Tuliowahi kupewa suspension tukutane hapa

Tuliowahi kupewa suspension tukutane hapa

Nakumbuka nilipokuwa form six nilipewa suspension kisa tulikuwa na simu tulikuwa Kama Saba ivi, six sita na kaform five kamoja..jamn then baada ya kurudi tukapakaziwa kesi ya kwamba sisi ndo waharibu system ya umeme shulen tunapochaji simu so wazazi watoe ela 35000 na tube taa 6 Kila mmoja na baada ya wenzetu kufunga sisi tutabaki shulen for two weeks kwa ajili ya adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiza high school ipo mbozi mbeya mimi na rafiki yangu Alpha tulikuwa watoro hatari kulala dom ndio sisi siku head master akatuotea town Vwawa tulipew life ban sitosahau
 
Mwalimu alijichanganya na mie nikamchanganya!! Piga vichwa visivyokuwa na idadi! Wakanipa sunspension nikahama kabisa na shule yenyewe!
 
Nakumbuka nilipokuwa form six nilipewa suspension kisa tulikuwa na simu tulikuwa Kama Saba ivi, six sita na kaform five kamoja..jamn then baada ya kurudi tukapakaziwa kesi ya kwamba sisi ndo waharibu system ya umeme shulen tunapochaji simu so wazazi watoe ela 35000 na tube taa 6 Kila mmoja na baada ya wenzetu kufunga sisi tutabaki shulen for two weeks kwa ajili ya adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ila form 6 huwa mnawadharau form five hahaha
 
Nliingia form five mwez wa 7 mwishon mwez wa 9 nkapigwa spar ....day kitambo Sana kyela ai skul
 
Form 3 Niligoma kuchapwa na mkurugezi wa shule hii nilipewa ya mdomo ( Sikutaki kwenye shule yangu) Nilifurahi sana kauli ile sababu nilikuwa shaichoka shule.

Form 6 Nsumba, kesho yake ilikuwa moko tukakamatwa sweya nanunua rula. Jamaa (Mwake) akatukomalia kama kesho yake paredi tunaondoka, hata sikwenda prepo nikijua kesho yake naondoka.

Asubuhi ikafika tukaitwa na kupewa barua zetu kwa sharti la kuondoka baada ya paper. So nikafanya mtihani siku hiyo bila kunenepesha ng'ombe siku ya mnada. Baada ya paper nikapata likizo kidogo ya wiki 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
St. Matthew mwaka fulani nikiwa form five... siku tuliyofungua shule baada ya likizo fupi. Ni siku hiyo hiyo tumepitia Bank kulipa ada na mom, kisha tukaelekea shule.

Baada ya kufikishwa shule mom akaondoka Ilikuwa kama saa tisa hivi. Saa kumi na moja nakamatwa na magendo na suspension juu.

Sitaisahau hiyo siku narud nyumbani mama alilia kama mtoto aisee Mungu anisamehe tu ila ulikuwa ni utoto tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijawai kuona suspension ya muda mrefu Kama ya kwangu. Nilibambikiziwa kesi kwamba nimekutwa na msichana wa o-level Mimi nilikuwa form five tena ndo Kwanza miezi minne toka tumeanza hyo form five. Nilifukuzwa nikaambiwa utaludi kufanya mtiani wa taifa wa form six. Ni story ndefu Ila ngoja niishie hapa Ila nacho mshukuru mungu matokeo ya form six yalipo toka mm ndo niliongoza shule.
pole sana mtoto wa kamachumu
 
Back
Top Bottom