Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,898
huwezi kusajiriwa...anayesajiriwa ni yule aliyelipa direct cost,ada,na fee ya udoso.
hata kama hujalipa mia 5 utarudishwa
Inaruhusiwa kulipa nusunusu??
huwezi kusajiriwa...anayesajiriwa ni yule aliyelipa direct cost,ada,na fee ya udoso.
hata kama hujalipa mia 5 utarudishwa
Inaruhusiwa kulipa nusunusu??
Okkk..ada pekee ndo unaweza kulipa nusu semester ya kwanza na the rest semester ya pili...vingine vyote unalipa kama ulivyoelekezwa.
Nimechaguliwa ordinary diploma kupitia nacte but admission letter sijapata, ntaipataje mkuu maana tarehe ya kuripoti chuo ndo hiyo isha fika.
admission letter unaipata kwenye website ya chuo www.udom.ac.tz.then fungua link ya kwanza kabsa (UDOM WEB)
..kwenye news and events kipengele cha 6 ni admission leter click hapo then fuata maelekezo yaliyopo utapata barua yako...if not kuna namba za simu hapo hapo utawapigia utapata msaada.
wamexema m2 ukichelewa wanaweza gawa nafasi yako kwa mwingine..je,ni kama mda gan unaweza pelekea nafasi yako
Hasara utakayoipta ni kumis vipind..no fixed time iliyopangwa
Yaani letter zinazopatikana hapo ni kwa wale walochagulia direct kutoka tamisemi but maelekezo yoote nimefuata na hazisomi pia zile namba always hazipatikani.
ver xory..unaweza ukaja kufatilia personal utawala mkuu..kama jina limetoka ni lazima letter uipate pale