Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Sio wabaridi?
Hakuna ubaridi wowote, ni maneno ya waja tu kuwa kunako wamepoa. Wapo romantic sana, ukidate nao una uhakika upo peke yako halafu 50-50 inahusika kwa sana.

Isingekuwa kuishi huku ushenzini lazima ningechanganya damu, Ila experience inaonyesha wengi wa wabongo wanaorudi na weupe ndoa zao hazina maisha marefu unless uwe na maisha above average au tajiri kabisa.
 
Back
Top Bottom