Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

jaman kuna group la whatsaap la UDOM first year na wale wanaoendelea tunabadiloshana mawazo..ukihitaj tupia namba yako nitaku add..faster
 
Wakubwa mm nna swali, Hivi humu katika hii thread yetu hakuna dadaz ambao ni continuing? wa Udom i mean,coz sioni hata wakituelekeza wadogo zao namna ya kutunza boom zetu kuepuka vishawish na nin.. Tunawaona wakina mbaruku tu na wengine. Kwa kifupi andika za dadaz zinajulikana. hata ajikaze vipi ila utamgundua tu.. Hatuwaonu humu mchango wenu, Tupen ushaur basi tujirushe nanyie wakongwe PM na mavitu kama hayo... kama upo jitaje uokoe chuo kizima. Nyie ma men wenzetu pa1 sana .. Inapendeza.
 
Nicheki 0652501314 kwa mawasiliano zaidi..but hapo kulipia hizo ada ni bank popote zilizopo unaweza kulipia ila tu usikosee account wala kuzichanganya na kuwe na information za kujitosheleza kwenye hiyo BPS
 
We jamaa upo chuo gani asee, Mara sua ,Mara udom ni vepeee mzee
 
People need help so it is not a matter on which university I am...
 
I have a connection with different people so if people need help why should I keep quite while I can do something...
 
Nataka kuelewa hivi helbs wanalipa nn coz naona admission letter inasema direct cost na tuition fee ilipwe kabra ya kuripoti chuo selewiiiii
 
Nataka kuelewa hivi helbs wanalipa nn coz naona admission letter inasema direct cost na tuition fee ilipwe kabra ya kuripoti chuo selewiiiii

Mkuu lipia direct cost kwanza kwani hio lazima uilipe wewe hata kama una mkopo 100%! Ada utalipa baada ya bodi kutoa majina! Huwez lipia ada mpaka ujue % ya mkopo ulopewa
 
wale Wa info aka Cive tuonane ..niwape maelekezoo na kaushauri
 
Mkienda kule hakikisheni at least mna kiasi kidogo cha pesa kwaajili ya kujikimu couz boom linaweza chelewa kutoka
 
Back
Top Bottom