Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,341
Nope! Haikuwepo. Sisi matembezi BweriDaaah we wa kitambo! Kipindi hiko Selena ilikuwepo?
Nope! Haikuwepo. Sisi matembezi BweriDaaah we wa kitambo! Kipindi hiko Selena ilikuwepo?
Duuuuh mgomo wa mwisho nadhani ulikuwa 2010Na kule kcc ziwani, sh50 kande la kushiba na chai kikombe cha plastic.... Ila nahis mambo mengi sana yamebadilika sana pale maana hata migomo hatuskii...enzi zile akina "wegesa" (sasa hivi ndie mh. Heche, mbunge) haipiti week bila jiwe kumpata mtu, japo mguuni.
Basi sisi tumeikuta Selena ipo pale japo tuliambiwa ni ya kitambo. Mtu anaenda kujisaidia porini mchana kweupeeee!!! DaahNope! Haikuwepo. Sisi matembezi Bweri
Labda jina tu. Lakini wengi walipenda kujisaidia vichakani ili wapunge na upepo huku wanaangalia mandhari ya ziwa kuliko kutumia tule tuvyoo tuchafu twa hovyohovyo.Basi sisi tumeikuta Selena ipo pale japo tuliambiwa ni ya kitambo. Mtu anaenda kujisaidia porini mchana kweupeeee!!! Daah
Hahah..! Nitamshaka ngoja nijipange mura..!Hahahahahaaa!Aisee,ujeko ukomboe mtoto wako,mura!
Shidashida kweli..! Mavidole yake ya kupinda.Daah umenikumbusha Mikomangwa. Daaaahh!
Yule msukuma alikuwa shidaaa.
Mnyeti aliwahi niona town kufika school nikamruka akabaki na aibu yake boya yule jicho moja..! Suzy mnamkumbuka mtoto wa fundi bomba???Mwal kaganda simkumbuki lkn nilimaliza 2008. Si unajua pale mwanafunzi na mwl hawana interaction... pale kina Mnyeti ndo walikuwa watabe.
Usichelewe sana maana hatuchelewi kumpa jina la ukoo wetu.Hahah..! Nitamshaka ngoja nijipange mura..!
Things has fallen Apart, walibaki wachumba..!Na kule kcc ziwani, sh50 kande la kushiba na chai kikombe cha plastic.... Ila nahis mambo mengi sana yamebadilika sana pale maana hata migomo hatuskii...enzi zile akina "wegesa" (sasa hivi ndie mh. Heche, mbunge) haipiti week bila jiwe kumpata mtu, japo mguuni.
Usicheze na selena mkuu!Labda jina tu. Lakini wengi walipenda kujisaidia vichakani ili wapunge na upepo huku wanaangalia mandhari ya ziwa kuliko kutumia tule tuvyoo tuchafu twa hovyohovyo.
Hahahaaaa yule binti alikimbiza sana pale. Enzi za kina BobinaMnyeti aliwahi niona town kufika school nikamruka akabaki na aibu yake boya yule jicho moja..! Suzy mnamkumbuka mtoto wa fundi bomba???
Pale Selena ni hatar. Nilienda chooni siku ya 1 tu siku zilizofata mpk nliamaliza najiachia Selena tu...Labda jina tu. Lakini wengi walipenda kujisaidia vichakani ili wapunge na upepo huku wanaangalia mandhari ya ziwa kuliko kutumia tule tuvyoo tuchafu twa hovyohovyo.
Salute,Mwal kaganda simkumbuki lkn nilimaliza 2008. Si unajua pale mwanafunzi na mwl hawana interaction... pale kina Mnyeti ndo walikuwa watabe.
Daaaa mbali sana ila Mbna odm ilikua ya mwaka 2009 .shule nzima lazma wakanywe maji kwa suzy hahaaDah akhasantenii kwakunikumbusha shule angu. Bweni langu amri abedi. Mama helena mzee matogolo. Nilkuwanaenda kunywa maji kwa akina Suzy. Tulifanya mgomo 2010 Dah kundi letu liliitwa ODM. Likiongozwa na wana HGL