Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Kukosa soko hiyo vipi ?
Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena

utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule ...
Ila na mwanamke ukiona unatongozwa sana ujue your a cheap merchandize
Mwanaume ukikubaliwa sana unanyota ya Platnumz
 
Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda 😆
🙆‍♂️🙆‍♂️ wenye wapenzi waandike maumivu imekwisha hiyooo
 
Kukosa soko hiyo vipi ?
Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena

utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule .
Ww uko single?😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom