Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

yap mdau mpy umundani wa udom vp muko gud@ huo mkopo wa special diploma vip!?
 
msaada pliz kwa sisi 2li0chaguliwa specia diploma in eduction science and mathematics kwenye admssion letter kwenye ile form ya malipo kipengele B cha tuiti0n fees 2naplipia namba ngap? NAomben mnisaidie manake sielewi
 
Hii ni kwa wale wakak na wadada walio chaguliwa UDOM na continuing students , TUPIA hapa namba ako ya whatsaap uunganishwe direct kwa group ili ku share ideas
 
Habari zenu people,mimi ni selected student wa university of Dodoma katika course ya Health Informaton system,nilikua nahitaji kufahamu hiyo faculty yahusu mambo gani kiundani zaidi na application.
 
Habari zenu people,mimi ni selected student wa university of Dodoma katika course ya Health Informaton system,nilikua nahitaji kufahamu hiyo faculty yahusu mambo gani kiundani zaidi na application.

Mm ndo nasubiri hivyo waseme wadau...
 
madogo iyo koz ni ya it ila mtasoma na mambo general ya afya kdgo yamemixiwa umo ndan,apps yake ni mahospitalini sana sana,ila vit mtavyosoma umo ni it tu ile ile..

vip kuhusu mambo mengine ya ulaji... wanahitajika watu hao au tupange mipango mingine? nchi ishachafuka hii..
 
Back
Top Bottom