Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,751
- 99,620
Ndiyo maana upon huru sana.Safi.Pale Selena ni hatar. Nilienda chooni siku ya 1 tu siku zilizofata mpk nliamaliza najiachia Selena tu...
Ndiyo maana upon huru sana.Safi.Pale Selena ni hatar. Nilienda chooni siku ya 1 tu siku zilizofata mpk nliamaliza najiachia Selena tu...
Yap ilkuwa2009Daaaa mbali sana ila Mbna odm ilikua ya mwaka 2009 .shule nzima lazma wakanywe maji kwa suzy hahaa
Daaah mkuu kumbe nawe ulikuwepo siku iyo. Hakika ilikuwa siku ya majinzo sana. Nadhani ndo mkuu wa kwanza duniani kutetea wanafunziDaaaah! mmenikumbusha musoma tech! nilikuwepo kipindi cha mgomo uliomtoa preamble kwa kututetea na kusema ukweli halafu wakatuletea Muha mmoja hivi msanii balaaa! sisahau mutex upande wa pili wa uwanja tulikua tunakaa kuangalia madem wanaopita!
Nyaongooooooo! HahahaaaHalfu kuna yule mjaruo aliejipatia mjapani sijui yuko wapi sasa hivi!
Hahhaaaa baba tupeeee!! Humu tupo wenyewe tu. Haoni mtuKuna mambo mengne hutakiwi kuyasema humu. Mengne ni aibu. Tumewahi kutia aibu pale ambayo swez kuihadithia. Aisee Musoma Tec kumenifunza mengi na kuniongezea confidence kubwa sana.
Mie nilikuwa UKANDA WA GAZZA, Pale Mkwawa. Hakika angekuwa mkuu mwingine nadhani wengine tusingekuwa hapa tulipoSalute,
Combination gani kweli,preamble alikuwa na huruma sana yule mzee,alikuwa akisema ukiniona wa usihangaike kukimbia kwa sababu ninauwezo mkubwa wa kutambua kisogo kuliko uso wa mtu.
Hapo sawa,Mie nilikuwa UKANDA WA GAZZA, Pale Mkwawa. Hakika angekuwa mkuu mwingine nadhani wengine tusingekuwa hapa tulipo
Bonge la mkuu wa shule. Mr. Mwita, PreambleUlikuwa enzi za Preamble or Msagasa? Preamble (Mwl Mwita), Headmaster na Mkurya wakwanza mm kumuona hana matatizo na mtu na mshika dini
Hahahahaaa ule mradi mnalima afu mnakula maharage sijui akili gn zile!Hapo sawa,
Mi nilikuwa upande wa pili uliojulikana kwa jina maarufu la "Dunia" nakumbuka kipindi cha kulima bustani ya mbogamboga za shule tulisimama mpaka Mwl wa darasa akatukataa eti darasa limejaa wakaidi na bustani ikaishia hapo.
Ndo ivyo Kizur hakidumumimi nilikuwa bweni la Lumumba nilikuwa nikijulikana kama mbunge wa songe mwaka 2008
Dah kweli muhenga umenikumbusha ukumbi wa Mama Ester mtaa wa Amri abeidOoh, vena! Basi mimi nilimkuta miaka kumi nyuma (1998)wakati Laurent Kabila anamtoa Mobutu Seseseko Kukungweno Zabanga WA Zabanga huku tunacheza Loi pale kwa Mama Esther! The Old good days!
Heche alikuwa mtabe sana nakumbuka bifu kati ya musoma tech na songe hadi kupelekea boys wa songe kuamishiwa tarime high school na Mara secNa kule kcc ziwani, sh50 kande la kushiba na chai kikombe cha plastic.... Ila nahis mambo mengi sana yamebadilika sana pale maana hata migomo hatuskii...enzi zile akina "wegesa" (sasa hivi ndie mh. Heche, mbunge) haipiti week bila jiwe kumpata mtu, japo mguuni.
Nimekukumbuka mbunge wa songe hivi kurwa na Ally wapo wapii sikuhizi wazee wa kukaanga vitunguu alafu ladha ya Nyama ya kuku kijiko waliuza 100mimi nilikuwa bweni la Lumumba nilikuwa nikijulikana kama mbunge wa songe mwaka 2008
Mmmh! Bobina duuuh..!Hahahaaaa yule binti alikimbiza sana pale. Enzi za kina Bobina
Nafikiri ndio wewe tuliwahi kukudaba mkwawa tutakusurubu hadi Mutex ulikuwa umeificha kichakaniNimekumbuka nilivyokuwa nawaibia simu zenu
Chuo cha jeshi pale aisei..Kuna mambo mengne hutakiwi kuyasema humu. Mengne ni aibu. Tumewahi kutia aibu pale ambayo swez kuihadithia. Aisee Musoma Tec kumenifunza mengi na kuniongezea confidence kubwa sana.