Siku ambayo nilijua mtalimbo wangu umekatika

walikuyu

JF-Expert Member
Jul 27, 2018
572
1,188
Wakuu habari za usiku!

Twende kwenye mada moja kwa moja, kitambo hicho nakumbuka nilikuwa na washikaji enzi hizo sipendi shule kabisa nilikuwa toto tundu aswaa. Nakumbuka iyo siku tulikuwa tupo kwenye mwembe mkubwa sana na watoto wenzangu tunacheza mchezo wa kidari kwa wale ndugu zangu mtakuwa mmenielewa sana, basi bhana kwenye ruka ruka dah huwez amini mb*oo ilichanika kwa juu karibu na msitu eh bhana jeraha lilikuwa ni kubwa sana.

Basi ilikuwa mida ya jioni nikarudi home kimya kmya bukta yote midamu nikawa nalia sana nikasema leo ndio basi tena abdallah kichwa wazi afanyi kazi tena, mungu si Athuman siku zikazidi kwenda mashine ikawa inaunga taratibu basi mpaka sasa nmekuwa mkubwa ni mwendo wa mikwaju tu kwa akina amina.

Najua wakulungwa na nyie mna visa vyenu embu leteni hapa jukwaani tukumbushane kidogo kitambo hicho
 
Wakuu habari za usiku!

Twende kwenye mada moja kwa moja, kitambo hicho nakumbuka nilikuwa na washikaji enzi hizo sipendi shule kabisa nilikuwa toto tundu aswaa. Nakumbuka iyo siku tulikuwa tupo kwenye mwenye mkubwa sana na watoto wenzangu tunacheza mchezo wa kidari kwa wale ndugu zangu mtakuwa mmenielewa sana, basi bhana kwenye ruka ruka dah huwez amini mb*oo ilichanika kwa juu karibu na msitu eh bhana jeraha lilikuwa ni kubwa sana.

Basi ilikuwa mida ya jioni nikarudi home kimya kmya bukta yote midamu nikawa nalia sana nikasema leo ndio basi tena abdallah kichwa wazi afanyi kazi tena, mungu si Athuman siku zikazidi kwenda mashine ikawa inaunga taratibu basi mpaka sasa nmekuwa mkubwa ni mwendo wa mikwaju tu kwa akina amina.

Najua wakulungwa na nyie mna visa vyenu embu leteni hapa jukwaani tukumbushane kidogo kitambo hicho
Mtalimbo ndiyo kiti gani wanafasihi naombeni tafsiri...mana sisi tuliosoma mambo ya calcium carbonate hatuwez elewa
 
Duh mimi nadhani nilikuwa traumatised nilipo tairiwa, ule mkasi mpaka leo kama nausikia ukikata ingawa kulikua na ganzi , sijui aliiitwa Dr Malik yule , alikua mhindi na alikuja nyumbani kutu tahiri aisee noma .
 
Back
Top Bottom