wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,983
- 4,134
Hii shule kumbe ni ya JWTZ?st pauls liuli huko Nyasa Ruvuma. vile vichapo toka JWTZ siji sahau..........
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii shule kumbe ni ya JWTZ?st pauls liuli huko Nyasa Ruvuma. vile vichapo toka JWTZ siji sahau..........
hapana ni ya gvt
Eeeh mkavamia kituo cha polisi Ipamba halafu wanakijiji wakashika sime na mishale..Nimekumbuka tulipigwa Per la wiki 3,pale TosaBoyz.Kuna jamaa flani walidakwa na stimu za kuranduka (mjani,a.k.a mneli) wakiwa na mzigo Mashushu wakachoma.Walipelekwa lupango kituo cha kati.Sasa kiubabe eti tunaenda kuwatoa wenzetu kituo cha polisi.Bwana bwana kilichotokea huko (kuna vijana walipoteza maisha_R.I.P).Baada ya shughuli zote WANAFUNZI WOTE tukala Per la wiki 3 na miamba Vinala Hatua stahiki,na wale wote majeruhi pia walizingatiwa ipasavyo.Kimbembe kurudi home huna nauli (mbona mitaa tuliijua bila kupenda)
O level nilifukuzwa seminari kwa kosa la kuuza nguruwe wa padri. Seminari hawanaga huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app







we jamaa umeshindikanaHukua tu unajua hesabunilipigwa suspension nikiwa nimebakiza wiki mbili kabla ya necta form four,sintosahau Mama yangu alivyokuja anatoa machozi,kisa ilikuwa kukataa kupigwa fimbo za kushitukizwa zisizokuwa na kipimo wala eneo maalumu la kupiga,nikasamehewa,na sintosahau ile tunaanza necta kwa kuanza na hesabu niliadhibiwa na headmaster fimbo za kushika kucha,afu ndo uruhusiwe kuingia kwenye chumba cha mtihani.Nilipata F mtihani wa hesabu kitu ambacho kilinifanya kupata division three japo nilipata one,kwasababu ya penalty ya F ya hesabu.
Nilikutwa namlamba mtoto wa headmaster toilet siku ya welcome form 1 nilikimbia lakini manzi alinitaja.Kesho yake kengere na nikapigwa zuio la kukaa hostel.
Sent using Jamii Forums mobile app



walikuachaje we pimbi???Nilipigwa mara 3, form one, form 3, na Form 4 nilipigwa ile suspension isiyo na muda mpaka kikao cha Bodi kikae,
Walikuja kukaa wiki moja kabla ya Necta, nikapiga pepa na kupita hivi,
Uchakataji huu ulinitia hasara sana,
Kosa:
Hiyo supsension ya Form 4.
Nilimlimtorosha dogo wa hostel na kwenda kulala naye gheto Asubuhi namrudisha tukafumwa na Matron.
Sent using Jamii Forums mobile app
mr zero Iq on the movie..... Hahah! A real motivational speaker with in Jf platform Hatari sana,,ukichanganya na kuzalisha vibinti vya pale.Wanakijiji walitoa kichapo heavyEeeh mkavamia kituo cha polisi Ipamba halafu wanakijiji wakashika sime na mishale..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na meno yake yale kama amekula maviHahhahaaa Shoo alikua mnoko sana aixee... Ukikutana nae town hata kama una kibali halafu hujavaa uniform ukirudi lazma akuzingue..
O level nilifukuzwa seminari kwa kosa la kuuza nguruwe wa padri. Seminari hawanaga huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app