Hayo ndio mapenzi ya kweli sasa, hongera sana umepata demu mwenye roho ya kizungu. Wanawake wengi ni wabinafsi by nature wana mkono wa kupokea tu ila akikupa hata buku atakusimanga kishenzi ila kunao wale wazungu wa roho mtu anakupa hata M ila hakuwazi.nilipewa sana tena zaidi nikisema nina shida na kitu fulana nashangaa imesibitishwa.
Kuna muda mpaka nilikuwa napiga mkwara kuwa usinitumiep pesa yoyote acha nikae na matatizo yangu lakini nashangaa kitu kimesoma.
NB: Bado nipo naye, sasa ni zamu yangu naampa kila anataka coz nina kazi sasa, kipindi kile nilikuwa sina kazi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakumbuka wakati naanza mahusiano na huyu niliyenaye nilikuwa bado sina ajira. uzuri nilikuwa na kabiashara kangu ka tigo pesa nashanga siku anakuja kwenye kiofisi changu akaniambia anatoa pesa nikampa code ya wakala yangu akatoa 700000.
Ile namwesabia nimpe akasema amenipa niongezea mtaji daaah sikuamini na sikuwahi muomba kabisa.
Thanks God ile hela ilikuwa na bahati mtaji ulikuwa na biashara ikatanuka.kuna wanawake wanaletwa kwenye maisha yetu kama ngazi ya mafanikio.hawa ni wakiwaheshimu na kuwajali.
Mwanamke akimpa tu mwanaume hela yake, kila akimuona huyo mwanaume na huko chini panakuwa pakavu kuliko jangwa la sahara Kasie
Nahitaji pesa mpenzi hata ya pipi tu darling.. nipo hapa naisubiri sauti yako itete kwa ombi la kunikubalia my sweet love..
Mi kwa kweli napewa sana.Tena kuna mmoja amesema Ramadhani ikiisha ananitumia nauli niende yupo mkoani,ni mtumishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe hiyo kwako ni sifa?
Bado itakuwa historia yangu ya kupewa hela na kimwana itakuwa bado haijavunjwa!Aahahahahaa mtima wa Kasinde umesema, uhitaji wako ni pipi, basi pesa hupati ila ntaagiza DHL wakuletee parcel yenye mazagazaga ya chocolate na pipi za kila namna kwa uzito wa kg. 1.
Angalizo; ukimaliza kula utamu huo upige mswaki kulinda meno yako yashishambuliwe na bakteria.
Kasinde Matata.
Bado itakuwa historia yangu ya kupewa hela na kimwana itakuwa bado haijavunjwa!
Mi naomba hela pipi silagi pipi zangu Ni matunda mpenzi kasie au umenisahau..?
Hujui nakula matunda ili nidumishe afya ya mwili,akili na Lile shipa la mapenzi😜😉
Au unataka niwe mapengo Kama wewe..?
Usiwe hivyo kimwana mwaga midolali hata Kama upo mbali,nitumie kihalali nile na kachumbali bila kusahau na pilipili kwa mbali...😜😉
Haha nipo nasubiri..😅Aaaahahahahahahahaa keeengeeeh weeeh.... Nilikuwa sijakuelewa
Ngoja mtima wangu ufanye tena mahesabu aahahahahaaa.
Naomba nitoke nje ya mada,
Hii tabia ya wanaume kuomba omba hela imetoka wapi.? Mbona inazidi kushamiri.?
Wanaume kazi ya kuomba omba pesa mtuachie tu siye, ninyi hampendezi walaqhi'..!!
Jana nmeshangaa sana, tulipanga kuonana na mwanamke mmoja hivi ambae ni rafik yangu kwa takribani miezi miwili, tulitoka jana mida ya saa 11 jioni hivi tukaelekea katika hotel moja pale kinondoni, tukapata vinywaji huku tukiendelea kupiga story, tukala na kusaza, baada ya kutumia nikataka kulipa bill,cha kushangaza binti yule alitoa pesa akalipa yeye nilishangaa sana.
Kwa maisha ya sasa kupata mwanamke anaelipa bill ya zaidi ya elfu 50 ni nadra sana.
Ndio ikawa hivo, tulikula na kusaza bill akalipa, baada ya hapo nikampeleka kwake namimi nikaenda zangu kwangu.
Haya maisha ukiwa na vipesa vya kubadilisha mboga ni matamu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app