CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,939
- 22,990
sawa mkuu unakatizia kichangani vipi umbali wake unauonaje?Nane nane mpaka Forest unakata tu Kichangani unatumia masaa machache tu
sawa mkuu unakatizia kichangani vipi umbali wake unauonaje?Nane nane mpaka Forest unakata tu Kichangani unatumia masaa machache tu
Hapa najipanga nichape lapa toka mjini hadi matombo.Duuuh, mkuu ulikomaa Sanaa toka Mazimbu, IPO IPO, Modeko,.chamwino, kasanga utoboe Hadi mzumbe,mlali Hadi kufika Mgeta daaah heshima kwako
Huo ni umbali Kama wa kutoka mjini mpaka kihonda magorofani. Watu wanachapa lapa toka mkundi au kiegea mpaka mjini, wengine wanapanda na kushuka hiyo milima ya ulugulu kila siku.Umbali wa kutoka nane nane (morogoro) to Forest hill nadhani wa kazi wa morogoro mnaelewa hiyo distance,nilitembea by ngoko moja moja mpk nafika home.
Ndugu, kumbuka hio ni dar - chalinze. 15yrs ago nilitembea toka airport mpaka kurasini kesho yake niliumwa kabisa na sitoisahau hio siku.Nadhani nimetembea saana katika maisha yangu....saana...
Nashangaa kuona watu wanatumia siku nzima kutembea km100.
mkuu lunzewe kahama sio mchezo kama utupigi fix.Inaonekana wewe ni kibonge😝😝😟
Niliwahi kwenda Bukoba 1993 nikiwa naenda Uganda bahati mbaya nikaishiwa hela Biharamulo ikanibidi kurudi home Manzese.
Nikapata lift ya gari la mananasi lililoishia sehemu inaitwa Lunzewe usiku sana wakanishusha na kunipa 350 nilale.
Sikutaka kulala nilianza kutembea kutoka Lunzewe - Geita hadi Tinde - Kahama ni mbaaaali brother ogopa sana kuona barabara lililonyooka na hujui umbali wa unakokwenda.
Tinde - Kahama nikaiba baiskeli nikaendesha hadi Igunga nilifika salama kabisa.
Ila baada ya kupumzika siku moja niliumwa sana yani sana nahara tu ndipo nilipofahamiana na Marehemu Donald Max aliyekuwa mbunge wa Geita miaka ya 2010 akiwa kwenye harakati zake za kimaisha akanileta hadi nyumbani dah!
Hadi sasa hivi nimekuwa mchawi wa roho
Lunzewe to kahama baba sio mchezo.Ni hatari sanaaa hicho kipande.isije ikawa chaimkuu lunzewe kahama sio mchezo kama utupigi fix.
kufika ushilombo tu lazima usizi, ukikomaa sana unaishia masumbwe.
mkuu mimi nikiwa na Muwa tu hata afrika nazunguka.Tukiwa shule kipindi cha likizo mm na group langu tulipenda kutembea, toka bihawana hadi dodoma mjini. Tulikuwa tunanunua juice karanga na biskut, mizigo tunapakia kwe gari, sisi tunatembea. It was fun.
ila tandika posta ukipata shortcut sio shida sana ila tatizo joto najua lazima ufike kama ulikuwa unaongelea swimming.Ilikua 2012 natoka gheto tandika nashuka chuo ifm sina nauli ya kurudi cz najua chuo kuna wadau siwezi kosa naul ya kurudi.
Bwana wee.Nafika nakuta maandamo kwenza wizara ya mambo ya ndani kisa kuna wanafunz wa ifm wamelawitiwa kigambon so kuna fujo fujo kidogo pale na ole wako uonekane darasan.
Simu haina vocha so nikashindwa kuonana na wadau wangu.Nikaona isiwe kesi nikaunga maandamano but kabla hatuja fika nikafanikiwa kuchomoka nikaingia POSTA MPYA kwa mguu safari ikaanza kurudi TANDIKA.
Kwa hali ya hewa ya hapa town niliona kama naenda mbinguni.
Nafika pale kamata kkoo akutana na defender ya FFU na gari ya maji ya kuwasha..Nikawaonea huruma sana niliowaacha huko..Walipigwa wakachaa..Kipigo cha mbwa koko walikula.
Ila na mm nilichakaa kwa mwendo
mkuu nakifahamu, kwa Bus tu unachoka vipi mguu 😁😁😁😁😁Lunzewe to kahama baba sio mchezo.Ni hatari sanaaa hicho kipande.isije ikawa chai
Kwani siku moja kiidadi ina saa ngapi?Km zinazotembeleka kwa siku ni below 60 km mia moja usifanye mchezo nazo hawa jama nawaoma wakidanganya.Ujue km 5 huwa inakula saa moja.Sasa km mia anawezaje tembea siku moja.
Mm nilikuaga mgen town enz hizo nimekuja tu kusoma so nikanyoonya njia kama daladala.ila tandika posta ukipata shortcut sio shida sana ila tatizo joto najua lazima ufike kama ulikuwa unaongelea swimming.
hayo maandamano nayakumbuka mkuu
Kuna watu wana roho ngumu sanaHa ha ha hata mm nimeshangaa alipitaje?