Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
hicho sio chuo ni taasisiOngera kuchaguliwa chuo kilicho town zaidi Tanzania nzina a.k.a kilometer zero to town
hicho sio chuo ni taasisiOngera kuchaguliwa chuo kilicho town zaidi Tanzania nzina a.k.a kilometer zero to town
Haupo serious weweHivii wakuu usipo ripot chuon wala kujisajili ..kwa sababu ya kukosa mkopo kuna tatizo lolote ukiomba mwakan chuo na mkopo upyaa???? Kwan mpaka sasa sina mkopo na udsm ilee naiona inaniacha sina namna
Kwa nin sasa mkuu wengine bila mkopo chuo ndo ivo tenaHaupo serious wewe
Itakua ngum ku postpon labda ulipie nusu ada Ndio Utasubir ujiunge mwakanKwa nin sasa mkuu wengine bila mkopo chuo ndo ivo tena
Nenda kafanye usaili kwasababu ni bure halaf andika barua ya kusitisha mwaka. Ukishindwa hilo basi nenda tcu ukajaze fomu ili wakutoe kwenye system halaf mwakan utaanza upyaHivii wakuu usipo ripot chuon wala kujisajili ..kwa sababu ya kukosa mkopo kuna tatizo lolote ukiomba mwakan chuo na mkopo upyaa???? Kwan mpaka sasa sina mkopo na udsm ilee naiona inaniacha sina namna