zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Sasa mko single na mnataka kubaki single tuSingle ladies in the mix.....tuendelee kujuana japo single men wameingilia corner yetu
![]()


Mabadiliko yafanyike
Sasa mko single na mnataka kubaki single tuSingle ladies in the mix.....tuendelee kujuana japo single men wameingilia corner yetu
![]()


Mbona ndugu yako niko single;na hufanyi jitihada yeyote yet una mashosti kibaoHivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single
Sijawahi elewa hii.


Kila mtu ana soko banah sema kupata ambaye chemistry yenu iko on fire ndo shidaMe mwenyewe naktaaa kwa hyo na mimi nimekosaa soko![]()
Hivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single
Sijawahi elewa hii.

hata domo zege skuiz simu zimerahisishaaa...anapiga sound by text under google assistance 
Hilo nalo neno mkuu ngoja tuchakarikeSasa mko single na mnataka kubaki single tu
Mabadiliko yafanyike

Umeona eeeh kwa kweli kuna kazi sishangai wanao tembea na waume za watu uwa wanakosa pa kushika wanaume awaleweki kbsa mtu anaona bora ajichomeke tu hapo kwa mume watu siku ziendeKila mtu ana soko banah sema kupata ambaye chemistry yenu iko on fire ndo shida

Eti na mimi nashauri na niko singleHilo nalo neno mkuu ngoja tuchakarike![]()



Hapo kwenye kukosa pakushika ni uzembeUmeona eeeh kwa kweli kuna kazi sishangai wanao tembea na waume za watu uwa wanakosa pa kushika wanaume awaleweki kbsa mtu anaona bora ajichomeke tu hapo kwa mume watu siku ziende![]()
....dawa ni kutafuta mnyonge wako anayekuelewa,hayo mambo ya wanaume za watu kwa control freak km mm siwezHmmNot single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda![]()

Sio mada kuna comment hapo ya mdauMzee baba siko single ... Nimeoa!mada hii hainifit!
Eti na mimi nashauri na niko single
Dah![]()



sio mbaya kupeana amsha amshaYaaah.... na inategemea nipo wapi na muda gani? Status inabadilika na matukioHvo ndo vinasabisha wewe kuwa single



Bila picha ni ngumu kujibuuMe mwenyewe naktaaa kwa hyo na mimi nimekosaa soko![]()
Nashangaa kabisa labda uoga, sasa kama sie wanaume totoz kibao kila kona ukikosa kazini basi mtaani au nenda cinemax au kwenye malls au vyuoni ijumaa unatega ukikosa kabisa kabisa vituo vya mwendo kasi vile vikubwa yaani weekend tatu hazifiki ushang'oa.Hivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single
Sijawahi elewa hii.
Mbona kama jf nzima watu wapo single![]()
pale tulio single tunavyo ingiliwa kwenye mjadala wetuWanatafuta single legelege baada ya mwezi wamuongezeee usingle![]()


on to thy next 1...mwezi hauumi hata