Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,366
- 30,867
Kumbe unaishi nje ya Tanzania na unaongelea mambo ya Tanzania kama unaishi hapa???
Mie nimekwambia from experience. Niliingia na jamaa yangu JNIA ambaye ni foreigner na alikuwa na 100k USD . What he did alijaza tu kwenye fomu na hawakumuuliza swali lolote zaidi. Hata ofisa wa Immigration aliyemgongea visa alisema kama asingejaza ile fomu ndo wangemkamata na kutaifisha zile fedha baada ya kumpeleka mahakamani.
Una kichwa kigumu sana!! Huelewi nini??? Nimekwambia kwa Tanzania wanaposema umeshindwa kutoa maelezo they mean hujajaza declaration form. Hakunaga maelezo zaidi ya hayo.
Unasema ninajuaje kama hawana taarifa maalum??? Labda nikuulize yule mfanyakazi wa Yapi Merkez aliyekamatwa na zile hela na zikataifishwa Kama kulikuwa na taarifa maalum dhidi yake wangemruhusu aendelee kukaa nchini???
How comes unafananisha US na Tanzania wakati unajua USA ni cashless economy ??? Us hata dukani ukilipia cash hela nyingi lazima waite polisi sasa hilo Tanzania lipo pia???
Unasema naishi kwa speculations??? Nadhani wewe ndo unaishi kwenye speculations zaidi.
Hilo la kusema pesa ni chafu au safi ni nadharia tu kulingana na mtazamo wa nchi husika.
Hao wanaosema pesa chafu kuna kodi na pesa nyingi wanakubali kutoka kwenye shughuli ambazo nchi nyingine haziruhusiwi kufanyika.
Huko US kuna states zinaruhusu matumizi na biashara ya bangi ?? Unajua wanaingiza shs ngapi kutoka kwenye hivyo vyanzo???
Hivi unajua hata kutengeneza na kutumia pombe miaka ya nyuma huko Marekani ilikuwa hairuhusiwi kisheria ila sasaivi hao hao USA ndo wametengeneza another notion duniani kuwa pombe ni legal na wanaingiza mapato makubwa sana kutokana na pombe??? Na nchi nyingi zimefanya hili pia na pombe ni chanzo kikubwa cha mapato na kodi kwenye nchi nyingi duniani???
Unasema shule nilisomea ujinga ila acha mie ndo nikushauri sasa!! Rudi shule maana elimu yako haijakusaidia
Unaweza kujaza form na bado ukaitwa for further questioning, maelezo yako yasipo add up pesa na mali zitashikiliwa hata kutaifishwa inapobidi.
Mengine unazunguka tu mbuyu.