Tuliowahi kupewa hela na wanawake

Kweli mkuu, amenipa pesa zake nyingi sana mpaka kuna kipindi alinitumia nauli kutoka Point A-E ili nikam****, na bado nikapewa na nauli ya kurudi + Matumizi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Napenda sana tuendeleze kizazi cha watu wenye huruma na wenzao na sio hiki cha sasa kilichojaa ubinafsi.
 
Mkuu kwani kuzama uvinza kuna shida gani mkuu? Sisi wenyeji wa mgodini tumeumia sanaa kwa kauli hii mkuu [emoji3][emoji3].

《Caprichar o teu sorriso》
Pole sana.
Usiumie.

mama wawili
 
Yan wapewe help halafu watoe?
 
Mkuu kwani kuzama uvinza kuna shida gani mkuu? Sisi wenyeji wa mgodini tumeumia sanaa kwa kauli hii mkuu [emoji3][emoji3].

《Caprichar o teu sorriso》
Sio jambo zuri endapo sijawahi ila sioni kama lafaa.. nyie mtakuja kututengenezea magonjwa zaidi ya korona ni Jambo la muda tu acheni ukenge nyie..
 
Hao wengine..alafu mpenzi si mti wa pesa kwamba muda wote anakuwa nazo muda wote anipe tu..no..Kuna muda mnaishiwa na mnahitaji tafu kutoka kwa Wandani wenu (sisi)
Jidanganye rafiki.
Mwanaume anatakiwa awe na pesa siku zote awe na za akiba pia.
Ikitokea labda kaumwa, kapoteza kazi ajali n. K hapo hakuna jinsi kumboost.
Lakini mzima kama Extrovert kumpa back up no.
Aende kwa washkaji zake huko au saccoss akakope.
We jifanye mke mwema tu rafiki unampa back up hela yako anaenda lipia room anaenda na mwingine.

mama wawili
 
Kweli kaka hata mimi nilijua ananitania ila alitoa kwa moyo mmoja na sikuwahi muomba hiyo hela.nahisi alinionea huruma tu ninavyohangaika.huyu dada hata akinipigia simu saa tisa za usiku ana tatizo nitaamka na kumsaidia.ni wachache wa hivi mkuu
Hilo ndio lile linaitwa zali la mentali mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…