Ongera kuchaguliwa chuo kilicho town zaidi Tanzania nzina a.k.a kilometer zero to townNdugu zangu Wale Waliochaguliwa IFM Bacherol of Taxation and Management Tukutane Hapa Tupeane Update and Other information kuhusu chuo, Kozi na Mambo Mengine Ya Maendeleo... Asanteni.!!
Ila yeye sio KE, kumbuka hiliMkuu nimemaliza pale..njoo kigambon nikupe nondo na vitabu vya tax
Hahahaaaa mkuuIla yeye sio KE, kumbuka hili
Ko ww ulitakaje yaan ulitaka usome tuition afu ndo ufanye UE au?Nimeajiriwa Taasisi ya Mtu Binafsi, nimefanya Application ya Bacherol of Insurance and Risk Management pale IFM Kwa Mwaka Wa Masomo 2017/2018 I means first year. Nahitaji kujua kama Chuo kina Masomo ya Jioni ( Evening Class ) Kwa Level ya Degree .!??!
Nimeajiriwa Taasisi ya Mtu Binafsi, nimefanya Application ya Bacherol of Insurance and Risk Management pale IFM Kwa Mwaka Wa Masomo 2017/2018 I means first year. Nahitaji kujua kama Chuo kina Masomo ya Jioni ( Evening Class ) Kwa Level ya Degree .!??!
Ndio part time ipo kuanzia saa kumi nina watu wangu wanachukua insurance hapo na wanasoma jioni tuNimeajiriwa Taasisi ya Mtu Binafsi, nimefanya Application ya Bacherol of Insurance and Risk Management pale IFM Kwa Mwaka Wa Masomo 2017/2018 I means first year. Nahitaji kujua kama Chuo kina Masomo ya Jioni ( Evening Class ) Kwa Level ya Degree .!??!
Asante, kuhusu part time nachojua zipo na hakuna kusubiri kipind kimoja kimoja kama full time yenyewe vipind vinafululiza unamaliza na kuondoka test mnafanya wote na mitihani but kama una mkopo the moment u shift kwenda part time hutokaa upate tena mkopo wanausitisha imewatokea hata friends wanguNjoo Haraka Leah Masomo yameanza... Naomba unielezee kuhusu Ilo Darasa la Jioni pls in deeply
mbona sijakuona chuo leo?Asante, kuhusu part time nachojua zipo na hakuna kusubiri kipind kimoja kimoja kama full time yenyewe vipind vinafululiza unamaliza na kuondoka test mnafanya wote na mitihani but kama una mkopo the moment u shift kwenda part time hutokaa upate tena mkopo wanausitisha imewatokea hata friends wangu
subiri ku disco tu