine ya kuinvest).

Kuna watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi, walikua wanatumia ndugu zao hela za matumizi USD 1,000/=, USD 2,000/= na wengine mpaka USD 5,000/=. Ila kwasasa hivi wamesitisha kwasababu ya ujinga huu.

Ni mtihani mkubwa sana taifa kuongozwa na "WATU AMBAO HAWANA EXPOSURE YA DUNIA". Fikra zao zinakua hazifikirii "OUT OF THE BOX".

Kwa mwelekeo wa Dr. Mwinyi.

Wafanyabiashara wote wa Tanzania watahamia Zanzibar kufanya transaction zao.

mkuu wameacha kutuma pesa kwa ndugu zao sababu wataulizwa sababu ya kutoa!!!!
 
Kwanini uogope kutoa maelezo kisha uendelee kufanya shughuli zako kwa amani kama hizo hela umepata kihalali?

Watu wanaingiza zaidi ya 100k wanatoa maelezo na kufanya mambo makubwa bila bugudha kwanini wewe uogope? Unaficha nini?

Ukweli utabaki pale pale, hii kauli ni ya kisiasa haina uhalisia. Pesa ya maana utaitolea maelezo na hii si TZ tu ni nchi yeyote ile. Hakuna nchi inataka kuwa a safe haven for money laundering at least openly hivyo.
Unaishi dunia ipi wewe, Akina Chenge wanavyoficha fedha zao huko Visiwa vya Jersey, Uswiss wana declare nini??

Africa washamba sana,wenzetu hawana milolongo kama hii ukiingiza pesa.Wanajua zitasaidia uchumi wao kukua. Maendeleo hayaji kirahisi rahisi tu.

Mwinyi atleast ameanza vizuri, acha watu waingize hela,kama kapiga Ulaya huko ndio safi zaidi.
 
Mkuu nipe mfano hata mmoja tu okoa nguvu na muda. Nani kaingiza pesa safi TZ na kufilisiwa kwa kutodeclare, mfano mmoja tu.
 
Siafiki na husikitika pale mtu anaporejea ya Ulaya badala ya kujikita na ya ndani. Ya jirani yanakusaidia nini kabla hujamaliza ya kwako?

Matukio uliyoyataja kama yameathiri kukua kwa uchumi au kuogofya wawekezaji ni suala la mjadala lakini ililazimika kuchukua hatua hiyo kwa wakati huo. Kamwe fedha haramu ikaleta mafanikio labda ya muda mfupi
Kwani hata hao China rafiki zenu , maendeleo yao wameyapata kwa kujifunza wapi?
 
Siafiki na husikitika pale mtu anaporejea ya Ulaya badala ya kujikita na ya ndani. Ya jirani yanakusaidia nini kabla hujamaliza ya kwako?

Matukio uliyoyataja kama yameathiri kukua kwa uchumi au kuogofya wawekezaji ni suala la mjadala lakini ililazimika kuchukua hatua hiyo kwa wakati huo. Kamwe fedha haramu ikaleta mafanikio labda ya muda mfupi
Kwani huko Ulaya na Marekani Kuna maendeleo ya muda mfupi??
 
Kwanini uogope kutoa maelezo kisha uendelee kufanya shughuli zako kwa amani kama hizo hela umepata kihalali?

Watu wanaingiza zaidi ya 100k wanatoa maelezo na kufanya mambo makubwa bila bugudha kwanini wewe uogope? Unaficha nini?

Ukweli utabaki pale pale, hii kauli ni ya kisiasa haina uhalisia. Pesa ya maana utaitolea maelezo na hii si TZ tu ni nchi yeyote ile. Hakuna nchi inataka kuwa a safe haven for money laundering at least openly hivyo.
Inaonekana wewe si mfanyabiashara, na hujui mazingira yanayowakumba wafanyabiashara na wapambanaji esp wanapotoka kupambana nje ya nchi. Sikulaumu.
Mtanzania kaondoka nchini hana kitu, kaenda nchi za watu huko kafanya kazi kwenye mashamba kajibana mpaka kapata dola zake elfu arubaini kaamua sasa ntarudi nyumbani nikajenge nyumba za kupanga halafu anaweka pesa benki anaulizwa alete ushahidi wa alipozipata pesa, ni biashara gani umefanya, risiti ziko wapi n.k

Siku ukienda nje kutafuta maisha bila kujua utafanikiwa au la ukajitosa kwenye machimbo huko ukapata jiwe lako migodini Congo ukauza ukawekewa pesa kwenye account ukarudi nchini kwako na kuulizwa uliuza madini kibali cha kufanya biashara ya madini nje ya nchi kiko wapi hukawa huna kisha ukaambiwa umefanya money laundry ndo utaelewa.
 
Kwahiyo ulitaka huyu asiulizwe? Aondoke tu maana huyu alikua hata haleti pesa TZ bali anaondoka. Ulitaka apite tu na hizo fedha na dhahabu.

"Mfanyabiashara Noshad Mohamed ameshikiliwa na Jeshi la polisi baada ya kukamatwa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akijaribu kuondoka nchini akiwa na madini ya dhahabu kilo 8 na fedha taslimu za mataifa 15. Amesema mfanya Biashara huyo amekamatwa na pesa za mataifa 15 ikiwemo Dola za kimarekani 233,422 na Euro 57,595 pamoja na fedha mbali mbali za mataifa menngine tofauti."
 
Naoana hata hujui nini unaongelea. Hizi links zote umeleta za watu wanaoondoka na pesa nchini hata sio kuleta. Kama unatetea hata watoroshaji mali siwezi kuendelea kujibishana na wewe.

"Mehmen ambaye ni raia wa Uturuki amehukumiwa na mahakama hiyo leo Alhamisi Februari, 27, 2020 baada ya kukiri kosa la kushindwa kutoa tamko ama maelezo ya fedha alizokutwa nazo dola za Marekani 84,850 katika Uwanja wa Ndege wa JNIA."

Kama pesa ni halali ugumu upo wapi kutolea maelezo? Unaficha nini?

Kama nainginza pesa halali siwezi kusita kutolea maelezo hata kama ni sh100.

Toa mfano wa mtu aliyeingiza pesa na kutolea maelezo halali na kutaifishiwa mali zake sio hawa wezi.
 
Nadhani huna akili au umeamua kujitoa ufahamu.

Nimekupa kesi mbili, moja ya Zanzibar ndo alikuwa akitoa pesa nje na nyingine ya Bara huyu alikamatwa airport akiwa ameingia nchini na hizo hela na zikataifishwa just because he didn’t declare
 
Unaishi dunia ipi wewe, Akina Chenge wanavyoficha fedha zao huko Visiwa vya Jersey, Uswiss wana declare nini??

Africa washamba sana,wenzetu hawana milolongo kama hii ukiingiza pesa.Wanajua zitasaidia uchumi wao kukua. Maendeleo hayaji kirahisi rahisi tu.

Mwinyi atleast ameanza vizuri, acha watu waingize hela,kama kapiga Ulaya huko ndio safi zaidi.

Kumbe unaongelea kuficha, hapa tunaongelea pesa halali. Hakuna mtu anaficha pesa halali. TZ isn't a safe haven for money laundering inajitanabaisha hivyo walau.

Kama ni pesa halali itaingia bila kificho na utatolea maelezo. Kama ni pesa chafu nenda huko Jersey na Swiss au Panama.
 
Wao waliokupa uelewa wa hiyo money laundering kamwe hawataifishi hela just kwa sababu hujadeclare. Kwanza hata iyo money laundering wanaitumia kwenye extreme serious cases kama za drugs. Nyie kila sehemu money laundering ndo mana Mwinyi anawafundisha
Kumbe unaongelea kuficha, hapa tunaongelea pesa halali. Hakuna mtu anaficha pesa halali. TZ isn't a safe haven for money laundering inajitanabaisha hivyo walau.

Kama ni pesa halali itaingia bila kificho na utatolea maelezo. Kama ni pesa chafu nenda huko Jersey na Swiss au Panama.
 
Nadhani huna akili au umeamua kujitoa ufahamu.

Nimekupa kesi mbili, moja ya Zanzibar ndo alikuwa akitoa pesa nje na nyingine ya Bara huyu alikamatwa airport akiwa ameingia nchini na hizo hela na zikataifishwa just because he didn’t declare

Kwahiyo wewe unawatetea wote kwamba waachwe wasiulizwe?

Mtu anaondoka na dhahabu aachwe afu bdae mje kulalamika mnaibiwa dhahabu?

Mwingine anaingiza pesa hataki kujibu katoa wapi nae aachwe? Mmewahi kusafiri hata nje ya mikoa yenu nyie watu?

US unaanza kudeclare kuanzia 5000 USD at the port of entry. So, that guy was way past the limit kwa viwango vya kimataifa.

Kama pesa halali kwanini uogope kutoa maelezo tena at the point of entry? Ni sawa na mtu aseme nataka kuingia nchini ila msinikague that raises the red flag right away.
 
Nimefika US, U.K. na hadi Australia . Kote you declare lakini hata kama hujadeclare hawataifishi.

Swali langu wapi duniani wanataifisha hela zako zote just because hujadeclare??? Nijibu
 
Wao waliokupa uelewa wa hiyo money laundering kamwe hawataifishi hela just kwa sababu hujadeclare. Kwanza hata iyo money laundering wanaitumia kwenye extreme serious cases kama za drugs. Nyie kila sehemu money laundering ndo mana Mwinyi anawafundisha

Kama hutoi maelezo tutajuaje sio za madawa?

Unachukuliwa maelezo sio sababu unashutumiwa bali kuwa cleared. Tatizo mpo defensive muda mnadhani kila kitu mnaonewa.

Mwinyi kawapiga kamba hapo.
 
Back
Top Bottom