Daah pole best kutumbukia kisimani utakuwa ulikuwa mtundu sanaUmenikumbusha nikiwa mtoto bwana nililia kumbikumbi acha zidakwe nikaangiwe Nile, acha nianze kutapika had nikaishiwa nguvu kabisa, tangu siku hyo sipendi kumbi kumbi, kisa kingine nilikuwaga mtundu niliye kubuhu acha nitumbukie kisimani nikiwa mtoto sijui hili wala lile nikaja kuokolewa na wenzangu. Aisee kikubwa mimi nimepitia mengi na kunusurika kifo mara nyingi sana. Namshukuru Mungu dunia hii siji kuondoka had niwe mbibi na mkongojo
Poleee sana,
Kwa upande wangu, kuna simbilis moja almanusra inifanye nipak vitu vyangu niondoke duniani, shenzi sana, mapenzi haya
Anyway.. tuyaache hayo
miaka ya Nyuma kidogo hapo, nikiwa kama standard three hv au two, nikiwa kwa babu mzaa mama moshi vijijin huko, siku moja nimepanda juu ya mti wa mmerez, (kwa wanao ifahamu hii miti ukiwa umekomaa n mrefu sana) nilikua naupunyua matawi, bwana wee huku na huko nimekata tawi lina kama V hv, hiyo V si ikaja ikanivaa shingon kama tai hv... nilijaribu kulivua weee lakn wapi, huku na huko wapi (nilikua bado mdogo, chini ya miaka 10) so uamuz wa haraka ukanijia nijiachie tu nidondoke nalo, nikaachia panga likatangulia kwanza... Yaan ilitokea kama miujiza vile, ile nataka kujiachia tu likanivuka lenyewe, niko hoi bin taaban hapo, nguvu zenyewe zalisha anza kuisha, nikashuka nikaenda kulala
Haha si kwamba nakucheka ila pole sana boss
nyie wanawake nyie, mtakuja kua kuni za motoneti upaki vitu vyako uondoke duniani
nyie wanawake nyie, mtakuja kua kuni za moton
ha ha ha utundu ungekuua mwana,,Poleee sana,
Kwa upande wangu, kuna simbilis moja almanusra inifanye nipak vitu vyangu niondoke duniani, shenzi sana, mapenzi haya
Anyway.. tuyaache hayo
miaka ya Nyuma kidogo hapo, nikiwa kama standard three hv au two, nikiwa kwa babu mzaa mama moshi vijijin huko, siku moja nimepanda juu ya mti wa mmerez, (kwa wanao ifahamu hii miti ukiwa umekomaa n mrefu sana) nilikua naupunyua matawi, bwana wee huku na huko nimekata tawi lina kama V hv, hiyo V si ikaja ikanivaa shingon kama tai hv... nilijaribu kulivua weee lakn wapi, huku na huko wapi (nilikua bado mdogo, chini ya miaka 10) so uamuz wa haraka ukanijia nijiachie tu nidondoke nalo, nikaachia panga likatangulia kwanza... Yaan ilitokea kama miujiza vile, ile nataka kujiachia tu likanivuka lenyewe, niko hoi bin taaban hapo, nguvu zenyewe zalisha anza kuisha, nikashuka nikaenda kulala
Daah pole best kutumbukia kisimani utakuwa ulikuwa mtundu sana
Daaah pole san.
Kumbikumbi nimewala san, nadhan usichokijua ww ni kwamba kumbikumbi hawaliwi hivihivi na ukiwala ivoivo bila chchte basi ule kdg san, ukizidisha kitakupata ulichokipata siku hiyo.
Mm binafsi kuna siku nikiwa mdg nlikuwa naumwa malaria. Bahat mbaya sikupelekwa hospitali kwa sabab ziko mbali na tulipokuw tunaishi ni kijijini san.
Asbh km kawaida wazee waliondoka kwenda shamba, mm huku nyuma nikazidiwa, nilianza kuharisha san na kutapika. Baada ya muda niliishiwa nguvu, nikaendelea kufanya vyote palepale. Mama aliporud saa sita kupika alinikuta niko hoi san, ndipo ikawa hamna namna zaid ya kupelekwa hospitali.