Tuliochaguliwa IFM tupeane updates hapa

SaraJr088

Member
Jul 9, 2017
37
39
Ndugu zangu wale waliochaguliwa IFM bachelor of taxation and management tukutane hapa tupeane updates and other information kuhusu chuo, kozi na mambo mengine ya maendeleo... Asanteni!!
 
Ndugu zangu Wale Waliochaguliwa IFM Bacherol of Taxation and Management Tukutane Hapa Tupeane Update and Other information kuhusu chuo, Kozi na Mambo Mengine Ya Maendeleo... Asanteni.!!
Ongera kuchaguliwa chuo kilicho town zaidi Tanzania nzina a.k.a kilometer zero to town
 
Mkuu nimemaliza pale..njoo kigambon nikupe nondo na vitabu vya tax
 
Nimeajiriwa Taasisi ya Mtu Binafsi, nimefanya Application ya Bacherol of Insurance and Risk Management pale IFM Kwa Mwaka Wa Masomo 2017/2018 I means first year. Nahitaji kujua kama Chuo kina Masomo ya Jioni ( Evening Class ) Kwa Level ya Degree .!??!
 
Ko ww ulitakaje yaan ulitaka usome tuition afu ndo ufanye UE au?
Acha mawazo ya utoto chuo hakipo hivyo ni kwamba kile a achokifundisha lecture ndio mtihan wako ko huwez kusoma tuition afu ufanye UE afu kingne ki kwamba chuon ukikosa test ndo umedisco sasa ww utazfanyeje hizo test ila kama unataka hyo ongea na wahadhiri wa coz zako hapo ndo unaweza kupona
 
Nimeajiriwa Taasisi ya Mtu Binafsi, nimefanya Application ya Bacherol of Insurance and Risk Management pale IFM Kwa Mwaka Wa Masomo 2017/2018 I means first year. Nahitaji kujua kama Chuo kina Masomo ya Jioni ( Evening Class ) Kwa Level ya Degree .!??!

Umejaribu kucheki website yao..
Ni bora hata kama hayamo utawapigia simu kuwauliza au uwaandikie email pia huku ukisubiri na wa humu wanaojua wakujibu.
 
Nimeajiriwa Taasisi ya Mtu Binafsi, nimefanya Application ya Bacherol of Insurance and Risk Management pale IFM Kwa Mwaka Wa Masomo 2017/2018 I means first year. Nahitaji kujua kama Chuo kina Masomo ya Jioni ( Evening Class ) Kwa Level ya Degree .!??!
Ndio part time ipo kuanzia saa kumi nina watu wangu wanachukua insurance hapo na wanasoma jioni tu
 
Njoo Haraka Leah Masomo yameanza... Naomba unielezee kuhusu Ilo Darasa la Jioni pls in deeply
Asante, kuhusu part time nachojua zipo na hakuna kusubiri kipind kimoja kimoja kama full time yenyewe vipind vinafululiza unamaliza na kuondoka test mnafanya wote na mitihani but kama una mkopo the moment u shift kwenda part time hutokaa upate tena mkopo wanausitisha imewatokea hata friends wangu
 
mbona sijakuona chuo leo?
 
Hivii wakuu usipo ripot chuon wala kujisajili ..kwa sababu ya kukosa mkopo kuna tatizo lolote ukiomba mwakan chuo na mkopo upyaa???? Kwan mpaka sasa sina mkopo na udsm ilee naiona inaniacha sina namna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom