Chuo kipi bora zaidi, kwa anaefahamu msaada tafadhali

Goodluck Boaz

Member
Feb 26, 2020
43
26
Mdogo angu hapa nyumbani amefanya applications ya vyuo vitatu

1. IAA- Bachelor of Accounting and Finance

2. MoCU- Bachelor of Accounting and Taxation.

3. ITA- Bachelor of Custums and Taxation Management,na amepata vyote, sasa anapendelea kwenda kusoma chuo cha kodi(ITA) ambapo ada ni 2.3 Million kwa mwaka, wakati huo IAA ada ni 1.5Millions, pia MoCU ada 1.1M.

Yeye anaamini sana kwenye chuo cha kodi ambacho gharama ni kubwa sana.. sasa nmepewa jambo hili kama kaka mkubwa wa familia nitoe majibu kipi kitakuwa bora zaid, yaan maanisha kama hcho cha 2.3M ni kizuri wazee apa nyumban wamsomeshe hata kwa kukopa au kuuza assets kwa imani ya kwamba akimaliza tu atapata kazi TRA.

Sasa kuna ukweli huo? Msaada tafadhari ila kama atamaliza kisha akae nyumban kam wenzake sisi tumsomeshe kwnye bei chee tu ili mambo yasiwe mengi,, naomba msaada wana JF.

N.B mkopo tayari ameapply yanasubiriwa majibu tu.

Asante
 
Mwache afanye maamuzi kwa kile akipendacho,
pamoja na yote familia au mwanafunzi si vizuri kujijengea mentality kwamba akimaliza ataajiriwa moja kwa moja kwani kwa sasa ajira ni janga la Taifa.
Na akienda kusoma apige msuli kweli na atakayoyakuta chuo awaachie wengine.
 
Back
Top Bottom