Tuliosoma Jangwani, Kisutu na Shaaban Robert tupo humu?

Radhia ulikuwepo Jangwani enzi za mama Mkamati?
uliyaona yale maajabu ya chura kujipaka poda?

...........Usinikumbushe mama Mkamati (RIP), kila mwanafunzi alikuwa anamuita binti tarabusi. Alikufa bado anadai masikini!!
 
Jangwaani shule yetuu..
Jangwaani twaipenda..
Jangwani yasifika...
Popote tanzania...
Jenga jiheshimu jitegemee...
Ni moto wa shule yetuu*2.
Sote tujiheshimu, tuwe.. Mfano mzuri..
Tuwe na midomo mizito na kusema kidogoo..
Taaamka, maneno machache, yaliyo na hekima na busara.
Mi nimewakumbusha mwimbo. RIP ma mkamati.
 
Back
Top Bottom