Ukitokea wapi?Nitarudiii
Naomba niwe hapo kwako kwa muda huuNot single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda 😆
Niko singo sababu sijui kupenda yan nishaulazimisha moyo sana lkn nilishashindwa kupenda ko naonja onja tu inapobidi na baridi hii ya Mwanza leo sijui....
Habarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single
mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tuView attachment 1561737
Dah!Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda![]()
ila hii dunia mbaya yani single ladies ndo waga wazuriNisamehe bure singo best ngoja nipunguze kasiSingle best uko fasta![]()
Tujumlishe single yako na yangu tupate matokeoHabarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single![]()
mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tuView attachment 1561737


ChurchUkitokea wapi?
Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda 😆