Tuliotembea umbali mrefu kwa miguu kwa sababu yoyote ile tukutane hapa

Enzi hizo nipo O-level mwaka 2003, nikiwa na couzin yangu tuliendesha baiskeli kutoka Sengerema hadi Bariadi karibu 200km ila tulilala Magu wakati wa kwenda na kurudi pia.

Maisha ya mjini yanatufanya tuwe wazembe sana, leo kutoka mbezi tangibovu tu hadi mwenge 2km siwezi kutembea.!
 
Alisababisha nikatembea toka Jangwani hadi Kawe Maringo/ Round About KM 13 hizo. Sikuvaa soksi nilifika miguu imechubuka. Nimesikia michubuko tokea Kwa Warioba afu daladala zimejazana kishenzi. Nilipofika Maringo uzalendo ukanishinda nikachukua Bajaj
Lowassa alinitembeza Jangwani to Ubungo Kibo,halafu siku nyingine Mbezi mwisho to Ubungo Kibo,Ila kutoka Uwanja wa Taifa mpaka Ubungo ni mara nyingi tu
 
Halafu hapo katikati ya kijiji na kijiji unakutana na pori refu ajabu.
Kipindi nipo mdogo nilitembezwa umbali mrefu,tulikuwa Mimi baba mdogo na kaka yangu,kila mara wenzangu walikuwa wananiacha.Sasa ikafika mida fulani nikawa nimechoka plus njaa kuuma.Nikaachwa nikakaa chini kupumzika nikaanza kulala.Bro na baba mdogo wakaona sionekani nyuma wakarudi kunifuata.Wakanikuta nimelala.Walikasirika mno tukaendelea na safari.Mpaka tunafika home nipo home.Ila nikikumbuka naona walinionea sana maana hata Sina kumbukumbu kama nilikuwa na umri gani maana muda huo nilikuwa chekechekea.Enzi zile kuingia la kwanza lazima mkono upitishe kichwani ushike sikio upande wa pili
 
umbali uliotembea kwa miguu ukajiwekea rekodi yako. Inaweza kuwa 1KM.
Kuna jamaa walitembeakutoka urusi hadi India kwa Miguu km zaidi ya 2000. Ipo movie yao based on true story
Nyerere alitembea toka Butiama mpaka Mwanza. Mimi nilitembea toka Bulombola mpaka Kigoma nikijongo majeshi nikaishia kukamatwa na kuswekwa lupango ya jeshi kwa mwezi. That was during Kagera war hata nyoka karibu atung'ate na mtoro mwenzangu.
 
Nilitoka Ifakara mpk Liwale,safar ya siku 11 kwa mguu,kupitia Mahenge,Ruaha,Mwaya,Mbuga,ketaketa,nna tukazama maporin mpk liwale,.. Yote tunatafuta utajiri ambao tulishimdwa masharti.. Ha ha ha Muacheni Mungu akupe unachostahili kwa wakat wako,kuliko kutafuta kwa shortcut...
Allah atakubariki mpambanaji. Liwale naikumbuka shule ya msingi tu tulikuwa tunasoma kwenye jiografia.
 
Nyerere alitembea toka Butiama mpaka Mwanza. Mimi nilitembea toka Bulombola mpaka Kigoma nikijongo majeshi nikaishia kukamatwa na kuswekwa lupango ya jeshi kwa mwezi. That was during Kagera war hata nyoka karibu atung'ate na mtoro mwenzangu.
safi sana.
story za wajeshi huwa naziamini maana ni kama miezi miwili nimepita bgmoyo nikakuta kuna training ya wajeda wanatokea mjini wananyooka na rami wanavuka mkwajuni wanapotelea porini. Suala sio umbali ila wamebeba Bunduki kubwakubwa na wakinadada wapo. Ingawa nilishangaa maana wengine walikuwa wanasmartphone waanatembea wanachat.

salute mkuu.
ila hii ya nyerere huwa siiamini, technology enzi zake nadhani iliruhusu kutupiga fix. butihama mwanza mkuu sio mchezo kabisa nadhani ni zaidi ya 200KM
 
Kwa siku kadhaa unatembea.Inategemea ye anasema alitembea siku ngapi
 
Kipindi nipo mdogo nilitembezwa umbali mrefu,tulikuwa Mimi baba mdogo na kaka yangu,kila mara wenzangu walikuwa wananiacha.Sasa ikafika mida fulani nikawa nimechoka plus njaa kuuma.Nikaachwa nikakaa chini kupumzika nikaanza kulala.Bro na baba mdogo wakaona sionekani nyuma wakarudi kunifuata.Wakanikuta nimelala.Walikasirika mno tukaendelea na safari.Mpaka tunafika home nipo home.Ila nikikumbuka naona walinionea sana maana hata Sina kumbukumbu kama nilikuwa na umri gani maana muda huo nilikuwa chekechekea.Enzi zile kuingia la kwanza lazima mkono upitishe kichwani ushike sikio upande wa pili
Hapo walikuonea hakika.
 
safi sana.
story za wajeshi huwa naziamini maana ni kama miezi miwili nimepita bgmoyo nikakuta kuna training ya wajeda wanatokea mjini wananyooka na rami wanavuka mkwajuni wanapotelea porini. Suala sio umbali ila wamebeba Bunduki kubwakubwa na wakinadada wapo. Ingawa nilishangaa maana wengine walikuwa wanasmartphone waanatembea wanachat.

salute mkuu.
ila hii ya nyerere huwa siiamini, technology enzi zake nadhani iliruhusu kutupiga fix. butihama mwanza mkuu sio mchezo kabisa nadhani ni zaidi ya 200KM
Nyerere alitembea. Wanzie walifika na malengelenge wengine hawakumaliza. Yakwangu ilikuwa kukimbia jeshi miaka ile ya 80 jeshi likikuwa hatari. Imagine huna pesa, hujui unaenda wapi lakini unatoroka ili mradi kukimbia mateso ya jeshi. Tuliishia mikononi ya maafande. Jela ya jeshi mwezi we acha tu!!!
 
Back
Top Bottom