Tuliooa

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Habari wana JF

Mimi ni kijana mwenzenu

Kwa wale ndugu zangu vijana wenzangu tuliooa miaka ya karibuni kama mimi nawaomba tuwe wavumilivu tukaze tu hivyo hivyo ili hizi ndoa zidumu maana mitihani mingi sana na huko duniani nje yaani ni balaa kila vishawishi.

Nina mwaka mmoja kwenye hiki chama lakini naomba niwavulie kofia ndugu zangu mlio kaa humu ndani miaka 5 na kuendelea.

Tukaze washikaji tusije tukaishia njiani
 
Wewe may be tukuulize.

Umeona vishawishi gani kwenye ndoa yako
Na nini ushauri wako kwa sisi ambao ndo wageni kwenye ndoa
Kila jambo nafikiri ni kumtanguliza Mungu mbele ya kila jambo unalolifanya
Muombe Mungu akujalie hekima na busara na kupe hofu ya kutambua uwepo wake
Usikate tamaa maana mapambano yapo sana
 
Pole na endelea kuvumilia manake ndio njia uliyochagua! Mtangulize sana
Mungu atakusimamia, utavuka milima na mabonde na hatimaye utafika kwenye tambarare..
 
Wewe may be tukuulize
Umeona vishawishi gani kwenye ndoa yako
Na nini ushauri wako kwa sisi ambao ndo wageni kwenye ndoa
Kila jambo nafikiri ni kumtanguliza Mungu mbele ya kila jambo unalolifanya
Muombe Mungu akujalie hekima na busara na kupe hofu ya kutambua uwepo wake
Usikate tamaa maana mapambano yapo sana
Tuulizeni sie tulio kwenye ndoa mwaka wa kumi (10) tumeona mengi :lol::lol::eyebrows:
 
Ukizidiwa tafuta ile thead ya kanuni za mainfidelities. Guidelines zote zipo kule, zisome, usije ukaharibu
 
Hehehe! Ukitaka kujua jinsi ya kucheat,mtafute TF
Ukitaka kujua mtiti wa kubambwa ukicheat, mtafute TF
Ukitaka kujua jinsi ya kulinda ndoa yako, umtafute Bishanga
Ukitaka kujua jinsi ya kuenjoy ndoa yako, umtafute Bishanga
Lol
Ukitaka ujue namna ya kupigwa vibuti Mtafute TF
Ukitaka namna ya kuachwa kwenye mataaa mtafute TF
Ukitaka kujua namna ya kudanganywa mtafute TF
Ukitaka namna ya kuvunja ndoa yako mtafute TF:lol:
 
Asante sana kwa haya
Ukitaka namna ya kuonekana mbabe ndani ya nyumba kama kidume mtafute Asprin
Ukitaka njia nzuri za kutoka nje ya ndoa muone The Boss
 
Kumtegemea Mungu kuna faida sana tatizo le2 2napenda kujifanya sisi vichwa sana kumbe mwanamke hatawaliwi ivo. Kusikilizana kuna matter sna kama hufanyi hyo utapigwa sarakasi hdi ukome
 
Umeona sie tuliokaa kwenye ndoa miaka mingi wala hautuoni tukipurukusha aisee vijana tutafuteni tuwape ushauri jinsi ya kukaa na wenza wenu of coursse ushauri unatolewa bure

Ukitaka uone rangi zote za nyota mpeleke mke wako kwa TF kwa ajili ya ushauri :lol:
 
Ukitaka ujue namna ya kupigwa vibuti Mtafute TF
Ukitaka namna ya kuachwa kwenye mataaa mtafute TF
Ukitaka kujua namna ya kudanganywa mtafute TF
Ukitaka namna ya kuvunja ndoa yako mtafute TF:lol:

Hehehe! Ukitaka kujua jinsi ya kucheat,mtafute TF
Ukitaka kujua mtiti wa kubambwa ukicheat, mtafute TF
Ukitaka kujua jinsi ya kulinda ndoa yako, umtafute Bishanga
Ukitaka kujua jinsi ya kuenjoy ndoa yako, umtafute Bishanga
Lol
Dah!!!! Mnaniharibia CV yangu banaa.....unajua tunaoheshimu ndoa zetu tuko wachache sana
 
Back
Top Bottom