Tuliowahi kupewa hela na wanawake

Kuna kipindi mtoto wa kigogo aliniletea mafungu yote ya kikoba yeye ndo mweka hazina kwamba niizungushe izae afu tuje tuirudishe,nikaona huu mtego huu unaweza ukahama mji...mwanamke akipenda na akaona una akili anaweza kukuhonga hata nyumba ya baba ake😁
 
Soma Post No 40, siyo mnakurupuka tu kujibu.!!
 
Kuna mdada mmoja huyo alikuwa ananipa hela sana sasa nikaja kukutana na jamaa anadai ni mpenzi wake,jamaa akaanza nisimulia jinsi anavyomhonga mdada kwa kumtatulia shida za kipesa afu siku ya mwisho kumpa kiasi fulani cha pesa ambacho ndo nilipewa mimi na huyo mdada na jamaa analaumu hajawahi kula tunda...nilichoka
 
Kwa sasa hivi ushaacha utoto,huwezi msaidia pesa mpenzi wako?
 
Mzee mmoja wa makamo aliwahi kuniambia, kamwe mwanaume asikubali kupewa pesa na mwanamke, kama atapewa akiwa na shida flani basi ahakikishe anamrudishia hata kama mwanamke akiikataa yeye anapaswa alazimishe aipokee.... Pesa ya mwanamke ina masimango sana, ukizoea kupewa pesa na mwanamke kwa kigezo cha kusaidiana basi kubali kudharauliwa, atakutangaza kwa kila mtu atakayeongea nae, utadharaulika, kwa mwanamke pokea zawadi tu usipokee pesa, Acha mara moja hiyo tabia utaaibika.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Me mwenyewe majuzi kati nlikua nataka ninunue luku sikua na pesa kwa muda huo na tulikua nae akanipa 5000 ila kiukweli sikua na amani kabisa jana kanipiga mzinga wa 20000 knikajua hapa inaombwa ile hela yake kijanja nikamtumia 22 fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa kabisa hela ya mwanamke ukiichukua hata kama alikupa bure,siku ukiwa na hela mwambie hii hapa pesa yako ulinipa kipindi kile,usimpe indirect mwambie direct hii hapa ulinipa nimekurudishia.
 
Ulifanya jambo zuri sana kumpa na nyongeza... trust me ile elfu 5 ilikua inamkosesha amani hadi akilala anaweweseka.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Uko sawa kabisa hela ya mwanamke ukiichukua hata kama alikupa bure,siku ukiwa na hela mwambie hii hapa pesa yako ulinipa kipindi kile,usimpe indirect mwambie direct hii hapa ulinipa nimekurudishia.
Naam, ukijifanya ooh kanipa kwa mapenzi yake siku atakayokudhalilisha hutoamini kama ndie yule wa siku zote mwenye tabasamu na bashasha.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Unaparamia makurumembe mzee, mademu yameumizwa kwenye mapenzi hadi mioyo yao imekuwa sugu, Tafuta watoto waliositaarabika mzee, wanaotoka katika familia bora, hawatafuti mwanaume kwa ajili ya kodi bali wanataka mapenzi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...SANA TU KWANZIA MSINGI MPAKA UTU UZIMA WANGU NILIPO ILA MI SIO MARIOO
 
Ha ha! Ati makurumbembe😂😅
Ngoja nikatafute wa geti Kali..
 
Though ni mara chache sana... Mwanamke kumpa Mwanaume pesa...

Ila wapo wanawake wenye roho za kutoa... Sababu kutoa ni moyo...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…