wiz king treasure
Member
- Apr 25, 2015
- 52
- 2
Masomo
Bios&chem
Masomo
matokeo mnayapataje mbona nikifungua cas naambiwa nimeshachaguliwa ila nisubiri yatangazwe
jamani ni kweli kwamba direct cost imepungua kutoka 232100/= hadi 207500/= msaada jamani
wa special diploma tution fee haulipi ila direct cost unalipa, angalien wasije kuwafanyia kama walivyo tufanyia sisi mwaka jana..
mkuu kwa nin 2silpe,nifafanulie vizur npate kujua zaid
nimeona pia tangazo hilo, napata utata sana
kaka mm naomba kuulza hv kama hujalipa ada na direct cost unaweza pokelewa chuon? ukxhubr bom ltoke ndo ulpe hzo ada
kwa mfano umefka chuon haujalpa vyote hvyo yaan ada na direct cost je unawez kupata room, kujua class lako, na pia unawez kusain bum na pia hujawai ona kund la watu kama ilo ambao awajalpa ada na wanaingia class? pia xwal lingine vp ukchelewa kulpa ada mana wametoa sku ya mwxho ya kulpia ada, na pia vp ukchelewa kuripoti chuon kuna nn ktakukuta?
poa kaka mungu akjalia tutakutana hapoipo hv..utaratibu uliopo pale anayepatiwa room ni yule aliyesajiriwa tu..bt kwa case yako unamtafuta mtu ambaye ameshasajiriwa unamuomba mnakaa naye
kuhusu kusain utaratibu ni mpaka uwe umesajiriwa ndo unaruhusiwa
pia ile deadline isikutishe na hakuna tatzo lolte utalolipata labd kama vipindi vikianza mapema ndo unaweza ukamiss
utaratibu wa kusajiliwa vp je ukifika jioni unaweza kusajiliwa siku hiyo kama haiwezekani wanatoa utaratibu gani?
poa kaka mungu akjalia tutakutana hapo