Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Haijalishi mwanaume awe mwenye hela au lofa foleni tunapangwa tu.....tena wasio na hela wakizipata ulimbukeni wao unaweza shangaa hvi ni yule humble bae wangu au mwengine

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahah bahati nzuri mie huwa sibadiliki mamii wether nina hela au sina, nipogi neutral tu. Zaidi tu unadhifu utaongezeka kidogo ila humbleness hubakia vile vile.

Yani huwezi jua nahela au sina🤣🤣🤣
 
Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda
No offense ila dada hukunwi vizuri huko unakoonjwa.

Mkuu ukionjwa ukaonjeka, ukikunwa ukakunika utaacha kurukaruka (sio kwa maana mbaya).

Ila sio mbaya, kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake.

By the way mimi niko single kwasababu
1. Huwa situmi nauli
2. Nikituma huwa situmi yakutolea
3. Nikituma yakutolea huwa simuonji mhusika, namuacha awe rafiki tuu, so nabaki kuwa single.
 
Nimekwambia naonja nikinogewa naweka makazi... Hapo hujaelewa kitu gani?
Nimekuelewa vizuri sana.
Hujasema ukinogewa unaweka makazi, umesema unaweka makazi ya muda.

Na mimi nasema hivii, uelewee..!!! ukikunwa ukakunika utakua ndio mwisho wako wakuonja onja. Hutaweka makazi ya muda, utachimba handaki kabisa.
 
linahbaby kwanini uendelee kuwa single wakati suluhisho la matatizo yako yote lipo fika Sasa PM kwa maelezo zaidi majonjo yakizidi unga bando la mwezi
 
No offense ila dada hukunwi vizuri huko unakoonjwa.

Mkuu ukionjwa ukaonjeka, ukikunwa ukakunika utaacha kurukaruka (sio kwa maana mbaya).

Ila sio mbaya, kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake.

By the way mimi niko single kwasababu
1. Huwa situmi nauli
2. Nikituma huwa situmi yakutolea
3. Nikituma yakutolea huwa simuonji mhusika, namuacha awe rafiki tuu, so nabaki kuwa single.
Hahahaha asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom