Tuliokimbia hesabu Sekondari tukutane hapa

Tuliokimbia hesabu Sekondari tukutane hapa

Tangu nimeingia form five hadi nimemaliza Form six sijawahi kupata Bam zaidi ya F

ushauri wa bure
Ila hii mamb kama utapata mwalimu mzuri na uka-relax ni rahisi...mie O-level sikuwa kivile kwenye hili somo ajabu nimeingia form 5....BAM nikaanza kuielewa wakati O-level tulikuwa tunaita Additional Mathematics tulikuwa tunakimbia. Nilikuta shule niliyopangiwa enzi zile ina hawa walimu wa kujitolea (wazungu) wanapiga kipindi kiasi kwamba unapata moyo kuingia darasani na nikawa nafaulu kinoma sema ndio hivyo tena kinachotakiwa ni S but angalau ili-activate kichwa changu mpaka sasa kwa wale watu wa kawaida tu naweza kusema sipo vibaya sana
 
.
Screenshot_2018-04-29-16-45-35-1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom