Tuliokimbia hesabu Sekondari tukutane hapa

Tuliokimbia hesabu Sekondari tukutane hapa

Mi nilikuwa napenda hesabu za matching item[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Sekondari hawafundishi hesabu mkuu...HESABU hufundishwa darasa la kwanza na la pili zaidi ya hapo wanafundishwa HISABATI
 
Mie maumbo na x[emoji24][emoji24][emoji24][emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
Maumbo na mm tofaut
e3244c71f38fedbfca8a2605c10f869d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hesabu zote nilizosoma ziko bomba sana. Kasoro kwenye Advanced Real Analysis, hii niliingia vipindi vitatu tu chuoni. Hivyo nikafeli kwa kupata B.
 
BODMAS ndio zilikuwa naziweza lakini izi nyingine hazijawahi kuniacha salama hasa nikiona hesabu ina herufi huwa na ruka kama sijaliona...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom