Tuliosoma Musoma Tech: Nimepamiss 'SELENA'

Kipind icho wali maharage ilikuwa 350/- pale kantin kwel maisha yanasonga!

Ctosahau cku tulipoandamana, kupigwa mabomu na shule kufungwa tukaambiwa tuwe tumeondoka kufikia saa 6 mchana.!
 
Nimekumbuka nilivyokuwa nawaibia simu zenu
Duh,

Umenikumbusha 2006 ndo tumeripoti form five wiki kama ya pili asubuhi moja baada ya kutoka darasani tulikuta mashuka yote na ndoo za maji zimeibiwa halafu maji yamemwagwa bwenini.

Mashuka yangu yote yalikuwa matatu yaliibiwa siku hiyo.
 
Sasa aliyeiba anaitwa Faraja alikuwa ana mwenzake hapo anaiba bwenini analeta kwa mkali wao Faraja hayo mashuka yako tuliuza 4000
 
Duh,

Umenikumbusha 2006 ndo tumeripoti form five wiki kama ya pili asubuhi moja baada ya kutoka darasani tulikuta mashuka yote na ndoo za maji zimeibiwa halafu maji yamemwagwa bwenini.

Mashuka yangu yote yalikuwa matatu yaliibiwa siku hiyo.
Hahaaaa! 2006. Kumbe wewe ni classmate! Nmukumbuka kauli ya Mnyeti 'form five mmeanza kusoma bila syllabus' Acha tuchekwe parade daaah!
 
Lakini nasi tulianza kwa mwendokasi mno, mtu unaripoti siku hiyo hiyo unaenda kukesha darasani .......

Matokeo yake watu wanachukua kila notisi wanazokutana nazo.

Unakumbuka siku ya school baraza baada ya Mnyeti kumpiga kichwa mwanafunzi wa form five wakati tukiwa fm six,wanafunzi waligoma kuimba wimbo wa Taifa na wa shule badala yake wimbo ukawa "Tunamtaka Mnyeti,tunamtaka Mnyeti" Preamble akauliza mnamtaka wa nini...! Wanafunzi wote wakasema"tumuue"

Siku ilikuwa ngumu sana kwa Preamble na madam mke wa Mnyeti .
 
Don't tell me, Musoma tech..! Chuo cha jeshi, si kwa life lile aisei, mzee matogoro, sabato miss u big..! aisei.MIKOMANGWA miss you my displine masters..! huyo ziwana kwa mama wawili binti yangu mloko atakuwa kavunja ungo sasa maana muda sana.
Musoma tech mbona mlikua wachumba tu, kitu Tarime high dah maisha ya pale zaidi ya jeshi hiyo advance 2006
 
Lakini nasi tulianza kwa mwendokasi mno, mtu unaripoti siku hiyo hiyo unaenda kukesha darasani .......

Matokeo yake watu wanachukua kila notisi wanazokutana nazo.

Unakumbuka siku ya school baraza baada ya Mnyeti kumpiga kichwa mwanafunzi wa form five wakati tukiwa fm six,wanafunzi waligoma kuimba wimbo wa Taifa na wa shule badala yake wimbo ukawa "Tunamtaka Mnyeti,tunamtaka Mnyeti" Preamble akauliza mnamtaka wa nini...! Wanafunzi wote wakasema"tumuue"

Siku ilikuwa ngumu sana kwa Preamble na madam mke wa Mnyeti .
Hahahaaaa we jamaa noma sana... naikimbuka sna iyo siku pale Mubigi. Preamble alisimama akakusanya mikono akawa anaomba tumsikilize. Tukamusikiliza.
 
Enzi hizi madame mmoja akiitwa Muga alikuwa zamu. Sasa ile alfajiri muda wa mgogoro akaibukia bweni la mkwawa kuwaamsha watu wafanye usafi. Alichokipata siku hiyo duh...... Nitaendelea!

Tukio moja la kusitisha ni kijana mmoja wa kidato cha tatu kujinyonga hiyo ilikuwa 2002.
Duuuh ndo bado tupo sec za wilayani sisi. Sijui nn kilimsibu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom