Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,689
- 3,446
Mmhh,Kamdundo ns kapu wako wapi jaman???? Bado Mahizo na wengineo missing U mates
Ulikuwa comb gani kijana wa preamble...!
Mmhh,Kamdundo ns kapu wako wapi jaman???? Bado Mahizo na wengineo missing U mates
Wakati anaripoti huyu 2008 sikuwahi kwenda assembly,Alikuwa anaitwa Albet Dobeye.. Jamaa alitutesa Sana sisi form four wa 2010 hapo kituo cha kijeshi Musoma TECH
Kapu ni meneja masoko Tanica na Kamdundo ni lecturer pale MbeyaKamdundo ns kapu wako wapi jaman???? Bado Mahizo na wengineo missing U mates
Nilikuwa EGM, NAOMBA NAMBA ZAO MKUU NI PMKapu ni meneja masoko Tanica na Kamdundo ni lecturer pale Mbeya
Hadi leo, ndio shule yenye timu bora.Nakumbuka enzi ya Musoma Tech. Ikiitwa Alliance Secondary School ilikuwa na timu ya mpira bora mkoa wa Mara. Ilikuwa mwaka 1969.
Teh Teh Teh Teh TehMitaa yetu ya kujidai BARUTI.
Umemalza mwaka gani mkuu hapo kituo cha jeshiTeh Teh Teh Teh Teh
2010 mkuuUmemalza mwaka gani mkuu hapo kituo cha jeshi