Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Je nikija cna cheti cha kuzaliwa naweza nikakataliwa kusajiriwa maana kinazngua kiukweli

mi ninakushauri uwe nacho..coz lazima uambatanishe katika registration form yako pamoja na form 4 certificat,result slip ya 4m6 na medical form...kuepusha usumbufu utakaojitokeza
 
kuna zile gharama za UDOSO kama ckosei..ni lazma kulipa mapema? inshort gharama mbali na direct costs na tuition fee znahaja ya kulipwa mapema?
 
kuna zile gharama za UDOSO kama ckosei..ni lazma kulipa mapema? inshort gharama mbali na direct costs na tuition fee znahaja ya kulipwa mapema?

unatakiwa kulipa kila kitu kinachohitajika ndo unasajiriwa...hata kama ni mia tano utarudi bank utailipia ndo usajiliwe..
 
Kuhusu kulipia malipo mbalimbali ya chuo, ni lazima kulipia kwenye bank za hapo chuo au tunaweza kulipia hata kupitia bank branch za huku tulipo?
 
Naomba kuuliza,mi nimechaguliwa kupitia nacte, lkn batch two na sijaona langu,name mwisho wa kulipia wameshatoa hapo inakuwaje mkuu?
 
mi ninakushauri uwe nacho..coz lazima uambatanishe katika registration form yako pamoja na form 4 certificat,result slip ya 4m6 na medical form...kuepusha usumbufu utakaojitokeza

Nimeambiwa na RITA kuwa hadi j5 au alhamic ndo kitakuwa teyar so sielew itakuwaje.
 
je nikilipa direct cost peke yake c naweza kusajiliwa sababu mkopo bado haujatoka
 
je nikilipa direct cost peke yake c naweza kusajiliwa sababu mkopo bado haujatoka

huwezi kusajiriwa...anayesajiriwa ni yule aliyelipa direct cost,ada,na fee ya udoso.
hata kama hujalipa mia 5 utarudishwa
 
kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu dodoma...karibuni sana.. incase kama una face any difficult u may ask!!

Nimechaguliwa ordinary diploma kupitia nacte but admission letter sijapata, ntaipataje mkuu maana tarehe ya kuripoti chuo ndo hiyo isha fika.
 
Naomba kuuliza,mi nimechaguliwa kupitia nacte, lkn batch two na sijaona langu,name mwisho wa kulipia wameshatoa hapo inakuwaje mkuu?

vuta subira..kwa experienve niliyonayo hua wanatoa batch 3 labda this time wabadilishe utaratibu..lakin pia kuhusu mwisho wa kulipa usijali co tatzo xna..hua halizingatiwi
 
wamexema m2 ukichelewa wanaweza gawa nafasi yako kwa mwingine..je,ni kama mda gan unaweza pelekea nafasi yako kuuzwaa??
 
Back
Top Bottom