EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #101
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watotot wa juzi na simu zipi kabisa, mnatongozana kwa wasap[emoji28][emoji28][emoji28]Mimi nikiwa advance wakati wa inspection ikakamatwa picha kwenye picha nilionekana nimeshika simu sasa descpline master alitaka hiyo simu niligoma sana nikaoigwa pendi week 3 ile narudi wakasema bila simu nirudi home nilikasirika nikawajibu labda nirudi home mwalimu nikawanunulie simu wakasema wewe mtoto mpumbavu kweli nenda darasani kesi ikaisha
sente using my infinix
Sent using Jamii Forums mobile app