Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,970
- Thread starter
- #21
Akili zao ndo zimeishia hapo
Akili zao ndo zimeishia hapo
Walisema wamepokea maombi na wanayashughulikia. We subiri mrejeshoMkuu ICC hatuendi tena
Mie walikuja wawekezaji, wakafanya taratibu zote za awali na kumaliza Ila nilishangaa sana badae walinifuata wakaniambia tumeona kwa Tanzania hawawezi kuendelea kutokana na ukiritimba na sheria za ovyo. Wameamia Kenya na Rwanda ambapo wamesema sheria na taratibu za kiuwekezaji ziko vizuriTanzania sio nchi rafiki kabisa kwenye sekta za bank, mtu ukitaka kutoa USD 1,000/= mpaka ukaonane na bank manager na utoe sababu kwanini unazitoa. Hapo unakuta mtu anadharura kweli kweli.
Account Yako, Pesa Yako. Bado ukaitolee sababu kwanini unaitoa.
Nchi inaongozwa na kutungwa sheria kwa fikra za kimasikini sana. Imefikia hatua mtu una connection ya wafanyabiashara wa nje ya nchi, unawaza mara 10* 10* kuwashauri waje kuinvest nchini au kutuma pesa zao nchini (Unaishia kuwaambia msije jamani, tafuteni sehemu ingine ya kuinvest).
Kuna watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi, walikua wanatumia ndugu zao hela za matumizi USD 1,000/=, USD 2,000/= na wengine mpaka USD 5,000/=. Ila kwasasa hivi wamesitisha kwasababu ya ujinga huu.
Ni mtihani mkubwa sana taifa kuongozwa na "WATU AMBAO HAWANA EXPOSURE YA DUNIA". Fikra zao zinakua hazifikirii "OUT OF THE BOX".
Kwa mwelekeo wa Dr. Mwinyi.
Wafanyabiashara wote wa Tanzania watahamia Zanzibar kufanya transaction zao.
Acha kutetea maovu na ujinga. Kwa iyo unaona sawa kwa aina ya uongozi unaoifanya nchi ikimbiwe na wawekezaji hivyo watu wake kukosa ajira za maana??Kila mmoja na aina yake ya uongozi!
inauma sana.. hujanipa mchongo wa mishe yoyote alafu kwenye matumizi ya kipato changu unanipangia.Hii nchi inaongozwa na akili za kimaskini na kiwivu hadi inatia kinyaaa
Inawezekana leo umelewa!Acha kutetea maovu na ujinga. Kwa iyo unaona sawa kwa aina ya uongozi unaoifanya nchi ikimbiwe na wawekezaji hivyo watu wake kukosa ajira za maana??
inauma sana.. hujanipa mchongo wa mishe yoyote alafu kwenye matumizi ya kipato changu unanipangia.
upuuuz kabisa
Wapi walipo, hao think tank.Leo wanarudi kulekule tulikosema sie. Kweli CCM ni kikundi cha wahuni tu. Hakuna think tank wa kweli mule
Benki zote hata za huko Zenji zinadhibitiwa na BoT hivyo bado kuna mtego hapo.Tanzania sio nchi rafiki kabisa kwenye sekta za bank, mtu ukitaka kutoa USD 1,000/= mpaka ukaonane na bank manager na utoe sababu kwanini unazitoa. Hapo unakuta mtu anadharura kweli kweli.
Account Yako, Pesa Yako. Bado ukaitolee sababu kwanini unaitoa.
Nchi inaongozwa na kutungwa sheria kwa fikra za kimasikini sana. Imefikia hatua mtu una connection ya wafanyabiashara wa nje ya nchi, unawaza mara 10* 10* kuwashauri waje kuinvest nchini au kutuma pesa zao nchini (Unaishia kuwaambia msije jamani, tafuteni sehemu ingine ya kuinvest).
Kuna watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi, walikua wanatumia ndugu zao hela za matumizi USD 1,000/=, USD 2,000/= na wengine mpaka USD 5,000/=. Ila kwasasa hivi wamesitisha kwasababu ya ujinga huu.
Ni mtihani mkubwa sana taifa kuongozwa na "WATU AMBAO HAWANA EXPOSURE YA DUNIA". Fikra zao zinakua hazifikirii "OUT OF THE BOX".
Kwa mwelekeo wa Dr. Mwinyi.
Wafanyabiashara wote wa Tanzania watahamia Zanzibar kufanya transaction zao.
Vipi bado NI YEYE!???... Unaonekana ni bingwa wa kushikia bango jambo fulani. Ulikomaa humu mpaka watu wakaaminki Lissu atakuwa Raisi. Vipi ICC!????, Bado tu mashtaka hayajafika!?, Sasa hivi naona umebuni mbinu ya kurudi JF.
Lumumba wamening'iniza poumbou sofaniWapi walipo, hao think tank.
Wala hajaiba, ila ccm wamepora wakamkabidhi. Kuanzia Komandoo, Abeid Amani, Shein na huyu, yaani wooote huwa wapo tayari Maalim apewe ushindi wake, lakini huwa wanalazimishwa. Ndio maana hata ile tone ya Mwinyi tofauti kabisa na ya kina Magu. Mwinyi binafsi sidhani kama aweza piga Covid-19 ya Zenj kwa ACT. Kule wana ustaarabu zaidiHuyu wa Zanzibar ingawa kaiba ushindi wa mwenzake ila anaonekana ni mtu mwenye exposure na angalau anajua dunia inavyofanya kazi. Huyu wa kwetu huku ni balaa.
Kweli kabisa mkuu, na ndio maana ccm itakuwa dhaifu zaidi baada ya miaka 5. Sasa hivi lawama zoooote zitakuwa kwao, maana sinia looote la ubwabwa wanalo. Hakuna kisingizio cha oooh, pale pana Mbowe katukwamisha...Tuliwahi ksema humu kwa sera za CCM hii na namna yao ya ufanyaji kazi kamwe Tanzania haitofikia kuwa nchi yenye maendeleo ya kweli ya wananchi na nchi kwa ujumla.
Duniani kote, nchi zilizopiga hatua za kimaendeleo ya haraka ya kiuchumi na ambazo zinachukuliwa kama nchi zenye uchumi mkubwa duniani (Malyasia, Singapore na Thailand) hata siku moja hazikuwai kuwa na sera za kutaifisha hela za watu wanazoingiza nchini kwao.
Nchi hizi hata siku moja hazikuwai kuweka sheria za kibank za kuwabana watu kufanya miamala hasa mikubwa ya kifedha jambo lililopelekea watu wengi kupeleka fedha kwenye nchi hizi na hatimaye fedha hizi zikaleta mapinduzi makubwa kwenye maisha ya wanadamu na uchumi kwa ujumla.
Hapa Tanzania watu wanaojiita kuwa wazalendo, kuanzia mwaka 2015 walianzisha taratibu za kukamata fedha za watu na kuzitaifisha na pia kuweka sheria kali za kudhibiti miamala ya kifedha na matokeo yake tukayaona ndani ya miaka mitano ambapo hela ikawa adimu na watu wengi kupoteza ajira na kukosa fursa za kukopa kwa masharti nafuu kwenye mabenki.
Miradi tunayohangaika nayo Tanzania kama ya treni, miundombinu na masoko ya uhakika yenye hadhi vyote vingeweza kufanywa kwa fedha zinazoingizwa nchini na watu hawa kwa utaratibu mzuri.
Tulipoongea kukemea uporwaji ule wa fedha za wananchi watafutaji watu walituita majina mabovu kuwa nyie wapigaji na wezi Ila baada ya madhara yake kuonekana, leo hii huko Zanzibar wamekuja na hili👇
View attachment 1637873
Heee dola elf 1 benki gani hioo?.Tanzania sio nchi rafiki kabisa kwenye sekta za bank, mtu ukitaka kutoa USD 1,000/= mpaka ukaonane na bank manager na utoe sababu kwanini unazitoa. Hapo unakuta mtu anadharura kweli kweli.
Account Yako, Pesa Yako. Bado ukaitolee sababu kwanini unaitoa.
Nchi inaongozwa na kutungwa sheria kwa fikra za kimasikini sana. Imefikia hatua mtu una connection ya wafanyabiashara wa nje ya nchi, unawaza mara 10* 10* kuwashauri waje kuinvest nchini au kutuma pesa zao nchini (Unaishia kuwaambia msije jamani, tafuteni sehemu ingine ya kuinvest).
Kuna watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi, walikua wanatumia ndugu zao hela za matumizi USD 1,000/=, USD 2,000/= na wengine mpaka USD 5,000/=. Ila kwasasa hivi wamesitisha kwasababu ya ujinga huu.
Ni mtihani mkubwa sana taifa kuongozwa na "WATU AMBAO HAWANA EXPOSURE YA DUNIA". Fikra zao zinakua hazifikirii "OUT OF THE BOX".
Kwa mwelekeo wa Dr. Mwinyi.
Wafanyabiashara wote wa Tanzania watahamia Zanzibar kufanya transaction zao.
Hii lugha ni ya great thinker kweli!!!Nakusikitikia sana!! Kwanza upo nje ya mada, pili hata hayo uliyoyaongea hayana msingi wowote. Kwa akili zako unadhani magufuli ameshinda kweli huu uchaguzi??? Kama unaamini ni kweli ameshinda basi utakuwa mwehu.
Kuhusu Icc ni Icc waliosema wamepokea maombi juu ya Tanzania. Sasa kama wao wamesema wamepokea na wanafanyia kazi wewe ni nani uongee humu??? Kwani Icc wametoa Majibu yao???
Unasema nimebuni mbinu ya kurudi humu!! Nadhani hunijui vizuri!! Mimi sio mchumia tumbo Kama wewe!! Mimi ni great thinkers kweli niliyepo humu tangu miaka 5 iliyopita. Nipo na nitarudi kuwepo na kwa wanaonifahamu wala hawana shaka na mimi!