Tuliowahi kupewa suspension tukutane hapa

Pend ya 1

Hiyo form 3 nikiwa monitor siku hiyo ikatajwa kuwa form 3 ndio tutakuwa na zamu ya kufanya usafi dinning, sasa kazi yangu mimi ilikuwa ni kuandika majina na kumkabidhi ticha wa zamu, nikafanya hivyo.

Sasa wakati inatangazwa hiyo zamu watu wakasema haiwezekani tujiridie baada ya wiki 2, sio zamu yetu ni ya form 5, raiaaa wakagoma. Mchana msosi ukaliwa, hakuna aliyesafisha, jioni pakatumika tena, hakuna aliyesafisha kasoro meza tatu walisafisha wasukuma fulani hivi. Kesho yake dinning mpaka class hakukaliki, harufu hatari.

Assemble hapo second master(Gamba) akapewa taarifa ya kule ndani hakufai, kuuliza nani wasafishaji tukatajwa, mara mjuba akaamuru form 3 wote tupite mbele waru tukakaza, akarudia tena akajitokeza mmoja, nguvu ikawa imepungua, tukapita mbele tukakalishwa chini.

Second akasema wote tuingie dinning, raia wakaenda nyuma ya dorms kupanga mipango, mimi nikawa msikilizaji tu kumbe kuna maspy sisi hatujui. Mipango ikawa ni hakuna kufanya usafi, wakawachagua darasa jingine wakashika zamu.

Head master hakuwepo, akarud akapewa mkanda mzima, mzee Mungo akafyum hatari na kabla ya hpo tukaitwa kuhojiwa kubaini nani na nani waliofanikisha mgomo, tulipigwa sana stick siku hiyo. Tukajua yameisha. Hiyo siku ijumaa tumetoka tu break ikawa hamna kurud class tena ikawa ni shamba day, kwenda kupanda.

Tuko shamba mida ya saa nane hivi kengele ikagongwa wote assemble, ile tumefika tu mr Mungo na orodha yake kaishika, tukatajwa pale na mavumbi yetu ya shamba tukaambiwa hatutakiwi kuonekana mazingira ya shule kwa wiki 3 dooooh! Hapo sina hata mia mfukoni, tukabebwa na 110 ya shule tukaenda kubwagwa stend
 
hii story haijaisha bado nakusubiri hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipigwa mara 3, form one, form 3, na Form 4 nilipigwa ile suspension isiyo na muda mpaka kikao cha Bodi kikae,

Walikuja kukaa wiki moja kabla ya Necta, nikapiga pepa na kupita hivi,

Uchakataji huu ulinitia hasara sana,...
Hahaha we mjinga unapepo la uchakataji, kama vipi anzisha kampuni ya uchakataji masugar mammy wawe wanakulipa... hujihisi mwenye kipaji maalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipigwa mara 3, form one, form 3, na Form 4 nilipigwa ile suspension isiyo na muda mpaka kikao cha Bodi kikae,

Walikuja kukaa wiki moja kabla ya Necta, nikapiga pepa na kupita hivi,

Uchakataji huu ulinitia hasara sana,

Kosa:
Hiyo supsension ya Form 4.
Nilimlimtorosha dogo wa hostel na kwenda kulala naye gheto Asubuhi namrudisha tukafumwa na Matron.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda sana ngono!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipigwa suspension baada ya kuwapiga ngumi za kutosha walimu waliotufuata Disco enzi hizo TMK WANAUME walikuja mkoani ikapigwa bed roll call masela wote tulikuwa hatupo bwenini walimu kwa ujinga wao wakavaa mapama na makoti na wakaweka katakund ili wafananie na masela wa disco wakatufuata disco aisee tulijua tumevamiwa na masela wa mtaani zilirushwa ngumi za kufa mtu.Asubuhi yake ilipigwa kengere ya dharura wale walimu vi mbele front wakaja wamefungwa PO-PO a.k.a Hogo na bandeji za kutosha.

DAA NASIKITIKA KUSEMA KUNA WENZETU WALIFUKUZWA SHULE KUTOKANA NA AINA YA UTETEZI WALIOUTOA MBELE YA BALAZA LA SHULE ILA MIMI NA WENZANGU WATATU TULIPONA KWA SABABU TULIKUWA TUNAINGIA ZAM KWA ZAMU KWENYE CHUMBA AMBACHO KULIKUWA NA WANA BALAZA WALIKUWAMO HUKU FAIL LAKO LIMESHIKWA NA MWALIMU MKUU.

NILIENDA KUKAA KIJIJINI UZURI WAKE KUNA AUNT YANGU ALIKUWA ANAISHI U.S.A ALINITUMIA HELA KUPITIA WESTERN UNION NIKAPANGA GETO KIJIJINI HUKU NAJUTIA BALAA SIKU ZOTE 28.SIKU YA SUSPAA KUISHA NIKAKODI LI BRAZA FULANI HIVI LIWE BABA YANGU KWA SABABU MASHARTI YA SASPA YALITAKA NIJE KUREPORT NA MZAZI.ANYWAY LEO NAMAISHA YANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawai kuona suspension ya muda mrefu Kama ya kwangu. Nilibambikiziwa kesi kwamba nimekutwa na msichana wa o-level Mimi nilikuwa form five tena ndo Kwanza miezi minne toka tumeanza hyo form five. Nilifukuzwa nikaambiwa utaludi kufanya mtiani wa taifa wa form six. Ni story ndefu Ila ngoja niishie hapa Ila nacho mshukuru mungu matokeo ya form six yalipo toka mm ndo niliongoza shule.
Duh! bila shaka unastory ya kutengenezea movie kabisa... Ulihustle vipi mpaka ukabutua kiivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipewa sio sbb nilihusika kwenye vurugu....
Sbb Nilikua HP na nilijua vugu vugu lote la mgomo na vurugu ila sikuripoti....

Ndio ulikua mwisho wa U HP na suspension juu..
Kufika home machungu yote nikahamishia kwenye msuliii...

Nilirudi siku ya Mtihani ya kanda...
Matokeo yanatoka Wa tatu kwa kanda...
Wakanipa u accademic....
Nako nikadakwa na wana Jikoni mda wa prepo tunakula mikate na chai ya asubuhi karibia nusu jabaaa....
Kuanzia pale nikaambiwa wewe utakua mlinzi wa jikoni mpk unamalizaaa....

All in all nilikua na upepo sana wa uongozi hasa u headboy kpnd na somaa....
Nilikua nakubalika na ushawishi sanaaaa....

Kati ya watu ambao hata walimu na kwenye mahafali pia watu wengi waliamini nitakua mwanasiasaaa..
Ila hata sina huo upepoo, labda hata masomo niliyochagua yamechangia kutoenda kwenye siasa..

Washkaji niliosoma nao hawaamini mpk leo upande niliopooo...

Nimesoma shule nying...
Natamani nitaje ila kuna watu watani ng'amua humu.. naamini wapo wengi tuu humu..

Pia nilishawahi kujihamisha shule mwenyewee...
Nishawahi singizia pia dingi kavuta kisa nimebanwa ada iko wapi maana nishakulaa ili nisamehewe...
Ilibakia Kidogo tuu nipate msaada wa wazungu flan hv waliokua wanasaidia yatimaa...
Ile aibu sitoisahau...
Mzee, bimkubwa na Sista ilibidi wacheke tuuu...

Ila sasa nimetulia kuliko watoto wao woteee..
Pamoja na kua mtukutu sana.....
Ila sikua na sifa ya kiburi wala jeuri na pia nilikua nakaza darasanii..
Unajimwagia sifa kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii story haijaisha bado nakusubiri hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana mmoja alikuwa anaishi Tarime mjini, akatuchukua watatu mpaka kwao akanifanyia mpango wa nauli kesho yake nikasepa, ile nimefika hom, bi mkubwa ananipa pole ya kupigwa pend. Nikaingia hom hapo bi mkubwa ananiona mi mkorofi, nikamuelezea situation nzima hakuelewa nikaachana nae. Kiukweli mpaka leo hii sijaelewaga ile spa nilipewa kwa sababu zipi maana ishu za kufanya usafi mi nilikuwa sihusiki nazo.

Tarehe tajwa ikafika bi mkubwa akanipeleka, hapo kuna wenzetu wa3 walipigwa miezi mitatu baada ya maamuzi ya bodi. Sisi tukapewa adhabu ya kuchonga barabara za shamba msala ukaisha hivyo.

Nikiwa sawa nitakuja na kilichofanya nikapigwa spa mpaka Necta
 
Mimi nilinusulika kula spaa

Nikiwa shule moja inaitwa igawilo nilikua kiongozi wa miradi pia nilikua ndo nashughulikia maswala ya tv Yan Kama watu nataka kuangalia tv lazma nitafitwe, Jambo Hilo lilifanya niwe maarufu sana shuleni

To cut story...
Duh! shule yenu ilikuwa seminary ama? wengine shule zetu tulikuwa tunaambiwa mipaka ya eneo la shule ni macho yako yatakapo kuambia hapa ndipo mwisho wa eneo la shule. Hivyo ilikuwa hata ukitaka ukazurule kokote ni wewe tu hakuna wa kukuuliza, watu walikuwa wanakata wikiendi wakipotea ijumaa mnawaona j3 na hakuna noma kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAJOMBA NIMECHEKA YAANI MMEAFANYA VIBWEKA VYA KUTOSHA SKULI YA KWANGU NI KWAMBA KUNA DEMU NILIKUWA NAFKUZIA KUMBE ANALIWA NA MWL WA NIDHAM NILIMUWINDA TICHA HADI NIKAWAFUMANIA LAIVU, NDANI YA BONGE DINNING HALL NILIKUWA NAPIGA MSULI PEKE YANGU WATU WALIKUWA WANALIOGOPA JENGO WANASEMA USIKU SIJUI KUNA MAJINI SASA HIYO SIKU KAMA KAWAIDA YANGU NAPIGA MSULI UMEME UKASEPA NIKABAKI HUMO NIKIUSUBIRI YULE TICHA AKAJA NA YULE DEMU WANAKOKOTANA HADI WAKAKWAMIA KWENYE MEZA NILIYOKUA NASOMEA BILA WAO KUGUNDUA KAMA NIPO PALE.
TICHA AKAANZA KUGEGEDA DADA AKILALAMIKA KWA MAHABA NIKANYANYUKA NIKAMTWANGA TICHA BANZI LA MATAKO NIKAMWAMBIA PUMBAVU KUMBE HUU NDIYO USIMAMIZI WA NIDHAMU.

MWL ALIKURUPUKA ALIFUKUA MBIO HUKU AKIJIBAMIZA KWENYE VITI NA MEZA KUMBUKA UMEME ULIKUWA BADO HAUJARUDI ALIKULA MIELEKA YA KUFA MTU ASUBUHI ALIAMKIA HOSP ALIONEKANA AKIWA NA PLASTER UTADHANI KATOKA VITANI VIETNAM, BINTI ALIBAKI PALE CHIN ANAJIZOAZOA NIKAMWAMBIA ANIPE MZIGO KABLA SIJAVUJISHA SIRI NIKAPEWA HATA SIKUMUACHA NA KWA VILE SIKU NYINGI NILIKUWA NAMNYEMELA UKICHANYA WALINIAMSHIA POPO WA HISIA WALIPOANZA NA TICHA.
NIKAGONGA VYANGU 2 ILE NATAKA NITAFUTE LA 3 UMEME UKARUDI TUKAISHIA HAPO TANGU SIKU HIYO NIKAENDELEA KUGEGEDA ILA TICHA ALIPOPONA ALINIGUNDUA KUWA NDIYE NILIYEMFUMA NA NIKAGUNDUA ALIYEMWAMBIA NI YULE DEMU KWANI TICHA ALIMUANZA TANGU AKIWA FORM ONE NA HAPO ALIKUWA FORM 4 TULIISHI KWA VISA NA MIKASA NA MWL UZURI YY ALIKUWA WA O'LEVEL.
Hapo kwenye banzi hapo ndo pameniacha hoi

Doooh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipigwa suspension baada ya kuwapiga ngumi za kutosha walimu waliotufuata Disco enzi hizo TMK WANAUME walikuja mkoani ikapigwa bed roll call masela wote tulikuwa hatupo bwenini walimu kwa ujinga wao wakavaa mapama na makoti na wakaweka katakund ili wafananie na masela wa disco wakatufuata disco aisee tulijua tumevamiwa na masela wa mtaani zilirushwa ngumi za kufa mtu.Asubuhi yake ilipigwa kengere ya dharura wale walimu vi mbele front wakaja wamefungwa PO-PO a.k.a Hogo na bandeji za kutosha.
DAA NASIKITIKA KUSEMA KUNA WENZETU WALIFUKUZWA SHULE KUTOKANA NA AINA YA UTETEZI WALIOUTOA MBELE YA BALAZA LA SHULE ILA MIMI NA WENZANGU WATATU TULIPONA KWA SABABU TULIKUWA TUNAINGIA ZAM KWA ZAMU KWENYE CHUMBA AMBACHO KULIKUWA NA WANA BALAZA WALIKUWAMO HUKU FAIL LAKO LIMESHIKWA NA MWALIMU MKUU.NILIENDA KUKAA KIJIJINI UZURI WAKE KUNA AUNT YANGU ALIKUWA ANAISHI U.S.A ALINITUMIA HELA KUPITIA WESTERN UNION NIKAPANGA GETO KIJIJINI HUKU NAJUTIA BALAA SIKU ZOTE 28.SIKU YA SUSPAA KUISHA NIKAKODI LI BRAZA FULANI HIVI LIWE BABA YANGU KWA SABABU MASHARTI YA SASPA YALITAKA NIJE KUREPORT NA MZAZI.ANYWAY LEO NAMAISHA YANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
kurudi na mzazi ilikuwa usumbufu mtu unasoma songea unakaa Ar mzazi nauli yote hio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwana mmoja alikuwa anaishi Tarime mjini, akatuchukua watatu mpaka kwao akanifanyia mpango wa nauli kesho yake nikasepa, ile nimefika hom, bi mkubwa ananipa pole ya kupigwa pend. Nikaingia hom hapo bi mkubwa ananiona mi mkorofi, nikamuelezea situation nzima hakuelewa nikaachana nae. Kiukweli mpaka leo hii sijaelewaga ile spa nilipewa kwa sababu zipi maana ishu za kufanya usafi mi nilikuwa sihusiki nazo.

Tarehe tajwa ikafika bi mkubwa akanipeleka, hapo kuna wenzetu wa3 walipigwa miezi mitatu baada ya maamuzi ya bodi. Sisi tukapewa adhabu ya kuchonga barabara za shamba msala ukaisha hivyo.

Nikiwa sawa nitakuja na kilichofanya nikapigwa spa mpaka Necta
Pole ndo changamoto za ujana bado wanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! shule yenu ilikuwa seminary ama? wengine shule zetu tulikuwa tunaambiwa mipaka ya eneo la shule ni macho yako yatakapo kuambia hapa ndipo mwisho wa eneo la shule. Hivyo ilikuwa hata ukitaka ukazurule kokote ni wewe tu hakuna wa kukuuliza, watu walikuwa wanakata wikiendi wakipotea ijumaa mnawaona j3 na hakuna noma kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata shule yetu haikuwa na fens ni miti tu ila ukikutwa kwa nje kimbia usijulikane, ukienda kunyoa nje ya shule unapewa kikaratasi kina mda wa kutoka na kurudi kina muhuri na sahihi ya ticha aliyekupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suspension nyingine nilipata kizembe sana .
ILIKUWA HIVI:
Kuna demu nilikuwa nikipata kuongea nae kupitia simu kwa sababu shule yao inakatazwa simu basi hiyo siku naazimisha kwa kupiga msuli mpaka asubuhi sasa siku hiyo nimeongea nae nikajikuta mwamba nikachukua kitini cha Advanced Mathematics cha Necta za Nyuma kama zote nikaenda kuzisolve sasa nikajikuta narudi bwenini saa 11.30 alfajiri bichwa langu lilikuwa lime jam balaa na kesho ndo j3 Assemble ambayo na mkuu wa shule huonekana na mara nyingi wote hutakiwa kuonekana asubuhi hiyo parade.

Bwana wee nikajiroga nilale kidogo hata li saa limoja khaa kumbe wenzangu wameshajiandaa wametoka wameenda assemble mida kama ya saa 1.45 wakaja walimu wanne wanaosifika kwa unoko pale shuleni kusweep madoja daa si wakanivuta shuka ghafla na kuanza kuniamsha si nikaamka na wenge langu nikaanza kuwatia mitusi ya nguoni kuja kuangalia vizuri kumbe ni walimu aisee nilikokotwa mpaka assemble nikiwa nimevaa surual truk na kesho yake barua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata shule yetu haikuwa na fens ni miti tu ila ukikutwa kwa nje kimbia usijulikane, ukienda kunyoa nje ya shule unapewa kikaratasi kina mda wa kutoka na kurudi kina muhuri na sahihi ya ticha aliyekupa

Sent using Jamii Forums mobile app
Si walimu hawakuwa wanafuatilia kabisa ingawa haikuwa wazi kwamba basi ndo mzurule muda wote ila watu walikuwa free sana kama wapo day school vile, uzuri wengi walikuwa wanazamia mashule jirani kupiga pindi kwakuwa kwetu kulikuwa na upungufu mkubwa wa walimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom