Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Wakuu kwa wale wa batch ya kwanza kuna yyte ambaye amechaguliwa Bachelor of Arts in Environmental Disaster Management??

Au kama unamfaham yyte aliyechaguliwa faculty hiyo,nnashida nao kidogo.
 
Hapo inatakiwa ulipe direct cost yote, na kama bodi washatoa majina angalia alocation ya mkopo wako ni sh ngapi ili ujue wewe unalipa sh ngapi. Afu hicho kiasi unachokilipa wewe kigawe nusu ndo ulipie kwa semister I as ada. Kama majina bado subiri.
 
Okay mkuu
 
Kwa wale wa college of natural and mathematical sciences tukutane hapa plz tuendelee kufahamiana 0713342493
 
Nenda kalipe ada yako kesho kwenye sanduku la kura. Sawa sawa ?
 
jamani ni kweli kwamba direct cost imepungua kutoka 232100/= hadi 207500/= msaada jamani
 
Back
Top Bottom