Tosa bana miaka ile ya 90 nawavulia kofia hawa jamaa, nakumbuka umiseta mlikuwa mnapiga boli hakuna hasa mkikutana na highlands dahhh eeh kuna huyo jamaa miaka ile wakimuita MARADONA alikuwa sooo, alitupiga bao nikiwa Ruaha Sec O level wakati ule halafu anawaambia poleni jamani hahahahha Tosaaa walitukanyaga mbao nne si mchezo
Ndio wewe?.....ulikuwa unakipiga na kina maradiona na juma kanisa?Unamkumbuka na John Vicent? Nilikuwa Kiungo mshabuliaji kama unakumbuka niumia kwenye mechi na Lugalo
Ulimnofu wela! kwi kwi kwi
Ndio wewe?.....ulikuwa unakipiga na kina maradiona na juma kanisa?
Na kipa Radost unamkumbuka?
Mara ya mwisho nilionana naye Dar,alikuwa India nadhani wakapigana kwenye mechi akaambiwa arudi bongo,Eee bwana eeeh Rados yuko wapi? Kuna siku alikuwa hafungiki....Lipuli enzi hizo walimtaka
Mara ya mwisho nilionana naye Dar,alikuwa India nadhani wakapigana kwenye mechi akaambiwa arudi bongo,
Nilikuwa SUA na kina sempeho,crispus madeje......
Not anymore!Sifa kubwa ya hao jamaa ni ulevi na uzinzi!
Hivi muungano ndio linaitwa mandela?......oooh nimekumbuka,tulibadilisha jina wakati mkuu alipotoka lupango! umenikumbusha mbali sana!
Hiyo mitaa ni muhimu sana,ndiyo mkwawa alipomuua mwanajeshi Zelewisky wa manazi,kwa mikono yake.
Mkuu, unakumbuka zama za kuchemsha mahindi kwa heater ambayo ni vijiko? Utafikiri unafanya electrolysis process. Wakati mtambo unaunguruma, mnamweka mlinzi kupiga chabo kama kuna noma. Mkiambiwa kuna Mwalimu,within a min, mtambo unapandishwa darini,ndoo, sufuria na ninyi wenye kwa dari. Uko darini kuna vumbi, ila marufuku kukohoa wala kupiga chafya. Kama mapaka shume mnatulia.Du nimejaribu kujikaza Kimbunju wapi Bwana.Na mimi ni Alumina wa Tosamaganga miaka 26 iliyopita.Bweni langu Muungano, Cabin yetu iko pale juu kabisa kulia.Enzi zetu ni zile akina Mawe Matatu Naibu Waziri Charles Kitwanga alikuwa Kilanja mkuu lakini usiku kwenye kuchoma mahindi tuliyomwibia Dudu tulikuwa wote. Hii hiii hiiiiii!Form one Mahindi mmetoa wapi??Wewe kula usilete Unyoka hapa! Hiiii Hiii! hiii1