Tuliowahi kupewa suspension tukutane hapa

Tuliowahi kupewa suspension tukutane hapa

Mbalizi Sec enzi ya Mwampoma tulikula spa na wana kibao cha kushangaza tulipofika stendi raia wakaomba niende nao home maana hawajui wataambia nini wazazi.

Sent using OPPO Mobile Phone
So wana kibao ukakaa nao home?
 
Tosamaganga nilikula suspension ya wiki 4. Kisa ilikua chakula wanafunzi tulilalamika msosi mbovu. Kuna jamaa alikuja na info sijui kazitoa wapi kwamba kila mwanafunzi wa boarding inatakiwa ale msosi wa elfu 6 kwa siku. Ila chakula tunachokula kwa siku hakina ata thamani ya elfu 2. Basi jioni tunaongea kama vikao maroom tunapita room kwa room kumbe mshikaji mmoja alikua spy...
Mh Hilo tukio lilitokea mwaka gan coz mi nilipitia hapo o-level
 
Mimi nilinusulika kula spaa

Nikiwa shule moja inaitwa igawilo nilikua kiongozi wa miradi pia nilikua ndo nashughulikia maswala ya tv Yan Kama watu nataka kuangalia tv lazma nitafitwe, Jambo Hilo lilifanya niwe maarufu sana shuleni

To cut story... Kuna siku moja nilishawishi watu twende tukalione ziwa gosi halafu sikutoa taarifa kwa walimu kwamba tunaomba ruhusa ya kutoka nje ya shule..nakumbuka ilikua jmos nikakusanya wanafunzi kibao mida ya saa 11 asubuh na kuanza safar ya kuelekea huko milimani lilipo Hilo ziwa gosi kwa bahat mbaya mwalimu wa nidhamu alikuja mida ya saa 4 asubuhi ili achukue wanafunzi wa kwenda mashineni kusaga mahindi.

Akaita watu assembly ila alishangaa watu walokuja ni wachache sana kuja kuuliza akaambiwa wengine wameenda ziwa gosi. Ikabidi amuulize mwalimu wa zamu ni nan aliyetoa ruhusa ya wanafunzi kutoka jibu likawa hakuna

Tulivorud tu nikakutana na ujumbe j3 Kuna chamoto nitakiona😁😁

Ila ilivofika Hiyo j3 sikuguswa hata kidogo Ila tulipewa adhabu ya kulima matuta ya bustan na mm nikapewa kazi ya kuwasimamia watu niliowashawishi


Mpaka Leo bado sijajua kwanini sikusimamishwa shule Wala kutenguliwa uongozi wangu kwa ule ujinga nilioufanya
 
WAJOMBA NIMECHEKA YAANI MMEAFANYA VIBWEKA VYA KUTOSHA SKULI YA KWANGU NI KWAMBA KUNA DEMU NILIKUWA NAFKUZIA KUMBE ANALIWA NA MWL WA NIDHAM NILIMUWINDA TICHA HADI NIKAWAFUMANIA LAIVU, NDANI YA BONGE DINNING HALL NILIKUWA NAPIGA MSULI PEKE YANGU WATU WALIKUWA WANALIOGOPA JENGO WANASEMA USIKU SIJUI KUNA MAJINI SASA HIYO SIKU KAMA KAWAIDA YANGU NAPIGA MSULI UMEME UKASEPA NIKABAKI HUMO NIKIUSUBIRI YULE TICHA AKAJA NA YULE DEMU WANAKOKOTANA HADI WAKAKWAMIA KWENYE MEZA NILIYOKUA NASOMEA BILA WAO KUGUNDUA KAMA NIPO PALE. TICHA AKAANZA KUGEGEDA DADA AKILALAMIKA KWA MAHABA NIKANYANYUKA NIKAMTWANGA TICHA BANZI LA MATAKO NIKAMWAMBIA PUMBAVU KUMBE HUU NDIYO USIMAMIZI WA NIDHAMU.

MWL ALIKURUPUKA ALIFUKUA MBIO HUKU AKIJIBAMIZA KWENYE VITI NA MEZA KUMBUKA UMEME ULIKUWA BADO HAUJARUDI ALIKULA MIELEKA YA KUFA MTU ASUBUHI ALIAMKIA HOSP ALIONEKANA AKIWA NA PLASTER UTADHANI KATOKA VITANI VIETNAM, BINTI ALIBAKI PALE CHIN ANAJIZOAZOA NIKAMWAMBIA ANIPE MZIGO KABLA SIJAVUJISHA SIRI NIKAPEWA HATA SIKUMUACHA NA KWA VILE SIKU NYINGI NILIKUWA NAMNYEMELA UKICHANYA WALINIAMSHIA POPO WA HISIA WALIPOANZA NA TICHA.

NIKAGONGA VYANGU 2 ILE NATAKA NITAFUTE LA 3 UMEME UKARUDI TUKAISHIA HAPO TANGU SIKU HIYO NIKAENDELEA KUGEGEDA ILA TICHA ALIPOPONA ALINIGUNDUA KUWA NDIYE NILIYEMFUMA NA NIKAGUNDUA ALIYEMWAMBIA NI YULE DEMU KWANI TICHA ALIMUANZA TANGU AKIWA FORM ONE NA HAPO ALIKUWA FORM 4 TULIISHI KWA VISA NA MIKASA NA MWL UZURI YY ALIKUWA WA O'LEVEL.
 
Kuna jamaa alilala darasani nikamuandika Kwenye shati na marker pen, NINA K*#MA TAMU
Jamaa alikuwa form4 lakini alikuwa age imeenda kidogo,midevu na misharubu imejaa halafu alikuwa wale washkaji too much know,ambao rafiki zake wengi ni madem
Alipoaamka ilikuwa break time ...sasa kipindi anazurula mda wa break kutafuta sifa akawa anashangaa madem wanamcheka,kuwauliza nini? Wakamwambia ana maandishi nyuma ya shati...jamaa alipoyasoma akaanza kulia akaja pale Dukani akatukuta backbenchers tunakula akaja akauliza huku analia oya mazee nani kaniandika mgongoni?...itaendelea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewahi kupigwa suspension ya siku 21 kwakugomea adhabu ya mwalimu, siku naripoti nikaongezewa nyingine kwasababu yakutokuomba msamaha, nilirudi nikafanya necta na madogo zangu wakapewa usia wasome kama mimi kwani nilipata division 1 nasomo nililofanya vizuri sana ni somo la uyo mwalimu aliesema namdharau!
 
Form three hiyo na wanangu tumetoroka shule, njian tunakutana na manzi akaomba angalie kitabu nlichoshika, nlivyompa akasema yeye ni mwalimu wa field na kwann tunatoroka turudi wote shule huku yy akitangulia...oh tukaona hili soo bahat nzur wakati tunajishaur akatokea mbabe wa shule (damme..sijawahi kuona mtu tukutu kama huyu) tukamwambia kuna jero hapa katuchukulie kitabu kwa yule manzi kule anayetembea aisee kufumba na kufumbua alienda kwa speed ya umeme kampa kofi ajakaa sawa tama then akachukua kitabu (note: na yy ajui kama yule ni ticha) akaturudshia tukaacha nyoya.

Sasa mziki jtatu kumbe yule madame alifungua kile kitabu akasoma jina njian...tunashangaa assemble naitwa jina kwa kesi ya kumpiga mwalimu nitaje mwenzangu na madame anasema tulikua watano (kamuinclude damme) ah mm nkataja wanne tu nkasema nikitaja damme ataniua(na hata assemble akuepo)

aisee tulikula stick kama mvua (si unajua walimu wa kiume tena kwa misifa mbele ya msala wa demu) baada ya hapo tukala suspension ya wiki nne (ilikua kma kumpiga teke chura coz tulikua wazee wa mchikidown).....nikitulia nataleta kisa cha suspension yangu ya kwanza shule ya msingi....RIP Damme nlisikia alifariki kwa wizi wa bodaboda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom